Watu wa Kusini mtaacha lini kula ngozi ya ng'ombe?

Ngozi pamoja na kongoro ni mzuri sana kwa afya.

Jitahidi angalau kwa mwezi update hata mara Moja supu ya ngozi au kongoro itakusaidi sana shidi ya magonhwa ya mifupa na uzee.

Kama watu wa kusini wanakula sana ngozi basi ni jambo Jema na la kuigwa. Hizo ngozi na kongoro ulaya unazikuta supermarket zimeandaliwa na kufanyiwa packaging vizuri kabisa. Au nasema uongo Dr Shimba ya Buyenze ?

Alafu ujifunze kuandika vizuri mkuu,weka space na Aya kwenye maandishi yako.
Hujakosea Dkt. Kongoro lina collagen pia; na inasaidia kuhuisha ngozi iliyofifia na kumaliza mwanga. Na ni zuri sana kwa afya ya joints. Kula kongoro kila unapoweza hasa kama uko 70+ kama mimi 🙏🏿
 
Kusini mbali, Mbagala hapo supu ya ngozi unaipata kwa Jero tu..
Na walaji wa hizo ngozi hapo mbagala ukifuatilia ni watu wa Lindi na mtwara na wilaya ya tunduru na ngozi zenyewe hata mafuta hamna yaan mchuzi mkavuuu labda za huko dar ziko poa ila Huku hata manyoya hawaparui vzr
 
Ngozi pamoja na kongoro ni mzuri sana kwa afya.

Jitahidi angalau kwa mwezi update hata mara Moja supu ya ngozi au kongoro itakusaidi sana shidi ya magonhwa ya mifupa na uzee.

Kama watu wa kusini wanakula sana ngozi basi ni jambo Jema na la kuigwa. Hizo ngozi na kongoro ulaya unazikuta supermarket zimeandaliwa na kufanyiwa packaging vizuri kabisa. Au nasema uongo Dr Shimba ya Buyenze ?

Alafu ujifunze kuandika vizuri mkuu,weka space na Aya kwenye maandishi yako.
Wewe ipo siku utamsend-off kijana wako wa kiume kisa eti ulaya wanafanya hivyo.
 
Na walaji wa hizo ngozi hapo mbagala ukifuatilia ni watu wa Lindi na mtwara na wilaya ya tunduru na ngozi zenyewe hata mafuta hamna yaan mchuzi mkavuuu labda za huko dar ziko poa ila Huku hata manyoya hawaparui vzr
Wee meza hivyohivyo cha msingi tumbo lijae.
 
Dar is the best place to live of all regions in Tanzania
Climatic conditions
Economic diversities(oportunities)
Health benefits
Enviroment(support agri)
business
Ect..
Dar es salaam nasikitika kusema ni mji ulio oza kulinganiasha izo sababu hapo mm nikiweka kijiji changu tu inaweza kuishinda dar kua sehemu nzuri ya kuishi

Kwanini wengi mmegandana na wazo lakusema dar sehemu nzuri..ni Aina ya mtindo wa maisha wa kukaa na vyombo vyote ndani ukijiona una nyumba ndio sababu mmeileta hadi kwenye maisha ya njee huko Dar..! UBWEREREE.
Endeleni kukaa uko tuwauzie kila kitu.
MUNGU AWASAIDIE VIJANA WA DAR.
 
Ufukara ndiyo chanzo.

Huku 85 ya raia Ni masikini wanastress mno yaani kosa kidogo tu atakukaripia na kukutukana haswa.

Kiufupi wamevurugwa, utu Ni 10% wa kuigizia tu.

Evidence.

1:-Huku mbuzi aliyekomaa anauzwa 150,000 Hadi 200,000.

Na ngozi yake baada ya kuchinjwa inauzwa pesa nyingi tu.

2:- panya anatumika Kama kifungua kinywa na maji.

3:- Bundi, Chura,Nyoka, Nyani na mwewe Ni mboga za lunch au dinner.

4:- Huku HAKUNA mapenzi Ila pesa, oa ukiwa na tahadhari ya kuachwa muda wowote wanaume wa kimakua wanalifahamu hili (A.Hakimi style).

Karibu Sana makongoro, nimelazimika kuyapenda maana asilimia kubwa ya wanawake huku wenye migahawa hawajui kupika.
Nashukuru Kwa ushuhuda mkuu nilikuwa na mmakonde pwni huyu jamaa alikuwa anajua mitego kibao ya panya na wanyama yaani akitega hata binadamu na akili yake yote anaweza akanasa bila kuusanukia mtengo. Cha ajabu akinasa digidigi kinachotupwa ni kwato,mavi na manyoya tu yaani ana mbabua.

Huku Kanda ya Ziwa tunakula vyakula ambavyo karibia watanzania wote wanakula yaani chakula tunachokula huku Tz yote wanakula (labda isipokuwa wadudu kama kumbikumbui,panzi na senene)

Tofauti na hapo vilivyobaki wanakula kote na sio Tanzania pekee Africa yote.

