Watu wa Kusini mtaacha lini kula ngozi ya ng'ombe?

Watu wa Kusini mtaacha lini kula ngozi ya ng'ombe?

MTI MWIBA

Member
Joined
Aug 18, 2022
Posts
29
Reaction score
43
Wajameni watu wa Lindi na Mtwara na wilaya zake zoooote acheni Tabia ya kula ngozi ya ng'ombe mkiifanya eti supu, yaani juzi nimeenda Kijiji flani nikakuta jungu liko juani Tena kijiweni mchana kweupe nikauliza Kuna nini mle nikajibiwa supu, kipande mia tatu viwili miatano nikasema niwekee vya afumbili, Loooo!!!!

Kufumba na kufumbua kuliona supu lenyewe ngozi tupuu mchuzi mweusii alafu wenyewe mmejazana tele mmelizunguka jungu wake Kwa waume eti mnagombea ngozi Tena zingine mmechomeka stiki ukigusa tu mwenye jungu utamskia ngozi hiyo Ina mtu imechaguliwa kaka huoni stiki hiyo!

Nikaishiwa pozi nikashindwa kula ngozi na ngozi zingine mmeweka kwenye kiroba eti Kwa ajili ya kesho !!sasa nawauliza nyie watu wa Lindi na Mtwara kwani nyie ng'ombe hamna huko vijjini Hadi mpike ngozi kufanya supu?kibaya kilichoniuma mkasema Hela niliyotoa hamrudishi acheni hizo bhana
 
Ngozi pamoja na kongoro ni mzuri sana kwa afya.

Jitahidi angalau kwa mwezi update hata mara Moja supu ya ngozi au kongoro itakusaidi sana shidi ya magonhwa ya mifupa na uzee.

Kama watu wa kusini wanakula sana ngozi basi ni jambo Jema na la kuigwa. Hizo ngozi na kongoro ulaya unazikuta supermarket zimeandaliwa na kufanyiwa packaging vizuri kabisa. Au nasema uongo Dr Shimba ya Buyenze ?

Alafu ujifunze kuandika vizuri mkuu,weka space na Aya kwenye maandishi yako.
 
wajameni watu wa Lindi na mtwara na wilaya zake zoooote acheni Tabia ya kula ngozi ya ng'ombe mkiifanya eti supu,yaani juzi nimeenda Kijiji flani nikakuta jungu liko juani Tena kijiweni mchana kweupe nikauliza Kuna nini mle nikajibiwa supu, kipande mia tatu viwili miatano nikasema niwekee vya afumbili,Loooo!!!! Kufumba na kufumbua kuliona supu lenyewe ngozi tupuu mchuzi mweusiiii alafu wenyewe mmejazana tele mmelizunguka jungu wake Kwa waume eti mnagombea ngozi Tena zingine mmechomeka stiki ukigusa tu mwenye jungu utamskia ngozi hiyo Ina mtu imechaguliwa kaka huoni stiki hiyo! nikaishiwa pozi nikashindwa kula ngozi na ngozi zingine mmeweka kwenye kiroba eti Kwa ajili ya kesho !!sasa nawauliza nyie watu wa Lindi na mtwara kwani nyie ng'ombe hamna huko vijjini Hadi mpike ngozi kufanya supu?kibaya kilichoniuma mkasema Hela niliyotoa hamrudishi acheni hizo bhana
Uzi hauna space,hauna Aya,Hauna nukta,Hauna koma,alafu unawakosoa wanaokula supu ya ngozi.

Moderator msaidieni huyu jamaa kuweka vizuri huu Uzi wake. Unakifu kusoma.
 
Wajameni watu wa Lindi na Mtwara na wilaya zake zoooote acheni Tabia ya kula ngozi ya ng'ombe mkiifanya eti supu,yaani juzi nimeenda Kijiji flani nikakuta jungu liko juani Tena kijiweni mchana kweupe nikauliza Kuna nini mle nikajibiwa supu, kipande mia tatu viwili miatano nikasema niwekee vya afumbili,Loooo!!!!

Kufumba na kufumbua kuliona supu lenyewe ngozi tupuu mchuzi mweusii alafu wenyewe mmejazana tele mmelizunguka jungu wake Kwa waume eti mnagombea ngozi Tena zingine mmechomeka stiki ukigusa tu mwenye jungu utamskia ngozi hiyo Ina mtu imechaguliwa kaka huoni stiki hiyo!

