Watu kama Mufti Issa Bin Simba wanaruhusiwa?

Status
Not open for further replies.

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,442
Nimekuwa nasikia nakuona baadhi ya watu wakimsema vibaya Dr Wilbroad Slaa kwamba hafai kuwa rais wa nchi kwasababu amewahi kuwa Padri.

Sasa najiuliza Katiba inasemaje kuhusiana na watu kama Mufti Issa Bin Simba, Askofu Malasusa, Kadinali pengo, au Askofu Valentino Mokiwa? Je wanaruhusiwa kuchagua na kuchaguliwa kuwa viongozi wa nchi au wana haki ya kuchagua tuu? kama wana haki ya kuchagua na kuchaguliwa, je wanaomsema vibaya Dr Slaa ni mapunguani?


 
Tatizo huo u Dr wa slaa unatia shaka...kasomea sheria za kanisa...na kulingana na CV yake hiyo PhD kaifanya baada ya kumaliza diploma.

Si wizi wa mchana huu?
 
Mapunguani wakubwa hao, wanachuki binafsi, katiba haimzuii mtu yeyote kuchagua au kuchaguliwa, cha msingi ni awe raia wa tanzania, awe na chama cha siasa, awe ametimiza miaka 18, awe ametokana na chama cha siasa, awe na akili timamu. Vitu kama vile katoka dini gani, kabila gani, mkoa gani, katoka bara au visiwani n.k sio sifa ya mgombea.
 
Umbumbu...................uislamu ni dini njaa...................ona wanavyojikomba kwa ccm na mafisadi
 
na kwanini tuongozwe na mashehe? kwani hii nchi ya kidini? tuanze na mwinyi alikuwa raisi, mbona wakristo hawakupiga kelele?

Haya tuanza na Mwinyi, Ebu nifahamishe mkuu mimi sijui haya mambo. Naomba tafsiri ya Shehe ni nini?
 
Sijajibiwa swali langu la msingi nitajieni Duniani kuna nchi gani Rais wake ni Padre?
 
Mtazame Dr wenu wa sheria za kanisa ndio utajua padre ni nani...

mtazame shehe wenu wa madrasa (alhassan mwinyi) ili ujue tulipelekwa madrasa na mwinyi alivyokuwa raisi na bado hakukuwa na kelele za udini kama huu unaochezeshwa na CCM kwa watu wanaotumia masaburi.
 
Sijajibiwa swali langu la msingi nitajieni Duniani kuna nchi gani Rais wake ni Padre?

nijibu swali la msingi, nitajie ni nchi ngapi duniani zinaongozwa na mashehe?

sikia mkuu, mimi pia muislam, lakini kamwe siwezi kuyumbishwa na siasa hasa siasa za CCM, kwangu mimi siasa na dini ni sawa na malaika gabriel na ibilisi.
 
Tatizo huo u Dr wa slaa unatia shaka...kasomea sheria za kanisa...na kulingana na CV yake hiyo PhD kaifanya baada ya kumaliza diploma.

Si wizi wa mchana huu?
Upo nje ya mstari soma vizuri thread ili uweze kuchangia
 
Ebu nitajie nchi gani Dunia Rais wake ni Padre?
Nataka kujua katiba ya Tanzania inasemaje kuhusu watu hao? swala la nchi nyingine litatusumbua sana maana nchi zingine hazina maraisi zina wafalme na mamarikia. Rudi kwenye thread mkuu
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom