Mvaa Tai
JF-Expert Member
- Aug 11, 2009
- 6,159
- 4,443
Nimekuwa nasikia nakuona baadhi ya watu wakimsema vibaya Dr Wilbroad Slaa kwamba hafai kuwa rais wa nchi kwasababu amewahi kuwa Padri.
Sasa najiuliza Katiba inasemaje kuhusiana na watu kama Mufti Issa Bin Simba, Askofu Malasusa, Kadinali pengo, au Askofu Valentino Mokiwa? Je wanaruhusiwa kuchagua na kuchaguliwa kuwa viongozi wa nchi au wana haki ya kuchagua tuu? kama wana haki ya kuchagua na kuchaguliwa, je wanaomsema vibaya Dr Slaa ni mapunguani?