Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.
Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.
Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?
Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.
Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.
Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.
Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.
Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
Moshi Mosha kahonga hela mpaka kafilisika anatoa ulimi tu watu wanasema hapa UKAWA TU!!!

Pole sana mkuu kwa dhahama mulioipata Mbeya,ila ukaeukijua kuwa watu wa Mbeya wamechoka kuendeshwa na fikra chovu za CCM wanachohitaji ni mabadiliko kutoka kwa mtu mwenye fikra mpya ambaye amejitenga na fikra chakavu za CCM na wakifanikiwa katika hilo hutawasikia watu wa Mbeya wakizomea tena.Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.
Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.
Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?
Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.
Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.
Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.
Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.
Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
subutuuuuWala sio watu wa Mbeya bali wahuni wachache, ni sawa na mtu kuzomewa kariakoo na kubdi la watu 20 alafu useme Dar es Salaam imemzomea.
John Pombe Magufuli atamshinda Lowassa kwenye uchaguzi huu kwa mkoa wa Mbeya.
Kazi gani? Mnalazimisha kukubalika? Acheni zenu, kila mtu anauhuru wakusupport mtu ampendae. The big problem for Tanzanians ni unafiki mkubwa, kujifanya unapenda kitu kumbe hata hukipendi. Watu wambeya wameeleza hadharani hisia zao mnawaona wabaya.
Shikamoo Mbeya
Pole sana siasa za vitisho hazina nguvu tena
USIWASINGIZIE WATU WA MBEYA,NI KWAMBA WAMEICHOKA CCM,huo ndio ukweli we subiri utaona ifikapo October 25.