Watu kama Mufti Issa Bin Simba wanaruhusiwa?


Status
Not open for further replies.
Mvaa Tai

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2009
Messages
6,173
Likes
2,216
Points
280
Mvaa Tai

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2009
6,173 2,216 280
Nimekuwa nasikia nakuona baadhi ya watu wakimsema vibaya Dr Wilbroad Slaa kwamba hafai kuwa rais wa nchi kwasababu amewahi kuwa Padri.

Sasa najiuliza Katiba inasemaje kuhusiana na watu kama Mufti Issa Bin Simba, Askofu Malasusa, Kadinali pengo, au [FONT=&amp]Askofu [/FONT][FONT=&amp]Valentino Mokiwa? [/FONT]Je wanaruhusiwa kuchagua na kuchaguliwa kuwa viongozi wa nchi au wana haki ya kuchagua tuu? kama wana haki ya kuchagua na kuchaguliwa, je wanaomsema vibaya Dr Slaa ni mapunguani?


 
Vin Diesel

Vin Diesel

JF Gold Member
Joined
Mar 1, 2011
Messages
8,698
Likes
1,243
Points
280
Vin Diesel

Vin Diesel

JF Gold Member
Joined Mar 1, 2011
8,698 1,243 280
Tatizo huo u Dr wa slaa unatia shaka...kasomea sheria za kanisa...na kulingana na CV yake hiyo PhD kaifanya baada ya kumaliza diploma.

Si wizi wa mchana huu?
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,249
Likes
4,690
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,249 4,690 280
Hii nayo ni thread yenye mashiko?
 
U

UMMATI

Member
Joined
May 18, 2011
Messages
64
Likes
0
Points
0
Age
28
U

UMMATI

Member
Joined May 18, 2011
64 0 0
Mapunguani wakubwa hao, wanachuki binafsi, katiba haimzuii mtu yeyote kuchagua au kuchaguliwa, cha msingi ni awe raia wa tanzania, awe na chama cha siasa, awe ametimiza miaka 18, awe ametokana na chama cha siasa, awe na akili timamu. Vitu kama vile katoka dini gani, kabila gani, mkoa gani, katoka bara au visiwani n.k sio sifa ya mgombea.
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,249
Likes
4,690
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,249 4,690 280
Ebu nitajie nchi gani Dunia Rais wake ni Padre?
 
zumbemkuu

zumbemkuu

JF Bronze Member
Joined
Sep 11, 2010
Messages
9,390
Likes
1,197
Points
280
zumbemkuu

zumbemkuu

JF Bronze Member
Joined Sep 11, 2010
9,390 1,197 280
Ebu nitajie nchi gani Dunia Rais wake ni Padre?
na kwanini tuongozwe na mashehe? kwani hii nchi ya kidini? tuanze na mwinyi alikuwa raisi, mbona wakristo hawakupiga kelele?
 
zumbemkuu

zumbemkuu

JF Bronze Member
Joined
Sep 11, 2010
Messages
9,390
Likes
1,197
Points
280
zumbemkuu

zumbemkuu

JF Bronze Member
Joined Sep 11, 2010
9,390 1,197 280
nitajie nchi duniani rais wake anahongwa suti.
swali lenye akili zote! ungeongezea akutajie ni raisi yupi duniani asiyejua kwanini nchi yake ni maskini?
 
Jile79

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Messages
12,154
Likes
4,011
Points
280
Jile79

Jile79

JF-Expert Member
Joined May 28, 2009
12,154 4,011 280
Umbumbu...................uislamu ni dini njaa...................ona wanavyojikomba kwa ccm na mafisadi
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,249
Likes
4,690
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,249 4,690 280
na kwanini tuongozwe na mashehe? kwani hii nchi ya kidini? tuanze na mwinyi alikuwa raisi, mbona wakristo hawakupiga kelele?
Haya tuanza na Mwinyi, Ebu nifahamishe mkuu mimi sijui haya mambo. Naomba tafsiri ya Shehe ni nini?
 
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
42,249
Likes
4,690
Points
280
Ritz

Ritz

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
42,249 4,690 280
Sijajibiwa swali langu la msingi nitajieni Duniani kuna nchi gani Rais wake ni Padre?
 
zumbemkuu

zumbemkuu

JF Bronze Member
Joined
Sep 11, 2010
Messages
9,390
Likes
1,197
Points
280
zumbemkuu

zumbemkuu

JF Bronze Member
Joined Sep 11, 2010
9,390 1,197 280
Mtazame Dr wenu wa sheria za kanisa ndio utajua padre ni nani...
mtazame shehe wenu wa madrasa (alhassan mwinyi) ili ujue tulipelekwa madrasa na mwinyi alivyokuwa raisi na bado hakukuwa na kelele za udini kama huu unaochezeshwa na CCM kwa watu wanaotumia masaburi.
 
zumbemkuu

zumbemkuu

JF Bronze Member
Joined
Sep 11, 2010
Messages
9,390
Likes
1,197
Points
280
zumbemkuu

zumbemkuu

JF Bronze Member
Joined Sep 11, 2010
9,390 1,197 280
Sijajibiwa swali langu la msingi nitajieni Duniani kuna nchi gani Rais wake ni Padre?
nijibu swali la msingi, nitajie ni nchi ngapi duniani zinaongozwa na mashehe?

sikia mkuu, mimi pia muislam, lakini kamwe siwezi kuyumbishwa na siasa hasa siasa za CCM, kwangu mimi siasa na dini ni sawa na malaika gabriel na ibilisi.
 
Mvaa Tai

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2009
Messages
6,173
Likes
2,216
Points
280
Mvaa Tai

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2009
6,173 2,216 280
Tatizo huo u Dr wa slaa unatia shaka...kasomea sheria za kanisa...na kulingana na CV yake hiyo PhD kaifanya baada ya kumaliza diploma.

Si wizi wa mchana huu?
Upo nje ya mstari soma vizuri thread ili uweze kuchangia
 
Mvaa Tai

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2009
Messages
6,173
Likes
2,216
Points
280
Mvaa Tai

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2009
6,173 2,216 280
Ebu nitajie nchi gani Dunia Rais wake ni Padre?
Nataka kujua katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu watu hao? swala la nchi nyingine litatusumbua sana maana nchi zingine hazina maraisi zina wafalme na mamarikia. Rudi kwenye thread mkuu
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,249,765
Members 481,045
Posts 29,711,027