Watu aina ya Robert Heriel wanahitaji wanawake wa kipekee mno

Watu aina ya Robert Heriel wanahitaji wanawake wa kipekee mno

Aisee nimetoka kuvisoma vigezo vya Robert walahi sio bus kitoto, hivi kwa Dunia hii unaweza kupata mwanamke anayemiliki sifa zote hizo Kweli?

😀😀😀
Hii Dunia inakila kitu Mkuu.
Ni wewe tuu!

Wapo Wanawake wenye hizo Sifa na kuzidi. Ingawaje ni wachache lakini wapo
 
Mambo huwa ni tofauti kabisa, yani cha ajabu huyo robert ataseto, atatulia, na kuendeshwa na wmanamke wa kawaida sanaaaa yani kawaida kuanzia kichwani hadi mwili, nakuhakikishia hata takko atakua hana....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwaga elimu mkuu
Wanaume tumeumbwa na nature ya kuongoza na kupenda kunyenyekewa...(ingawa wapo beta male wanaotuangusha) sasa ikatokea mwanamke anakua mnyekekevu na msikivu kwa mwanaume hata kama mwanaume huyo Anafanya upuuzi.. Wanaume tunatabia ya kujirud kwa nice girls na kuji submit kwao... Wewe angalia wanawake wasioolewa ni wale mafeminist na wajuaji juaji... Hao ni kuwatumia na kuwa Acha... Kwakua ni tishio naturally kwa mwanaume ambae by nature ndio kiongozi
 
Namba (7) umenichambua kama vle unanijua. MKuu nilikuaga nadhani nimelogwa au ni tatizo la kiakili kumbe ni vle nilivyo, na c mimi tu! nashkuru sina cha kukulipa
 
Kichwa Cha umewataja hao ila maudhui yote nq ujumbe ulofuata umemlenga Wadiz ebu tafakari huu ujumbe una nihusu Mimi Mkataa NDOA na Mkataa KUOA
 
Robert watibeli tupo wengi sana sema kwa muktadha huu wa jukwaa wengine tumevaa multiple and diverging jackets for camilionairship
😄😄😄😄
Mkuu umenifurahisha Sana.
Kwanza nikupe pongezi kwa sababu umepatia Kwa 90%.

Sifa ya Mwanamke ambaye anaweza kuwa MKE wa Watu dizaini yetu, yaani Watibeli, au Bob Senior ni kama ifuatavyo;

1. Awe mwanamke mzuri mwenye sifa za kike.
i) uzuri WA maumbile, sura, rangi,
ii) Uzuri wa Tabia,
iii) lazima nikukute Bikra. Watibeli ni sheria kuoa Bikra na sio vinginevyo.

2. Awe Mwanamke Msomi
Elimu Dunia na Dini ni lazima, uwe na kiwango cha kutosha cha Elimu sio pungufu ya Diploma.
Kukosa sifa hiyo hauwezi kuwa kwenye hesabu za kuwa MKE wa Watu dizaini yetu.

3. Wanawake wenye AKILI
Akili ya kike, kujua Haki zake, Haki za wengine, na haki za mazingira.
Hatupendi Wanawake wajinga wenye Akili za kitoto na midoli.
Tunawajua Wanawake wenye Akili kwa namna wanavyotumia Uhuru wao, na vile wanavyotambua nafasi zao na zawengine.

4. Tunapenda Wanawake wanaojitegemea.
Tunapenda Wanawake heavyweight, ambao unaweza ukampa majukumu na bila ya kumuwekea wasiwasi.
Tabia Hii tunaweza kuwafundisha Wanawake wetu ikiwa tukagundua Hawana huo uwezo.

5. Wanawake wenye uwezo wa kuvunja mahusiano ikiwa wataona Haki haifanyiki.

Kimsingi Sisi Watibeli ni ngumu kuingia kwenye mahusiano hasa ya Ndoa Kwa sababu Wanawake wengi hawa-fit na mifumo yetu.

Sifa zetu Bora;
1. Tunajua kupenda na tunajali mno.
2. Tunapenda Haki, na kila kitu tunakipeleka kwa Haki.
3. Wanawake zetu tunawachukulia kama Malkia.
4. Tunato Uhuru na tunaishi bila kuigiza, na tunataka wake zetu waishi Kwa Uhuru na bila kuigiza.
5. Hatujali mambo madogo Dogo, hivyo hatuna Kisirani.
6. Tunaishi kishkaji na Wake na watoto wetu Kwa sababu tayari tumeshaweka mfumo a kila MTU anajua mipaka yake.
7. Sisi ni wacheshi na watu wa Sanaa.

Madhaifu yetu;
1. Ni wepesi kufanya maamuzi magumu bila kuangalia matokeo hasa heshima zetu zinapovunjwa.
2. Hatunaga msamiati Msamaha Kwa Makosa makubwa kama usaliti, Uchawi na ushirikina.
3. Tunajua mambo mengi Jambo ambalo linaonekana tuonekane wajuaji.
4. Tunaposema Jambo ndio ni ndio na hapana na Hapana.
5. Tunadharau Watu hasa tuliowaweka kwenye kundi la Watu wajinga.
7. Sisi ni wabaguzi hasa kwenye ishu sensitive kama Ndoa na kuanzisha mahusiano.
Sio rahisi kufanya ngono na kila Mwanamke. Tunakinyaa.

Kwetu ni Bora mara elfu kuishi bila MKE ikiwa hakuna Mwanamke anaye-fit vigezo vyetu

Wasalamu
 
Wanaume tumeumbwa na nature ya kuongoza na kupenda kunyenyekewa...(ingawa wapo beta male wanaotuangusha) sasa ikatokea mwanamke anakua mnyekekevu na msikivu kwa mwanaume hata kama mwanaume huyo Anafanya upuuzi.. Wanaume tunatabia ya kujirud kwa nice girls na kuji submit kwao... Wewe angalia wanawake wasioolewa ni wale mafeminist na wajuaji juaji... Hao ni kuwatumia na kuwa Acha... Kwakua ni tishio naturally kwa mwanaume ambae by nature ndio kiongozi
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom