Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.

Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.

Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?

Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.

Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.

Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.

Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.

Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.

Kwanini unatumia akili za mbuzi, wakati unazo za kwako? CCM OUT!
 
Ulichoandika hapa inaonyesha jinsi mnavyoumwa ugonjwa wa usokwe hamfikirii kama binadamu wa kawaida.. Ndio maana rais wenu ni Sugu.

Ukiangalia jina unalotumia, sura ya avatar yako vinaongea mengi sana kuhusu wewe, huwezi hata kidogo kuwa mshauri wa sisi wana mbeya.
 
Ukishaona kila baada ya nyumba tatu kuna nyumba ya ibada ujuwe hapo watu wamechanganyikiwa akili
 
Matumbo, tangu lini ccm ikajenga barabara kwa wananchi!? Maendeleo yoyote yanaletwa kwa nguvu za wananchi wenyewe kupitia michango yao ya hali na mali. Rejea kodi ktk kila kitu unachotumia. Ccm hawana uwezo wa kuwapa watu maendeleo. Lete ushahidi hapa wa barabara zilizojengwa kwa fedha za ccm. Unaropokaropoka na kuonyesha ulivyo hayawani kichwani. Wote wanaoishabikia ccm hawako timamu fahamu zao.

Kwahiyo Mkuu Ukawa Ndo Italeta Maendeleo Kwa Pesa Zao Wenyewe Sio Za Wananchi?
 
kwani wewe ni mtu wa wapi maana naona ubongo wako umelala
je unaweza fananisha kwenu na mbeya

:mvutaji::mvutaji::mvutaji:
 
Ulichoandika hapa inaonyesha jinsi mnavyoumwa ugonjwa wa usokwe hamfikirii kama binadamu wa kawaida.. Ndio maana rais wenu ni Sugu.

dharau zenu ndio zinawaponza....unadhani toka mby wamkatae kikwete wamekosa nini na nyie mmepata nini
 
Sisi wanyakyusa na ndugu zetu wote tumeamua kuitoa ccm na tunafanya hivo bila kuleta unafiki wowote unaouita vyama vingi.
 
Huu uzi unaweza kuwa ni uzi wa ovyo tangu kampeni zianze.
 
mbeya ni moja ya miji ambayo watu wake wanatafuta hela zake kihali.
hawana muda wa kushabikia watu wanaowanyonya na kuwakandamiza na kusubiri hela za misaada kujenga barabara.
mji wa tatu kwa ukusanyaji wa kodi nchi hii ila kila sehemu ni vumbi tu.
bara bara za tangu enzi za nyerere ndio bado zipo
 
Mbeya kwetu walilolifanya jana wale vijana si la kulishabikia.
Hekima na busara n kusikiliza then kwa sandkula kura kama hajakuconvice usimpe kura.
Kelele na fujo hazisaidii
Kwanza mktukosya esoni twaoneka Mbeya wafujo.
Nahii abia imekuaikiendelea ata kwenye iutao ya kampeni hasa vijna wa CDM kuleta fujo.
Watu wa mbeya niwajuao mimi ni wastarabu
 
Mkuu sisi huku ni mabadiliko ya kweli hatutaki kuendelea kudanganywa na ma ccm

Hata sisi hapa mwanza tunaenda na Wenje ndio mbunge wetu tunayemtaka hana upinzani. CCM wametuletea dogo mmoja aitwae Mabula ambaye alishindwa kabla hajaanza. Kura zote kwa Wenje na madiwani wake. Nikichungulia kwa jirani zangu wa ilemela nao wameamua kwa Kiwia kura zote kwake wamekataa kumchagua mgombea wa ccm mama Mabula aliyeshindwa kutatua migogoro ya aridhi akiwa mkuu wa wilaya.
 
Sasa ww unataka wabadilike vp? Mabadiliko yenyewe ndio hayo lowasa tu ww unatakaje?
 
Mbeya kwetu walilolifanya jana wale vijana si la kulishabikia.
Hekima na busara n kusikiliza then kwa sandkula kura kama hajakuconvice usimpe kura.
Kelele na fujo hazisaidii
Kwanza mktukosya esoni twaoneka Mbeya wafujo.
Nahii abia imekuaikiendelea ata kwenye iutao ya kampeni hasa vijna wa CDM kuleta fujo.
Watu wa mbeya niwajuao mimi ni wastarabu

Acha kujitoa ufahamu.. ccm nao wamezidi maigizo ya kudai wanasimamishwa njiani... Nao waache utoto huo.
 
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.

Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.

Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?

Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.

Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.

Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.

Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.

Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.

Kuna mawili.... Eidha watu wa mbeya wabadilike au CCM ibadilike.... Watu wa Mbeya wameichoka CCM, wameamua kila wanapoiona waizomee... Na nyie wa CCM kama mmewachoka watu wa Mbeya. wazomeeni kila mnapowaona.. Otherwise fuateni msemo wa Jim Henson ambao unasema..... [h=1] “If you can't beat them. Join them”
[/h]Na msipoangalia "watazomeeni" hadi kwenye sanduku la kura.
 
Hata sisi hapa mwanza tunaenda na Wenje ndio mbunge wetu tunayemtaka hana upinzani. CCM wametuletea dogo mmoja aitwae Mabula ambaye alishindwa kabla hajaanza. Kura zote kwa Wenje na madiwani wake. Nikichungulia kwa jirani zangu wa ilemela nao wameamua kwa Kiwia kura zote kwake wamekataa kumchagua mgombea wa ccm mama Mabula aliyeshindwa kutatua migogoro ya aridhi akiwa mkuu wa wilaya.

Hongereni sana wana mwanza kwa kuamua kuifuta ccm kila kona kwa pamoja tutalifuta hili jini ccm
 
Back
Top Bottom