Watu wa Kusini mtaacha lini kula ngozi ya ng'ombe?

Wajameni watu wa Lindi na Mtwara na wilaya zake zoooote acheni Tabia ya kula ngozi ya ng'ombe mkiifanya eti supu,yaani juzi nimeenda Kijiji flani nikakuta jungu liko juani Tena kijiweni mchana kweupe nikauliza Kuna nini mle nikajibiwa supu, kipande mia tatu viwili miatano nikasema niwekee vya afumbili,Loooo!!!!

Kufumba na kufumbua kuliona supu lenyewe ngozi tupuu mchuzi mweusii alafu wenyewe mmejazana tele mmelizunguka jungu wake Kwa waume eti mnagombea ngozi Tena zingine mmechomeka stiki ukigusa tu mwenye jungu utamskia ngozi hiyo Ina mtu imechaguliwa kaka huoni stiki hiyo!

Nikaishiwa pozi nikashindwa kula ngozi na ngozi zingine mmeweka kwenye kiroba eti Kwa ajili ya kesho !!sasa nawauliza nyie watu wa Lindi na mtwara kwani nyie ng'ombe hamna huko vijjini Hadi mpike ngozi kufanya supu?kibaya kilichoniuma mkasema Hela niliyotoa hamrudishi acheni hizo bhana
Kama sio bikra usioe
 
Watu wa kusini hawana kufuga wala kulima bahati kuna mikorosho iliyojiotea toka zamani..,Mamwinyi alafu wavivu na vigodoro kwasana lazima wale ngozi!!
Muone huyu nae!!

Tangu lini mikorosho ikajiotea kama nyasi pori wewe nyau wa ferry? Mbona watu mna chuki na sisi watu wa kusini namna hii?

Ngozi na kongoro ni muhimu kwa afya au mpaka akushauri daktari?
 
Harafu hela wanaichukukia poa sana.

Yaani mtu anaweza kupanda boda boda kwenda kununua chips za elfu 2.

Boda kwenda buku na kurudi buku. Na hi ni daily
Sasa hiyo ya kuita boda kununua chipisi mbona hata watu wa dar hufanya hivyo Mzee baba?

Nenda kwenye bijiwe maarufu vya chipsi alafu home boda zilivyojaa kwa ajili ya kusubiria delivery kwa wateja wa chipsi.

Wewe ni daktari wa binadamu mkuu? Kama ndiyo waelezee watu umuhimu wa kula ngozi,najua kama daktari unajua umuhimu wa kula ngozi na kongoro.
 
Msimu wa korosho ndio utajua mwafrika hana akili.

Kweli kijijini ndio mtu akuuzie mbuzi laki tatu? Kuzidi hadi Dar.
Yaani kama umezoea kuishi Dar ukienda Mtwara ndio utajua kuwa maisha ya Dar ni rahisi sana!

Ukiwa Dar utakuwa unasikia Mtwara watu wanahela kweli msimu wa korosho, kweli hela wanapata ila hawaendani na maisha wanayoishi!
Hela zenyewe za msimu ila dharau zimewajaa.
 
Pesa za mikoani ni za matajiri tu wanaoenda kula wakiondoka zinahama.
 
Sehemu nyingine 9k nyama safi kabisa.
Cha ajabu huko mikoani watu wanafuga ng'ombe na mbuzi kwa wingi sana.

Watu wa vijijini wanatamaa ya kuuza kwa bei juu.
Mfano unaweza kukaa mwanza urban na usile SAMAKI maana zinauzwa Bei juu..

Ila utashangaa dar es salaam TZ SAMAKI sato na sangara unapata kwa Bei chee kabisa maajabu..

Ndio maana watu wanaamua Bora wabakie dar hata Kama wanateseka....
 
Hatari sana,
Alafu mteja kwao sio kitu ukitaka nunua hutaki acha.
Wakivuna korosho sasa ukienda sokoni samaki wa 3,000 anauzwa kwa 5,000 na watu wananunua!!
We jamaa ni kiazi kitamu.

Unajua Biashara inavyooperate kweli? Yani achana na kusini,unajua Biashara?

Mtu ukiwa na Hela nyingi maana una nguvu ya uchumi kubwa, na sehemu yenye nguvu ya uchumi bidhaa pia hupanda bei.

