Watu Mko Wapi?

Watu Mko Wapi?

ingevutia zaidi kama ungetumia hayo maneno mawili bila ya kuweka watu Ingewafanya watu wajiulize kuna nini kuko tena ?
 
Karibu nimeshaoda tayari...hapa panaitwa Club Machu Picchu (sio Machupichupi)
 
Mimi nimechukua likizo nasikiliza BBC radio hapa...sasa hivi wnatangaza 15 hrs...bla..bla..blaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom