Watu wa Dar ni wazembe na wachafu sana.

Watu wa Dar ni wazembe na wachafu sana.

Si ndo uzembe wenyewe nao kuzungumzia mimi, pale nilipo panga mwenye nyumba alikuwa anaishi hapo hapo, so akawa anaongea vyumba na maisha yake ya kuunga Unga tu
Maisha yake ya kuunga vipi wakati kawapangisha nyie mabwege mliokuja town kwa fuso la ng’ombe 😹😹😹

Umepanga chumba cha elfu 60 afu unalalamika maji yanaingia ndani kwako, ulitaka yaende wapi? 😹
 
Hawa watu wa mikoani wanashida sana. Sasa kama unaona sehemu haijufai si urudi ulipotoka?
Chiwawa sio wa kumsikiza, kwanza huko mikoani kwao wanakunya maporini hawanawi..!!
Amefika jijini anajikuta msafi, kwa usafi upi wasukuma walionao?

Bus zao tu ukipanda ni changamoto, harufu chafuchafu tupu. 😹😹
 
Kila siku mnaisimanga Dar lakini hamuishi kuja sijui mnafuata nini? Yaani chumba elfu 60 halafu utegemee ustarabu? Kapange sehemu za kueleweka ulipe laki 2 kuendelea kama utapata hizo shida
 
Gorofa?
Huyu anachonjsifia sasa ni kuwa winga tu, umri unasogea na anaona kabisa hana future kinacho baki ni kutumia jf kama sehemu ya kutema nyongo kwa kuchezea ujana wake.

Anashindia afiya(ya jero) na mihogo ya buku daily... Anakesha kuzurura na vijora toka asubuhi mpaka giza.
😹😹😹 Mi winga kweli tena choka mbaya, njoo basi uniungishe kijora ukivae kesho kanisani..!!

Mwenzio lakini nna nyumba ya urithi bonyokwa, wewe town unafanya nini kazi huna? UTAOLEWA CHIWAWA 😹
 
Maisha yake ya kuunga vipi wakati kawapangisha nyie mabwege mliokuja town kwa fuso la ng’ombe 😹😹😹

Umepanga chumba cha elfu 60 afu unalalamika maji yanaingia ndani kwako, ulitaka yaende wapi? 😹
Matako ya nguruwe wewe, umelaaniwa🤣
 
😹😹😹 Mi winga kweli tena choka mbaya, njoo basi uniungishe kijora ukivae kesho kanisani..!!

Mwenzio lakini nna nyumba ya urithi bonyokwa, wewe town unafanya nini kazi huna? UTAOLEWA CHIWAWA 😹
Nywanokwbe
 
Back
Top Bottom