Nikaishiwa pozi nikashindwa kula ngozi na ngozi zingine mmeweka kwenye kiroba eti Kwa ajili ya kesho !!sasa nawauliza nyie watu wa Lindi na mtwara kwani nyie ng'ombe hamna huko vijjini Hadi mpike ngozi kufanya supu?kibaya kilichoniuma mkasema Hela niliyotoa hamrudishi acheni hizo bhana
Vijijini watu wana shida sana. Milo ni ya hovyo sana na gharama kubwa pamoja kwamba kila kitu kinapatikana
 
Ngozi pamoja na kongoro ni mzuri sana kwa afya.

Jitahidi angalau kwa mwezi update hata mara Moja supu ya ngozi au kongoro itakusaidi sana shidi ya magonhwa ya mifupa na uzee.

Kama watu wa kusini wanakula sana ngozi basi ni jambo Jema na la kuigwa. Hizo ngozi na kongoro ulaya unazikuta supermarket zimeandaliwa na kufanyiwa packaging vizuri kabisa. Au nasema uongo Dr Shimba ya Buyenze ?

Alafu ujifunze kuandika vizuri mkuu,weka space na Aya kwenye maandishi yako.
Sawa
 
Njoo Zanzibar uone ngozi zinavyololiwa Kwa Kasi kubwa..Swali kwako na huku Zenj ni kusini?
Ana chuki zake tu huyo na watu wa kusini.

Ngozi wanauza kariakoo ambako ndiyo center of business kwa hapa Tanzania sembuse Lindi na mtwara.

Au wale wanaojazana kula ngozi na makende ya ng'ombe pale gerezani ni watu wa kusini? Na hawana Hela ya kununua nyama?

Jamaa wa pale gerezani wanafunga Kijiji kuanzia mida ya saa Moja jioni wanauza ngozi na map*mb* ya ng'ombe Tena buku buku,ndimu na pilipili kibao!! Walaji ni wamakonde,wamwera ,wamakua na wayao?
 
Ana chuki zake tu huyo na watu wa kusini.

Ngozi wanauza kariakoo ambako ndiyo center of business kwa hapa Tanzania sembuse Lindi na mtwara.

Au wale wanaojazana kula ngozi na makende ya ng'ombe pale gerezani ni watu wa kusini?

Jamaa wa pale gerezani wanafunga Kijiji kuanzia mida ya saa Moja jioni wanauza ngozi na map*mb* ya ng'ombe Tena buku buku,ndimu na pilipili kibao!! Walaji ni wamakonde,wamwera ,wamakua na wayao?
Haaahaa
 
Ufukara ndiyo chanzo.

Huku 85 ya raia Ni masikini wanastress mno yaani kosa kidogo tu atakukaripia na kukutukana haswa.

Kiufupi wamevurugwa, utu Ni 10% wa kuigizia tu.

Evidence.

1:-Huku mbuzi aliyekomaa anauzwa 150,000 Hadi 200,000.

Na ngozi yake baada ya kuchinjwa inauzwa pesa nyingi tu.

2:- panya anatumika Kama kifungua kinywa na maji.

3:- Bundi, Chura,Nyoka, Nyani na mwewe Ni mboga za lunch au dinner.

4:- Huku HAKUNA mapenzi Ila pesa, oa ukiwa na tahadhari ya kuachwa muda wowote wanaume wa kimakua wanalifahamu hili (A.Hakimi style).

Karibu Sana makongoro, nimelazimika kuyapenda maana asilimia kubwa ya wanawake huku wenye migahawa hawajui kupika.
 
Ana chuki zake tu huyo na watu wa kusini.

Ngozi wanauza kariakoo ambako ndiyo center of business kwa hapa Tanzania sembuse Lindi na mtwara.

Au wale wanaojazana kula ngozi na makende ya ng'ombe pale gerezani ni watu wa kusini?

Jamaa wa pale gerezani wanafunga Kijiji kuanzia mida ya saa Moja jioni wanauza ngozi na map*mb* ya ng'ombe Tena buku buku,ndimu na pilipili kibao!! Walaji ni wamakonde,wamwera ,wamakua na wayao?
Hana akili nadhani ni stupid mindset
 
Harafu hela wanaichukukia poa sana.

Yaani mtu anaweza kupanda boda boda kwenda kununua chips za elfu 2.

Boda kwenda buku na kurudi buku. Na hi ni daily
Hatari sana,
Alafu mteja kwao sio kitu ukitaka nunua hutaki acha.
Wakivuna korosho sasa ukienda sokoni samaki wa 3,000 anauzwa kwa 5,000 na watu wananunua!!
 
Back
Top Bottom