Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,271
Mkuu tumekuwa tukilalamika muda mrefu kuwa ingawaje tunaishabikia CCM, lakini huko kwetu CCM Mtandao imeiliza CCM Mbeya.
Watu wanamkumbuka Mwalimu, miradi ya barabara kule Mbeya ili minywa sana licha ya ukweli Mbeya ni kituo muhimu cha kibiashara.
Leo watu wamekazana na barabara za Tabora kitu ambacho si kibaya lakini Tabro inachangia kidogo mno pato la Taifa.
Magufuli ana wajibu wa kubadilisa muonekano huu wa Mbeya atakapopata madaraka.
Watu wanataka maendeleo.
Sasa umeenda kwingine.
Magufuli anapataje madaraka wkt hatakiwi?