Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

Watu wa Pemba acheni mara moja hii tabia

View attachment 1094622

Vijana hapo juu wamecharazwa bakora na vijana wa kiuslam baada ya kukutwa sehemu wanakula kilaji na nyama choma lkn haikuwa hadharani walikaa eneo la ndani (uani)

Huo ubabe mnaofanya mtajutia nyie vijana
Funga ni kujuzuia wewe kula na sio kumzuia jirani yako kula

Kama umeshindwa kuvumilia wengine wewe hufai kufunga

Sasa tukiwatuma vijana wa kiha miamoja waje huko ili waje wawape kichapo na nyie ili muache uonevu
Naona mnajitahidu sana kuichafua dini ya mwenyezi mungu.
Mara msingizie ugaidi mara itikadi kali na sasa mmekuja na mfungo wa ramadhani.
Hivi kwanini mnaupiga sana vita uislamu kwa kupakazia uongo?
Na kamwe hamtaweza kuupoteza uislamu kwa fitina zenu za uongo kwasababu ulimwengu mzima unajua uislamu unapakaziwa uongo na ndio maana kila siku misikitini watu wanakuja kubadili dini.
 
Mimi ni Mroma na nilikuwa sifungaji yaani tangu kuzaliwa kwangu lakini sasa hivi muda mwingi huwa nafunga .Nilichojifunza kufunga unakuwa na unyenyekevu kwa muda mwingi unamtafakari Mwenyenzi Mungu kwa makuu.
Kufunga kunatoa majibu kwa mtu mwenye shida
Sasa wao akifunga yeye anataka nawe ufunge, najiuliza kila mtu si anatubia dhambi zake au watubiana?.
 
Kwani mtu akila hadharani wewe inakuathiri vp kwenye funga yako?
Badala ya kumwelimisha eti unampiga, hivi mtu aliyefunga jamani unanyanyua vipi mkono na kumpiga mtu? Au kubadilisha muda wa mlo maana saa10 alfajiri unakuwa umeshiba tu.
 
Hautomsikia Shangazi yenu Fatuma kwenye hili lakini ushoga alisema poa kwa kuwa Ni faraga yao isitoshe ni watu wazima ILA lengo hasa nikumjibu Bashite na kampeni yake.Wapo wapi akina Bisimba?
 
Dawa yao ni kutembea na manati ya kizungu na popcorn wakikushobokea unawafuturisha risasi This uncivilized mudafakaz need guns
 
Naomba tuelewane kitu kimoja mamy sijasema wakristo hawafungi. Sisi pia tunafunga lakini funga yetu hatuipigii tarumbeta lakini ukisema upige hesabu ya asilimia utaona asilimia ya wakristo wanaofunga ni ndogo ukilinganisha na waislamu
Haaaa haaaa hampigi tarumbeta nyie duu acha kudanganya my dear, embu fuatilia makanisa ya kilokole uone watu wanavyomtafuta Mungu shetani anapigwa kimya kimya uje uwaulize waislamu wanaoendaga kwenye hayo makanisa hizo kasi hawawezi
 
Naona mnajitahidu sana kuichafua dini ya mwenyezi mungu.
Mara msingizie ugaidi mara itikadi kali na sasa mmekuja na mfungo wa ramadhani.
Hivi kwanini mnaupiga sana vita uislamu kwa kupakazia uongo?
Na kamwe hamtaweza kuupoteza uislamu kwa fitina zenu za uongo kwasababu ulimwengu mzima unajua uislamu unapakaziwa uongo na ndio maana kila siku misikitini watu wanakuja kubadili dini.
Wasikusumbue mkuu haya mambo ya mitandaoni tu wanayatoa yaliyovifuani mwao kwa sababu wamejificha nyuma ya keyboard,ila mtaani tunaishi vizuri tu.
 
Wapemba hata uislamu hawaujui.
Iweje iwe halal kumla mke tigo halafu umlazimishe mtu kufunga? Kama ndio uislam mimi basi
Haaa haaa Tigo tena kwa mke mbona wanalikataa sana hilo?
 
View attachment 1094622

Vijana hapo juu wamecharazwa bakora na vijana wa kiuslam baada ya kukutwa sehemu wanakula kilaji na nyama choma lkn haikuwa hadharani walikaa eneo la ndani (uani)

Huo ubabe mnaofanya mtajutia nyie vijana
Funga ni kujuzuia wewe kula na sio kumzuia jirani yako kula

Kama umeshindwa kuvumilia wengine wewe hufai kufunga

Sasa tukiwatuma vijana wa kiha miamoja waje huko ili waje wawape kichapo na nyie ili muache uonevu
Mambo ya 2014 unayaleta leo?
 
Yeah, ndio njia ya ku deal nao
Sasa kumbe wao wanakamatwa bila makosa(ndiyo maana hawapelekwi mahakamani) na kufanyiwa mambo ya ajabu huko jela ila wao wakiwachapa bakora tu mtu mnakuja kufungua uzi humu mapovu yanawatoka.
 
Eti nichapwe fimbo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] iyo noma ntaletaa hawatakaa waamini. Yani ntapasua watu na mawe. Haki naapa tutauana hapo.
Mkuu unajua unachapwaje?
Kwenye kudhalilishwa huwa hauvamiwi kipopopo, unalainishwa kwa maneno matamu kwanza.

Nikupe mfano ulio hai. Mimi nilishiriki 'ops chakaza', mwanzo hadi mwisho.

Ilivyo desturi, sheria za kijeshi zikifuatwa kwenye 'active service', askari wataishia kufungwa na kukosekana wa kukabiliana na adui.

Kilichofanyika, sheria zote za kijeshi zilibatilishwa na kuamriwa kuwa, kosa lolote la utovu wa kinidhamu limalizwe kwa mboko.

Sasa fikiria mtu ana silaha na risasi tele, tena yupo katika mateso ya vita, anacharazwaje mijeredi?

Kifupi ni kwamba, kuna kundi la wanasaikolojia linalokuhadaa kwa ushawishi kabla ya adhabu.

Anakuja anakueleza; ujue pot hili kosa ukirudishwa Tz utafikia Ukonga na vitisho vingine kibao vya kukulegeza, ni heri uchapwe hivyo viboko viwili yaishe.

Kama utaendelea kuwa na msimamo, nao watakazia ushauri.

Baadaye unashawishiwa kukubidhi silaha kipenda roho.

Sasa hapo yale mijitu yashibayo yaliyoandaliwa kwa kazi ya 'kunyorosa' yatakapo kushughulikia.

Utapigwa kama mbwa hadi unakiri kwa 'furaha' kabisa kuwa umekoma na hautorudia.

Kundi jingine la wanasaikolojia wanajitokeza baada ya kipondo kukupa 'pole' na maneno matam matam kwamba na wao yaliwahi kuwakuta kama hayo na ni masuala madogomadogo ya kiume, hivyo usijali.

Watakuangalia hadi utakaposhusha hasira zako ndiyo unarudishiwa 'mchuma' wako.
Hapo haujachapwa mkuu?
 
Sasa kumbe wao wanakamatwa bila makosa(ndiyo maana hawapelekwi mahakamani) na kufanyiwa mambo ya ajabu huko jela ila wao wakiwachapa bakora tu mtu mnakuja kufungua uzi humu mapovu yanawatoka.
Hawana makosa? Endelea kuamini hivyo...ila dawa ya kudeal na wapumbavu kama nyie ndio hiyo...
 
  • Thanks
Reactions: RTI

Similar Discussions

Back
Top Bottom