Yule mmakonde alikuwa anakula panya Hadi chatu!! Na alinishangaza kunakipindi tunakula akasema hili jasho lako kipindi Cha nyuma huko kwetu mtu anachovyea na kula na ugali asee nilishangaa Sana.

Kuna namna ya upishi pia ilikuwa unaniacha hoi asee. Yule jamaa akinasa digidigi atatoa tu kile kinyesi kigumu ambacho kulikuwa Tyr kutolewa kama haja kubwa.

Sasa kwenye ule utumbo wa mavi ya ujiuji hatoi kamwe! Anachofanya anafunga fundo halafu anakata kipande kama sm15 anafunga Tena mbele na nyuma. Akimaliza anachemsha kidogo then anaipua.

Ile supu anaiacha kama siku2-3 Hadi ianze kutoa harufu Kali ndo anaichemsha Tena. Yeye alikuwa anasema ni dawa Ile na ni tamu mno ukimkuta anakula Nzi wamejaa ajabu!!

Kuishi na watu yahitaji uvumilivu sana hapo tukiwa pori sana.alinifanya nisiwe na kula nyama kabisa nikawa nakula kanga na mtegaji ni yeye.

Kuna watu wengine wa manira kama sikosei wa huko huko mbeya wao Hadi nyani wanakula Tena kiganja Cha nyani wanasema kina unato mtamu sana!! Mkuu sio ya kusimuliwa ni yakuona. Halafu sio kwamba ni ulafi la hasha.

Wewe jiulize wasukuma walikuwa wanatuitia ng'ombe mzima tukachukue nyama wakifa Kwa ukame lakni Bado watu wanakula Hadi na mavi yake na muda huo wanatega wanyama pori na ndege kama kanga nk.

Ukitembea ndo utaona mengi Kwa hakika. Siku ya kwanza tu nafika gengeni nakuta mchunga Yale machungu yanauzwa gengeni sikuuliza nikajua labda ni dawa wanauziana ijapokuwa zilikuwa kwenye mafungu!!
 
Wananywesha Soda mbuzi!! Wanawafunga kunguru noti alafu wanawarusha!!
Umenikumbusha, ndugu zetu wamatengo walikuwa wakivuna kahawa, miji inawakoma,... anaweza ingia dukani anakwambia muuzaji, " hebu nipe hilo blanket la elfu sabini"

na wakati huo hilo blanket ni 20,000/😂. na wewe unamkazia, ....boss hili ni 90 000\=🤣🤣

na analipa,...
 
Nashukuru Kwa ushuhuda mkuu nilikuwa na mmakonde pwni huyu jamaa alikuwa anajua mitego kibao ya panya na wanyama yaani akitega hata binadamu na akili yake yote anaweza akanasa bila kuusanukia mtengo. Cha ajabu akinasa digidigi kinachotupwa ni kwato,mavi na manyoya tu yaani ana mbabua.

Huku Kanda ya Ziwa tunakula vyakula ambavyo karibia watanzania wote wanakula yaani chakula tunachokula huku Tz yote wanakula (labda isipokuwa wadudu kama kumbikumbui,panzi na senene)

Tofauti na hapo vilivyobaki wanakula kote na sio Tanzania pekee Africa yote.

Yule mmakonde alikuwa anakula panya Hadi chatu!! Na alinishangaza kunakipindi tunakula akasema hili jasho lako kipindi Cha nyuma huko kwetu mtu anachovyea na kula na ugali asee nilishangaa Sana.

Kuna namna ya upishi pia ilikuwa unaniacha hoi asee. Yule jamaa akinasa digidigi atatoa tu kile kinyesi kigumu ambacho kulikuwa Tyr kutolewa kama haja kubwa.

Sasa kwenye ule utumbo wa mavi ya ujiuji hatoi kamwe! Anachofanya anafunga fundo halafu anakata kipande kama sm15 anafunga Tena mbele na nyuma. Akimaliza anachemsha kidogo then anaipua.

Ile supu anaiacha kama siku2-3 Hadi ianze kutoa harufu Kali ndo anaichemsha Tena. Yeye alikuwa anasema ni dawa Ile na ni tamu mno ukimkuta anakula Nzi wamejaa ajabu!!

Kuishi na watu yahitaji uvumilivu sana hapo tukiwa pori sana.alinifanya nisiwe na kula nyama kabisa nikawa nakula kanga na mtegaji ni yeye.

Kuna watu wengine wa manira kama sikosei wa huko huko mbeya wao Hadi nyani wanakula Tena kiganja Cha nyani wanasema kina unato mtamu sana!! Mkuu sio ya kusimuliwa ni yakuona. Halafu sio kwamba ni ulafi la hasha.

Wewe jiulize wasukuma walikuwa wanatuitia ng'ombe mzima tukachukue nyama wakifa Kwa ukame lakni Bado watu wanakula Hadi na mavi yake na muda huo wanatega wanyama pori na ndege kama kanga nk.

