Hii nayo ni thread yenye mashiko?
Ebu nitajie nchi gani Dunia Rais wake ni Padre?
Ebu nitajie nchi gani Dunia Rais wake ni Padre?
nitajie nchi duniani rais wake anahongwa suti.
na kwanini tuongozwe na mashehe? kwani hii nchi ya kidini? tuanze na mwinyi alikuwa raisi, mbona wakristo hawakupiga kelele?
Haya tuanza na Mwinyi, Ebu nifahamishe mkuu mimi sijui haya mambo. Naomba tafsiri ya Shehe ni nini?
nipe tafsiri ya padre
Mtazame Dr wenu wa sheria za kanisa ndio utajua padre ni nani...
Sijajibiwa swali langu la msingi nitajieni Duniani kuna nchi gani Rais wake ni Padre?
Ebu nitajie nchi gani Dunia Rais wake ni Padre?
Nataka kujua katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu watu hao? swala la nchi nyingine litatusumbua sana maana nchi zingine hazina maraisi zina wafalme na mamarikia. Rudi kwenye thread mkuuEbu nitajie nchi gani Dunia Rais wake ni Padre?