Watu aina ya Robert Heriel wanahitaji wanawake wa kipekee mno

Yani mwanamke lazima awe na atleast diploma halafu ni bikra......labda uende jupita broo, hivyo vitu huwezi kuvikuta kwa mtu mmoja bongo hii, nimekaa pale
Nakusaidia kukaa pale
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu umenifurahisha Sana.
Kwanza nikupe pongezi kwa sababu umepatia Kwa 90%.

Sifa ya Mwanamke ambaye anaweza kuwa MKE wa Watu dizaini yetu, yaani Watibeli, au Bob Senior ni kama ifuatavyo;

1. Awe mwanamke mzuri mwenye sifa za kike.
i) uzuri WA maumbile, sura, rangi,
ii) Uzuri wa Tabia,
iii) lazima nikukute Bikra. Watibeli ni sheria kuoa Bikra na sio vinginevyo.

2. Awe Mwanamke Msomi
Elimu Dunia na Dini ni lazima, uwe na kiwango cha kutosha cha Elimu sio pungufu ya Diploma.
Kukosa sifa hiyo hauwezi kuwa kwenye hesabu za kuwa MKE wa Watu dizaini yetu.

3. Wanawake wenye AKILI
Akili ya kike, kujua Haki zake, Haki za wengine, na haki za mazingira.
Hatupendi Wanawake wajinga wenye Akili za kitoto na midoli.
Tunawajua Wanawake wenye Akili kwa namna wanavyotumia Uhuru wao, na vile wanavyotambua nafasi zao na zawengine.

4. Tunapenda Wanawake wanaojitegemea.
Tunapenda Wanawake heavyweight, ambao unaweza ukampa majukumu na bila ya kumuwekea wasiwasi.
Tabia Hii tunaweza kuwafundisha Wanawake wetu ikiwa tukagundua Hawana huo uwezo.

5. Wanawake wenye uwezo wa kuvunja mahusiano ikiwa wataona Haki haifanyiki.

Kimsingi Sisi Watibeli ni ngumu kuingia kwenye mahusiano hasa ya Ndoa Kwa sababu Wanawake wengi hawa-fit na mifumo yetu.

Sifa zetu Bora;
1. Tunajua kupenda na tunajali mno.
2. Tunapenda Haki, na kila kitu tunakipeleka kwa Haki.
3. Wanawake zetu tunawachukulia kama Malkia.
4. Tunato Uhuru na tunaishi bila kuigiza, na tunataka wake zetu waishi Kwa Uhuru na bila kuigiza.
5. Hatujali mambo madogo Dogo, hivyo hatuna Kisirani.
6. Tunaishi kishkaji na Wake na watoto wetu Kwa sababu tayari tumeshaweka mfumo a kila MTU anajua mipaka yake.
7. Sisi ni wacheshi na watu wa Sanaa.

Madhaifu yetu;
1. Ni wepesi kufanya maamuzi magumu bila kuangalia matokeo hasa heshima zetu zinapovunjwa.
2. Hatunaga msamiati Msamaha Kwa Makosa makubwa kama usaliti, Uchawi na ushirikina.
3. Tunajua mambo mengi Jambo ambalo linaonekana tuonekane wajuaji.
4. Tunaposema Jambo ndio ni ndio na hapana na Hapana.
5. Tunadharau Watu hasa tuliowaweka kwenye kundi la Watu wajinga.
7. Sisi ni wabaguzi hasa kwenye ishu sensitive kama Ndoa na kuanzisha mahusiano.
Sio rahisi kufanya ngono na kila Mwanamke. Tunakinyaa.

Kwetu ni Bora mara elfu kuishi bila MKE ikiwa hakuna Mwanamke anaye-fit vigezo vyetu

Wasalamu
Yaani, afike diploma bado ni bikra ?!. Siyo rahisi mkuu
 
Mkuu upo sahihi sna , nashangaa sana inakuaje mtu na akili Zake, anafunga ndoa na mwanamke mjinga mjinga asiyejitambua ! Mwisho wa siku ni kulia lia huku mitandaoni , akitafuta ushauri .
 
Mkuu upo sahihi sna , nashangaa sana inakuaje mtu na akili Zake, anafunga ndoa na mwanamke mjinga mjinga asiyejitambua ! Mwisho wa siku ni kulia lia huku mitandaoni , akitafuata ushauri .

Utatukanwa na kuchukiwa shauri yako.
Hata hivyo Jambo moja katika Hii Dunia.
Wengine wanaweza kukuona unaakili na hapohapo kuna wengine watakuona hamnazo. Hivyo ndivyo Dunia ilivyoumbwa Mkuu. Ili kuweka mambo katika msawazo
 
Hawa inatakiwa waoe malaika au wapate wanawake wa kibiblia, hawa ni kuwapata labda uwe karibu Sana na MUNGU.
Mwanamke wa kibiblia ana sifa gani.
1.Msafi kiroho hana uchafu rohoni
2.Matured
3.Hana hekima
4.Civilized
Anaejua nini nafasi yake kwenye ndoa asimamie wapi.
Aliyefata ndoa na sio kufuata maisha, wengi wanafata maisha na sio ndoa thus ukiyumba Hakuna rangi utooacha kuona.
Hawa ni wachache sana yaani ni adimu.
Wengi tunaishi nao tu KWA sababu ya heshima ya watoto hasa kama hukutokea kwenye laana ya talaka, yaani wazazi wako hawajaachana hadi uzeeni, unaanzaje kuileta laana hio ya kuachana.
 
Mkuu upo sahihi sna , nashangaa sana inakuaje mtu na akili Zake, anafunga ndoa na mwanamke mjinga mjinga asiyejitambua ! Mwisho wa siku ni kulia lia huku mitandaoni , akitafuta ushauri .
Wote huwa malaika kabla ya ndoa, wanawake ni comedian wazuri watakapo jambo lao sio chuoni, kazini, kupalilia ndoa.
Huwezi jua tabia ya mtu hadi uishi nae.
 
Back
Top Bottom