Watu wa Mbeya mtabadilika lini?


Nani wewe hasiye kujua kuwa ni gamba? Mtazomewa kila kona maana watu wamewachoka
 
ushamba na ulimbukeni wa kijinga ndio unaowasumbua hawa wajamaa na huyu SUGU wao
 
Sikiliza wewe matumbo, watu wa Mbeya siyo ma-zuzu, wanajua haki zao, wasipoelewa ni lazima watahoji, siyo kama nyie mnakubali kila kitu hata kama serikali itapitisha sheria ya kuwakata vidole mtasema ccm hoyee…
 
nafarijika kuzaliwa mkoa wa mbeya ningezaliwa dodoma ningeumia sana
 
Oct25 yatafanyika matanga ya ccm...anaebisha akale chumvi. Hatuna muda wa kupoteza kusikiliza ccm tena. Miaka 50+ imetosha kutapeliwa na mafisiemu. Ccm hakifai hata kuwa wapinzani, this time kinakwenda kufa jumla kama vilivyokufa vyama vingine. Watch out and wake up, it's time for CHANGE.
 
Ccm kwa ulichowafanyia watz ktk nchi zingine haina hata uhalari wa kuendelea kuwadanganya watz kwa ahadi hewa. Ccm wanastahili adhabu kali sn. Kuzomewa ni mwanzo tu.
 
Mbeya hatuongei kwa mafumbo kama watu wa Pwani, tunaposema hatutaki maana yake hatutaki. Tupo tayari kwa lolote ila Mbeya ni ya kwetu na hakuna wa kututisha tukiwa kwetu. Sisi hatutaki CCM na tunamaanisha.
 
Hii zomea zomea ndo inawashikisha adabu CCM ndo maana bajeti zote za serikali vipaumbele ni MWANZA...MBEYA...KILIMANJARO...ARUSHA......

Mbona kwa masikini na majuha vipenzi wa CCM MOROGORO...TABORA....GEITA...RUVUMA hakuna maendeleo?
good
ni ujanja wa watu wa mikoa hiyo kuufaidi ujinga wa ccm.........hahah yaan morogoro utacheka
 
Hawajaichoka ccm ila ni watu wanaopenda sana ushabiki wa kishamba. Yani wana akili za kushikiwa.

CCM yako tumeamua kuinyimakura live kawaambie na wenzako Huna adabu gamba ww
 
Mkuu ccm wanastahili kuzomewa popote waendapo.
 
Safari hii hadi kigamboni lazima akione cha moto tunamsubiri kwa hamu sana na madharau yake.

Ila mabadiriko kutokea dar kun walakini. Mabishoo wengi sn. Watu kujiandikisha kupiga kura hawako tayari kupanga folweni eti wanaweka mawe.
Japo walinikosha sn kwa gharika ya jangwani kwani nyomi ilikuwa toka fire mpaka kagera.
Mwaka huu tunawategemea sn watu wa dsm. Tunajua kwa miundombinu iliyopo wengi wenu mna hustle sn kimaisha but please mwaka huu chukua muda wenu mtusaidie kuleta mabadiriko
 

Kuna cha "Mwakaleli" we mgeni pande hizi!?
 
Mkuu tumekuwa tukilalamika muda mrefu kuwa ingawaje tunaishabikia CCM, lakini huko kwetu CCM Mtandao imeiliza CCM Mbeya.
Watu wanamkumbuka Mwalimu, miradi ya barabara kule Mbeya ili minywa sana licha ya ukweli Mbeya ni kituo muhimu cha kibiashara.
Leo watu wamekazana na barabara za Tabora kitu ambacho si kibaya lakini Tabro inachangia kidogo mno pato la Taifa.
Magufuli ana wajibu wa kubadilisa muonekano huu wa Mbeya atakapopata madaraka.
Watu wanataka maendeleo.
 
Mbeya kwisha amka kama ilivyo Mwanza na Arusha. Usitishe watu ukiwa na wewe ni mtu. Mbeya let us go for change
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…