Nenda katembelee ulaya na marekani uone maisha yalivyo ghali. Au Zanzibar hapo uone vitu venue asili ya utalii kama vinyago(ambavyo ni miti iliyochongwa),kacha na vinginevyo ambavyo wanunuaji ni watu wenye uchumi mkubwa kutoka nchi za ulaya (wazungu) uone vinavyouzwa bei juu au kitu hiko hiko anaweza kuuulizia mbongo bei ikawa chini ila akiuliza mzungu akapandishiwa mara Kumi ya bei ya kawaida.

Wakifanya wamakonde na wamwera unawaona hawana akili. Huu ni ubumunda.
 
Wajameni watu wa Lindi na Mtwara na wilaya zake zoooote acheni Tabia ya kula ngozi ya ng'ombe mkiifanya eti supu,yaani juzi nimeenda Kijiji flani nikakuta jungu liko juani Tena kijiweni mchana kweupe nikauliza Kuna nini mle nikajibiwa supu, kipande mia tatu viwili miatano nikasema niwekee vya afumbili,Loooo!!!!

Kufumba na kufumbua kuliona supu lenyewe ngozi tupuu mchuzi mweusii alafu wenyewe mmejazana tele mmelizunguka jungu wake Kwa waume eti mnagombea ngozi Tena zingine mmechomeka stiki ukigusa tu mwenye jungu utamskia ngozi hiyo Ina mtu imechaguliwa kaka huoni stiki hiyo!

Nikaishiwa pozi nikashindwa kula ngozi na ngozi zingine mmeweka kwenye kiroba eti Kwa ajili ya kesho !!sasa nawauliza nyie watu wa Lindi na mtwara kwani nyie ng'ombe hamna huko vijjini Hadi mpike ngozi kufanya supu?kibaya kilichoniuma mkasema Hela niliyotoa hamrudishi acheni hizo bhana
Kama haiwadhuru waache wajichane!
 
We jamaa ni kiazi kitamu.

Unajua Biashara inavyooperate kweli? Yani achana na kusini,unajua Biashara?

Mtu ukiwa na Hela nyingi maana una nguvu ya uchumi kubwa, na sehemu yenye nguvu ya uchumi bidhaa pia hupanda bei.

Nenda katembelee ulaya na marekani uone maisha yalivyo ghali. Au Zanzibar hapo uone vitu venue asili ya utalii kama vinyago(ambavyo ni miti iliyochongwa),kacha na vinginevyo ambavyo wanunuaji ni watu wenye uchumi mkubwa kutoka nchi za ulaya (wazungu) uone vinavyouzwa bei juu au kitu hiko hiko anaweza kuuulizia mbongo bei ikawa chini ila akiuliza mzungu akapandishiwa mara Kumi ya bei ya kawaida.

Wakifanya wamakonde na wamwera unawaona hawana akili. Huu ni ubumunda
Una hoja lakini unachanganya context hapo Kwenue Lindi mnauziana viazi na wali kwa bei juu wakati huo uchumi mkubwa haupo
 
Wajameni watu wa Lindi na Mtwara na wilaya zake zoooote acheni Tabia ya kula ngozi ya ng'ombe mkiifanya eti supu,yaani juzi nimeenda Kijiji flani nikakuta jungu liko juani Tena kijiweni mchana kweupe nikauliza Kuna nini mle nikajibiwa supu, kipande mia tatu viwili miatano nikasema niwekee vya afumbili,Loooo!!!!

Kufumba na kufumbua kuliona supu lenyewe ngozi tupuu mchuzi mweusii alafu wenyewe mmejazana tele mmelizunguka jungu wake Kwa waume eti mnagombea ngozi Tena zingine mmechomeka stiki ukigusa tu mwenye jungu utamskia ngozi hiyo Ina mtu imechaguliwa kaka huoni stiki hiyo!

Nikaishiwa pozi nikashindwa kula ngozi na ngozi zingine mmeweka kwenye kiroba eti Kwa ajili ya kesho !!sasa nawauliza nyie watu wa Lindi na mtwara kwani nyie ng'ombe hamna huko vijjini Hadi mpike ngozi kufanya supu?kibaya kilichoniuma mkasema Hela niliyotoa hamrudishi acheni hizo bhana
Oya mkuu umenikumbusha siku moja nimeingia street moja daslam "babu Yan Ngombe inachanganywa na kuku🤣afu Sasa ni utumbo na mapupu Dah nilihisi kutapika
 
Back
Top Bottom