Watu wa Dar ni wazembe na wachafu sana.

Watu wa Dar ni wazembe na wachafu sana.

Chiwawa jifunze kusoma na kuelewa,nilikua nasoma sekondary..

Banza alikua mwanamuziki maarufu Tanzania,.wengine walikua wafanyakazi wa barbershop..

Kwanini huna akili??
I don't care

Sasa unataka kurudi ukakae kwa wenye pesa ukila na kusikiliza umbea wao, wakati wao doo I naingia tu 24/7?

Kuambiwa ukweli ndo kukosa akili?
 
I don't care

Sasa unataka kurudi ukakae kwa wenye pesa ukila na kusikiliza umbea wao, wakati wao doo I naingia tu 24/7?

Kuambiwa ukweli ndo kukosa akili?
Kushindwa kusoma na kuelewa ndio kunafanya nijue wewe punguani akili kisoda..nani kasema tulikua tunakula?nani kasema wana Doo?nani kasema wanaingiza doo 24/7??

Why huwezi kuelewa hata sentence rahisi?stupid right?
 
Halafu ukichunguza mliopanga humo wote wakuja kutoka mikoani.
Hakuna ile nyumba ni mtu wa huku huku na alirithi kwa wazee wake na familia yake unaishi hapo hapo, na wana pia wa nachangia mazingira yale yale na wapangaji
 
Nyie wa mikoani ndo wazembe, hapo mlipopanga uliona kuna mdaslama?

Wana dar es Salam tuko kwenye nyumba za urithi tumetulia..!!

Pambaneni wa kuja kivyenu huko..!!

Vipi ulikua unakalia kigogo au kund uchi? 😹
Hawa watu wa mikoani wanashida sana. Sasa kama unaona sehemu haijufai si urudi ulipotoka?
 
Kushindwa kusoma na kuelewa ndio kunafanya nijue wewe punguani akili kisoda..nani kasema tulikua tunakula?nani kasema wana Doo?nani kasema wanaingiza doo 24/7??

Why huwezi kuelewa hata sentence rahisi?stupid right?
Kwa nini uwe triggered kama siku maanisha?

Acha kuwa mropokaji wa vitu vitakvyo kufanya tuonekane mtu wa aina gani.

Na ilivyo shida yenu watu wa dar huwa hamjifichi, unakuta jitu zima limevaa pensi nalo linakupa stori eti, nimekaa kijiwe flani n diamond kabla haja toka kimziki..

Like wth? Sasa inakusaidia nini?
 
Nakumbuka kipindi ndo nina fika jiji la Dar..

Piga hesabu nikalipia chumba cha elf 60 single, Oya cha ovyo kinyama.

Basi, nikaoneshwa pale kuwa wa au taratibu wa kulipia umeme elf 15! Maji na na taka elf5 so inakuwa ujumla elf 80.

Nikawalipa, chumba kilikuwa haija kamilika, father house akaniambia kuwa after 3 days atakuwa kuwa mchezo.

Oya, niliyo yaona nilijua mie,

Kwanza chumba Hakika pigwa finishing inayo eleweka, mlango nimewekeza wa bodi(sio mbao), sakafu haijawekewa PVC lile zege la chini lina pitisha maji yanakuja juu,

Mazingira sasa, aisee, uchafu, chooni pachafu, na tayari nilikuwa nimesha lipa miezi 6, nikasema huu ni usenge.

Watanzania ni sio wastaarabu kabisa, ni wajinga wa fikra, hawana haya, hawana aibu kabisa.

Ile nyumba nili ishi mwezi mmoja tu, maana niliuguwa fungus na ikawa kila siku kabla sijaoga lazima nifanye usafi yakinifu...

Nikajisemea kabisa ni kheri nimetafuta self contained au apartment ya laki mbili kuliko kuishi maisha ya taabu namna hii.

Mbona mikoani watu wanaishi kwa ustaarabu, Dar yaani majitu majinga na mazembe kweli kweli. Siongei kutafuta sifa bali nasema ukweli.

Badilikeni, Saizi tembea hata mtaani Dar ujionee uchafu, na wanafanya fanya usafi kwa ajili ya El Nino ila baada ya siku kadhaa hali inarudi pale pale tu.

Watu wa Dar ni wazembe sana, uchafu kupindukia.
Ok.🐒
 
Kwa nini uwe triggered kama siku maanisha?

Acha kuwa mropokaji wa vitu vitakvyo kufanya tuonekane mtu wa aina gani.

Na ilivyo shida yenu watu wa dar huwa hamjifichi, unakuta jitu zima limevaa pensi nalo linakupa stori eti, nimekaa kijiwe flani n diamond kabla haja toka kimziki..

Like wth? Sasa inakusaidia nini?
Ulipozaliwa na kukulia wewe itakua sehemu ya ajabu kwekweli maneno yako yanaonesha..Ila sio mbaya bado una nafasi chiwawa..

Na wapi nimesema mimi mtu wa dar?mimi msukuma wa shinyanga nimekuja mjini na gari la mbuzi..
 
Nyie wa mikoani ndo wazembe, hapo mlipopanga uliona kuna mdaslama?

Wana dar es Salam tuko kwenye nyumba za urithi tumetulia..!!

Pambaneni wa kuja kivyenu huko..!!

Vipi ulikua unakalia kigogo au kund uchi? 😹
Tajiri wagu nawe hukopeshi?
Una maneno ya kidaslama sithubu kufanya ugomvi na wewe ..😄
 
Ulipozaliwa na kukulia wewe itakua sehemu ya ajabu kwekweli maneno yako yanaonesha..Ila sio mbaya bado una nafasi chiwawa..

Na wapi nimesema mimi mtu wa dar?mimi msukuma wa shinyanga nimekuja mjini na gari la mbuzi..
Haya endelea kukaa vibarazani
 
Tajiri wa kikinga huyo anakaribia kumiliki ghorofa Kariakoo.
Gorofa?
Huyu anachonjsifia sasa ni kuwa winga tu, umri unasogea na anaona kabisa hana future kinacho baki ni kutumia jf kama sehemu ya kutema nyongo kwa kuchezea ujana wake.

Anashindia afiya(ya jero) na mihogo ya buku daily... Anakesha kuzurura na vijora toka asubuhi mpaka giza.
 
Back
Top Bottom