Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 6,406
- 9,828
Wewe acha uongo lindi nyama ni 9000-10000 tuWana njaa sana. Imagine Lindi kilo ya nyama 13k sio stake.
Sasa hapo kwa maisha ya mkoani wana uwezo huo?
Wewe acha uongo lindi nyama ni 9000-10000 tuWana njaa sana. Imagine Lindi kilo ya nyama 13k sio stake.
Sasa hapo kwa maisha ya mkoani wana uwezo huo?
Chuki na dharau dhidi ya kusini haujaianza wewe msichana walianza wengi mno hivi kama kusini watu hawalimi je ufuta,mbaazi na choroko analima mama yako?Watu wa kusini hawana kufuga wala kulima bahati kuna mikorosho iliyojiotea toka zamani..,Mamwinyi alafu wavivu na vigodoro kwasana lazima wale ngozi!!
wewe ni mpuzi aisee kwahiyo unawapangia watu jinsi ya kutumia pesa zao? Haya wewe unayeichukulia pesa serious una kipi cha kuwazidi wanakusini?Harafu hela wanaichukukia poa sana.
Yaani mtu anaweza kupanda boda boda kwenda kununua chips za elfu 2.
Boda kwenda buku na kurudi buku. Na hi ni daily
Punguza uongo au kanisani ndiko wanakufundisha hivyo? Kwa taarifa yako hakuna sehemu salama kuishi kama huku kusini...ustaàrabu ulianzia pwani au hilo wewe haulijui? Ushawahi kusikia mauaji ya vikongwe na albino? Hivi haujui lindi na mtwara 70% ya wakazi ni waislamu?sasa tangu lini muislamu akala vitu hivyo?Ufukara ndiyo chanzo.
Huku 85 ya raia Ni masikini wanastress mno yaani kosa kidogo tu atakukaripia na kukutukana haswa.
Kiufupi wamevurugwa, utu Ni 10% wa kuigizia tu.
Evidence.
1:-Huku mbuzi aliyekomaa anauzwa 150,000 Hadi 200,000.
Na ngozi yake baada ya kuchinjwa inauzwa pesa nyingi tu.
2:- panya anatumika Kama kifungua kinywa na maji.
3:- Bundi, Chura,Nyoka, Nyani na mwewe Ni mboga za lunch au dinner.
4:- Huku HAKUNA mapenzi Ila pesa, oa ukiwa na tahadhari ya kuachwa muda wowote wanaume wa kimakua wanalifahamu hili (A.Hakimi style).
Karibu Sana makongoro, nimelazimika kuyapenda maana asilimia kubwa ya wanawake huku wenye migahawa hawajui kupika.
Kwanza alishafika kwa wanaijeria?Ndugu yangu kwa uichoakiandika hapa watanzania tuna maisha mazuri sana. Nimekutana na wakongo na watu wa west afrika huku nilicokiona aisee. Nilienda kwenye event yao ya vyakula vya kiafrika. Watu wanakula zile funza za magogo ya miti. Na viwavi pia ni chakula pendwa nilibaki nashangaa.
Ni kujifunza tu ndugu mtanzania!Hii nayo kali ndio nasikia Leo toka nizaliwe
Bosi samahani hivi ni "AFUMBILI" au "ELFU MBILI"Wajameni watu wa Lindi na Mtwara na wilaya zake zoooote acheni Tabia ya kula ngozi ya ng'ombe mkiifanya eti supu, yaani juzi nimeenda Kijiji flani nikakuta jungu liko juani Tena kijiweni mchana kweupe nikauliza Kuna nini mle nikajibiwa supu, kipande mia tatu viwili miatano nikasema niwekee vya afumbili, Loooo!!!!
Kufumba na kufumbua kuliona supu lenyewe ngozi tupuu mchuzi mweusii alafu wenyewe mmejazana tele mmelizunguka jungu wake Kwa waume eti mnagombea ngozi Tena zingine mmechomeka stiki ukigusa tu mwenye jungu utamskia ngozi hiyo Ina mtu imechaguliwa kaka huoni stiki hiyo!
Nikaishiwa pozi nikashindwa kula ngozi na ngozi zingine mmeweka kwenye kiroba eti Kwa ajili ya kesho !!sasa nawauliza nyie watu wa Lindi na Mtwara kwani nyie ng'ombe hamna huko vijjini Hadi mpike ngozi kufanya supu?kibaya kilichoniuma mkasema Hela niliyotoa hamrudishi acheni hizo bhana
Yaani wewe unaongea na mkazi wa mtwara halafu unambishia kuhusu anachokiishi.Punguza uongo au kanisani ndiko wanakufundisha hivyo? Kwa taarifa yako hakuna sehemu salama kuishi kama huku kusini...ustaàrabu ulianzia pwani au hilo wewe haulijui? Ushawahi kusikia mauaji ya vikongwe na albino? Hivi haujui lindi na mtwara 70% ya wakazi ni waislamu?sasa tangu lini muislamu akala vitu hivyo?