Gaza: Ujenzi wa Barabara & Bandari

Gaza: Ujenzi wa Barabara & Bandari

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
3,358
Reaction score
5,917
Huko Gaza vita vinaendelea, ila kuna jambo limefanywa na Israel hivi karibuni na lingine linataka kufanywa na US muda si mrefu, ambayo yanatafakarisha sana kuhusu mustakabali wa Wapalestina kuishi tena Gaza hata baada ya vita.

1. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limemaliza kujenga barabara mpya inayopita kaskazini mwa Gaza kutoka mashariki hadi magharibi, kulingana na picha za satelaiti zilizothibitishwa na BBC.

2. Meli ya kivita ya Marekani inaelekea Gaza ikiwa na vifaa vya ujenzi ambapo wanaenda kujenga bandari ya muda kwa ajili ya kupitishia mahitaji ya kibinadamu kwa waathiriwa wa vita huko Gaza.

Vyanzo vyote vya habari ni BBC Swahili.

Hisia (Kweli au Si kweli)

1. Je, Israel ina mpango wa kuikalia Gaza moja kwa moja hata baada ya vita kama ambavyo ilikuwa inahisiwa japo Israel alikuwa akikanusha?

NB
Marekani ni bingwa wa propaganda, hivyo kuanza kuonekana tena Gaza akijenga bandari basi kuna kitu kitatokea.

Marekani mara nyingi kile anachokisema siyo kile anachokitenda, na anachokitenda siyo kile anachokisema.
 
Waislam tumetakiwa kipindi cha swaumu kuzidisha dua kwa ndugu wa Palestina
 
Kama ni kweli Meli hiyo inaelekea huko na wanataka kujenga bandari basi hiyo ni njia ya kuhalalisha ardhi kuchukuliwa na rafiki mtu kabisaa.
 
Hiki ndio kipindi huwa mnalipuka kwa mabomu sana, ndio dini inayosumbua dunia kwa chuki mkifuata maagizo ya kitabu kilichoandikwa na muarabu kule jangwani, maagizo ambayo hata yeye yaimshinda akaishia kugegeda katoto ka miaka 9.

Vizuri sana Israel kujenga barabara na Marekani kuanza jitihada za kujenga bandari, hiyo Gaza ikaliwe na wapenda amani, wawatie mimba hao Wapalestina wazaliane kizazi kipya kisicho na uzombi wa hiyo dini.
 
Kafiri naona umepagawa. Alikuwepo kafiri mkubwa Farau lkn sasa hivi kageuka sanamu. Kwa hivyo kafiri wewe utaondoka ktk dunia huku kizazi chako kinaingia ktk uislam.
 
Kama ni kweli Meli hiyo inaelekea huko na wanataka kujenga bandari basi hiyo ni njia ya kuhalalisha ardhi kuchukuliwa na rafiki mtu kabisaa.
Watahama tu. Muislam history anasomeshwa kizazi hadi kizazi.
 
Hana nguvu, sayansi wala teknolijia, ni Iran peke yake, naye hawezi ikomboa Palestina
Muislam hata miaka ijayo anaamini Palestina ni ardhi ya waislam duniani. Kwa hivyo usikhofu watatokea wenye nguvu kuwafurusha hao. Muislam aliekuwa hajazaliwa akizaliwa tu na akisoma quran anajua ukweli
 
Kafiri naona umepagawa. Alikuwepo kafiri mkubwa Farau lkn sasa hivi kageuka sanamu. Kwa hivyo kafiri wewe utaondoka ktk dunia huku kizazi chako kinaingia ktk uislam.

Haya yote yaliandikwa na muarabu kule jangwani wewe umekuta yanahadithiwa na kuingia kichwa kichwa, je unaanza kujitesa njaa ya swaumu lini, halafu hiki ndio kipindi huwa mnazidisha maovu.
 
Alikuwepo kafiri mkubwa kuliko kafiri wewe
 
Muda mrefu Myahudi alikua anataka kuchimba mafuta na gesi iliyopo Gaza lakini Hamas walikua wanawakazia.
Wakaplan false flag terror ya 7october wakaua raia wao kwa kutumia Apache helicopter ili wapate kisingizio cha kufanya Genocide, wawafukuze wapalestina na kuikalia Gaza kwa nguvu ili wawapore mafuta na gesi yao.
Hapo Marekani haji kujenga bandari bali wanakuja kuchimba visima vya gesi.
Wazungu linapokuja suala la maslahi yao hua hawana cha haki za binaadamu wala sheria za kimataifa.
 
Wakawateka na watu wao wakaenda waficha gaza israel ni noma. Na mpaka sasa wanawashikilia mateka wao wengine wamewaficha gaza. Naanza pata wasiwasi na akili za mwamedi na allah na walichoandika kwenye vile vijitabu itakua uujinga sana
 
Kafiri naona umepagawa. Alikuwepo kafiri mkubwa Farau lkn sasa hivi kageuka sanamu. Kwa hivyo kafiri wewe utaondoka ktk dunia huku kizazi chako kinaingia ktk uislam.
Mhuuu ila kuamini dini ya Kislamu na kufata mafundisho yake inatakiwa ujitoe akili kweli kweli au uwe mbumbumbu hasa, ndiyo maana wao wako duniani lakini haitaki elimu ya hapa wanataka elimu ya ahera na wamehaidiwa mabikra 72
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuweke vyeti hapa? Mimi nimesoma hata familia yako muunganishwe hamjanifikia
 
Israel itaongeza eneo lake la kukaa, hiyo barabara inaigawa Palestine Kusini na Kaskazini. Kaskazini huko (Rafah) ndio wapalestina wamekimbilia baada baada ya huko Gaza kupigwa. Ndio maana population imejaa huko. Lakini pia ni rahisi kuwashambulia zaidi na kuleta madhara kwa kuwa eneo linakuwa dogo na hakuna kwa kukimbilia.

Barabara itazuia wapalestina kurudi Gaza, na hiyo bandari baadae inaweza kutumika kuwaondoa kabisa hao wapalestina. Hakuna kitu anafanya US Middle East kisichokuwa na faida kwa Israel.
 
Muda mrefu Myahudi alikua anataka kuchimba mafuta na gesi iliyopo Gaza lakini Hamas walikua wanawakazia.
Wakaplan false flag terror ya 7october wakaua raia wao kwa kutumia Apache helicopter ili wapate kisingizio cha kufanya Genocide, wawafukuze wapalestina na kuikalia Gaza kwa nguvu ili wawapore mafuta na gesi yao.
Hapo Marekani haji kujenga bandari bali wanakuja kuchimba visima vya gesi.
Wazungu linapokuja suala la maslahi yao hua hawana cha haki za binaadamu wala sheria za kimataifa.
Mbona hao Hamas hawajakanusha kwamba walishambulia? Au nao ni vibaraka wa Israel?
 
Back
Top Bottom