- Thread starter
- #81
Ngoja nijidai kama sijaiona hii...hakiyamungu ka mimi nimeambiwa hivi najitundika leo leo!
nape wanamvua gamba...nani atawalipa sasa?
Ngoja nijidai kama sijaiona hii...hakiyamungu ka mimi nimeambiwa hivi najitundika leo leo!
.....................................................
Kuna watu kila thread yeye anacomment kuanzia asubuhi hadi jioni. Utakuta kwenye thread moja mtu ana comment zaidi ya 20, halafu amecoment thread 20 au 30. kwa wastani kila dakika anakuwa amecoment kitu. Kazi anafanya saa ngapi? naamini wengi wameajiliwa kwa mantik hiyo wanaiba muda wa mwajir na hivyo wanalipwa malipo ambayo hawastahili. huu ni wizi mkubwa.
hata kama umejiajir, lazima ulipwe kutokana na kazi unayoifanya. sasa kama siku nzima wewe unacomment mmu hiyo kazi unafanya saa ngapi? pia mnalipwa malipo haramu. na huu pia ni ufisadi ambao wengi humu wanajifanya kuupinga hali wao ni mafisadi wakuu. kwa mtindo huu uzalendo uko wapi. nchi hii itaendelea kweli.
Fanyeni kazi badala ya kushinda kupiga umbea mitandaoni.
Ngumu kumeza lakini ukweli ndio huo.
Kiritimba,
25.11.2011
Mimi sihusiki, niko zangu Likizoooo....................!!!!
Watu wanatumia mitandao kulisha familia zao na sio makuli kama unavyo fikiria kalaghabaho
we umenenahivi mwizi ni yule anayekomment kila uzi au anayeshinda kuangalia nani kacomment?
yaelekea uwelewa wako uko chini sana, kama m2 hayupo busy kiivo au unadhani we ulivyo kwa wahindi ndo kila m2?? mwngne kajiajiri!
We masaaburi nini?we kama unaona muda huna umelazimishwa,au umetuajiri wewe,naona unafikiria kutumia masaburi si mzima wewe.
Kwani huyu sio aliaga jukwaa hili jana kwamba hatorudi tena? na kama unauwezo wa kuwaona wenzako kwamba wanashinda kwenye mtandao wewe huwa unakuwaga wapi? kwenye makalio au mtandaoni? hizi ni thread za kipuuzi kutoka kwa mpuuzi.
Hata mimi nashangaa leo karudi kufanya nini tena hapa. Hajui pia wengine hii ndio ajira yao?
Asante kwa kuliona hilo,lakini wengine wamejiajiri ,Laptop zipo full mtandao ..Na JF ni kisima cha burudani
:focus:
Tutabisha lakini me binafsi naona ni ukweli,tena hz international companies wameshaanza kulalamika wa tz tunatumia muda mwingi kwa social sites kuliko kufanya kazi na tunapenda kutoa excuse kibao
Kiritimba umeingia porini kinyama, kama umegundua thread nyingi zinazohusu mahusiano na jamii hazihusishi uchambuzi yakinifu na hazibore mara nyingi na hivyo kufanya urahisi wa ku comment.
Thread nyingi ndefu zenye uchambuzi hudorora na kusi appear automatically. Hii inaweza kuwa ni kutokana na urefu wa mada yenyewe na kumfanya msomaji kushindwa kuendelea aidha kwa sababu anatumia simu au uhaba wa muda.
Hivyo basi, kushinda watu majukwaani haimananishi hawafanyi kazi, kila kitu ni kujiwekea taratibu tu mkuu.
we si ulinyea kambi MMU? Anakula matapishi!!!!!!! Aghhhhhhh
auchiiiiiiiii
Unawachoma wengi humu duhhh
Kiritimba karibu tena
hebu tujuze cuz leo post yako ya kwanza umeipost leo saa 10:25 na mpka sasa hivi ni saa 8 kasoro upo active kwenye hii thread. umetumia zaidi ya masaa matatu hapa JF! Huo muda umeupata wapi?najua kuna watu hii ni ajira, lakini si wote. wengi wao ni wezi wa muda, aidha wanaibia watu wengine au wanajiibia wenyewe.
nyani haoni kundule lake, ulijua vipi hayo?
hebu tujuze cuz leo post yako ya kwanza umeipost leo saa 10:25 na mpka sasa hivi ni saa 8 kasoro upo active kwenye hii thread. umetumia zaidi ya masaa matatu hapa JF! Huo muda umeupata wapi?