Kikwete rais wake pia alipigwa mawe, watu wakatiwa ndani
Wavuta bangi sawa inayoandaliwa ni kuyavunja majimbo hayo kuyatoa mikononi mwa wabunge wao wahuni ili kuleta adabu,MPE salamu sugu,hilo jimbo akibaki nalo nashukuru mungu maana amewasha moto,
Kikwete rais wake pia alipigwa mawe, watu wakatiwa ndani
Njoo utiwe mimba Mbeya. Mbeya tuna akili sio kama nyie wapuuzi mnaolialia na ccm.
Siasa za Mbeya ni zetu wanaMbeya, we kwakuwa unawashwa lete makalio
Kila kitu Mbeya ni tofauti sana hata soka zikumbuke hizi team Tukuyu star, Taiga, Meko, Kimondo, Mbeya city, Mbeya prisons inamaana huu ni mji wa mabadiriko. Hatuwezi kukubali kuchagua makandarasi badala ya kuchagua rais. Watu wenye asili ya Mbeya mmewapa sumu wengi tu na Hata Mwamunyange mnataka kumuua. Mbeya songa mbele kwanza nchi zote mnazopakana nazo wate walifanya mabadiliko toka miaaka ya 90 e.g Malawi, Zambia. Hongera nyumba na ikiwezekana pigeni risasi huyo mpiga push ups maana hakuna namna sasa.
Wavuta bangi sawa inayoandaliwa ni kuyavunja majimbo hayo kuyatoa mikononi mwa wabunge wao wahuni ili kuleta adabu,MPE salamu sugu,hilo jimbo akibaki nalo nashukuru mungu maana amewasha moto,
Usijali mkuu huu mwaka wa mabadiliko hatutawaangusha kigamboni lazima Lucy apelekwe bungeni, pamoja tunaweza.
Kuna njia za kistaarabu za kusema wameichoma ccm, kwenye sanduku la kura. Huu mkoa Sugu anauharibu kabisa na sioni alichofanya zaidi ya kuwafundisha fujo.
hata hatubadiriki we endelea tu na yakowatu wa mji wa mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.
Kwa sasa ukizungumzia mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.
Mji sasa unaongozwa na mawazo ya sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?
Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.
Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.
Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.
Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa kilimanjaro.
Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana mzee jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
Dawa yenu iko motoni na sawa ni kuondoka wabunge wahuni kuongoza majiji makubwa ndo mtajua mwaka huu,
Watu wa mji wa Mbeya wamekuwa ni watu wa ajabu sana. Wanafanya siasa za kitoto sana zisizo za kistaarabu.
Kwa sasa ukizungumzia Mbeya ni kama unazungumzia mji wa 'masela ma..' awa watu walimzomea mpaka rais wa nchi na sababu hawana.
Mji sasa unaongozwa na mawazo ya Sugu na mnamuita rais wenu.. Just imagine?
Nyie siasa za vyama vingi mnachukulia ni ugomvi na fujo kwenu huko sasa kila kitu mmechukulia siasa ata timu yenu inakufa sababu ya siasa za kipuuzi.
Sasa nimeshanga mpaka hizi kampeni kazi yenu ni kuzomea zomea wagombea msiowunga mkono. Sasa sielewi ukishazomea ndio utapata nini na fujo tangu mzianze mmepata nini.
Mbeya inasikitisha imekuwa inawaiga watu wa arusha. Watu wa arusha wanajulikana hao hatuna tatizo nao cha arusha ndio tatizo. Sasa nyie mtaishi hivyo mpaka lini.
Sasa naomba mchukue ushauri wangu mbadilike, msijifanye nyie mnauchungu na chama kuliko watu wa Kilimanjaro.
Msipobadilika mwaka huu mtailaumu serikali maana Mzee Jakaya kawalea sana. Badilisheni siasa zenu ziwe za kijanja or else.
Oct25 yatafanyika matanga ya ccm...anaebisha akale chumvi. Hatuna muda wa kupoteza kusikiliza ccm tena. Miaka 50+ imetosha kutapeliwa na mafisiemu. Ccm hakifai hata kuwa wapinzani, this time kinakwenda kufa jumla kama vilivyokufa vyama vingine. Watch out and wake up, it's time for CHANGE.
Sijui nicheke! Sasa ww ni kama nani katika nchi hii
Mm nadhani ungeanza kufa, kwani ccm bado itaendelea kukaa ikulu, na kwa sababu wapinzani wamejichanganya, imekula kwao, na utashangaa sana, mtapigwa urais, ubunge na udiwani, kilichopo ni kelele ambazo zimezoeleka kwa Mbowe na wapambe wake, kwani leo tume imekuwa huru? hiyo kura yako unaiharibu bure mpigie Makufuri. Mbowe mwenyewe kaanza kujihami oh mara kura feki zimeingia, amekwisha kuelewa, ww ndo bado unakunywa uji wa mgonjwa.