Ukitembea ndo utaona mengi Kwa hakika. Siku ya kwanza tu nafika gengeni nakuta mchunga Yale machungu yanauzwa gengeni sikuuliza nikajua labda ni dawa wanauziana ijapokuwa zilikuwa kwenye mafungu!!
Nikiwa chimbo , nilikuwa makini sana na nyama yeyote ile inayoletwa kambini,...maana kuna majamaaa walikuwa wanakula mpaka KOBE na PANYA,.... kwahiyo ukivamia hovyo, unaweza kula vitu vya ajabu,......
 
Ngozi pamoja na kongoro ni mzuri sana kwa afya.

Jitahidi angalau kwa mwezi update hata mara Moja supu ya ngozi au kongoro itakusaidi sana shidi ya magonhwa ya mifupa na uzee.

Kama watu wa kusini wanakula sana ngozi basi ni jambo Jema na la kuigwa. Hizo ngozi na kongoro ulaya unazikuta supermarket zimeandaliwa na kufanyiwa packaging vizuri kabisa. Au nasema uongo Dr Shimba ya Buyenze ?

Alafu ujifunze kuandika vizuri mkuu,weka space na Aya kwenye maandishi yako.
Kongole mkuu. Nadhani Watu wamejifunza kitu hapa. Nakazia mstari wa pili na wa tatu inayosema:Jitahidi angalau kwa mwezi update hata mara Moja supu ya ngozi au kongoro itakusaidi sana shidi ya magonhwa ya mifupa na uzee.
Ni hayo tu.
 
Upate bikra lindi?

Kwanza Lindi na Mtwara kuna wanawake wachache😅😅😅

Yaani kule hata mwanamke mwenye Umbo la Polygon anathamani sana.
Nimewahi kwenda kijiji kimoja Mtwara huko kinapakana na Msumbiji, nimekaa kijiweni Asubuhi mpaka saa 12 jioni nilibahatika kuona wanawake watatu tu barabarani, baada ya kuuliza nikaambiwa wanawake muda nwingi wanakuwa majumbani ni ngumu kuwaona kwa wingi mtaani.
 
Wajameni watu wa Lindi na Mtwara na wilaya zake zoooote acheni Tabia ya kula ngozi ya ng'ombe mkiifanya eti supu,yaani juzi nimeenda Kijiji flani nikakuta jungu liko juani Tena kijiweni mchana kweupe nikauliza Kuna nini mle nikajibiwa supu, kipande mia tatu viwili miatano nikasema niwekee vya afumbili,Loooo!!!!

Kufumba na kufumbua kuliona supu lenyewe ngozi tupuu mchuzi mweusii alafu wenyewe mmejazana tele mmelizunguka jungu wake Kwa waume eti mnagombea ngozi Tena zingine mmechomeka stiki ukigusa tu mwenye jungu utamskia ngozi hiyo Ina mtu imechaguliwa kaka huoni stiki hiyo!

Nikaishiwa pozi nikashindwa kula ngozi na ngozi zingine mmeweka kwenye kiroba eti Kwa ajili ya kesho !!sasa nawauliza nyie watu wa Lindi na mtwara kwani nyie ng'ombe hamna huko vijjini Hadi mpike ngozi kufanya supu?kibaya kilichoniuma mkasema Hela niliyotoa hamrudishi acheni hizo bhana
Mkuu; Hoja yako au makasiriko yako hapa ni kutokurudishiwa hela uliyotoa au kuna kingine?
1. Kwa wao Watu wa kusini na wengine nikiwemo hata mimi, kwa wao kula ngozi kumekuathiri au ww unadhurika kivp??
2. Kumbuka kwamba wewe sio kipimio(Yard stick au SI unit) ya ni nini watu wawe wanakula au wasile.
3. Wahenga walisema "Tembea uone" na wengine walisema "Toka nje ya boksi". Kumbuka siku zote Kitu chochote kinacholiwa na mwanadamu bila kuleta madhara kinaitwa ni chakula. Kwa mantiki hiyo chakula sio kile kitu unachokula wewe tuu au kile kinacholiwa maeneo ya kwenu tuu.. Ni heshima na busara kama ukifika mahali kwa watu na ukakuta kile wanachokula kwako wewe haulagi basi wewe potezea kinamna sio kuja kuwapandishia uzi hapa jamvini na wala usidhani wanakula hicho chakula kutokana na umaskini au ufgukara. Hapana. e.g. Denamark wanakula chura, kaa(Crabs), konokono(snails), uduvi na kamba(shrimps na prawns).Je wale Wadenish ni maskini (Samahani lakini).
 
Nimewahi kwenda kijiji kimoja Mtwara huko kinapakana na Msumbiji, nimekaa kijiweni Asubuhi mpaka saa 12 jioni nilibahatika kuona wanawake watatu tu barabarani, baada ya kuuliza nikaambiwa wanawake muda nwingi wanakuwa majumbani ni ngumu kuwaona kwa wingi mtaani.
Hata majumbani hawapo. Mitaani hakuna pia
 
Back
Top Bottom