Watu aina ya Robert Heriel wanahitaji wanawake wa kipekee mno

Watu aina ya Robert Heriel wanahitaji wanawake wa kipekee mno

[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo Sifa za Fatima nilizozitaja Kwa nini nisifulishwe na kuosheshwa vyombo Mkuu?
Fatty ni Malkia.
Fikiria kwenye Wanawake 1000 mwenye sifa ya Fatty ni mmoja why not
Akikusaliti utajinyonga kwa hili bandiko lako.
 
Wanangu [mention]mzabzab [/mention] na [mention]Mzee wa kupambania [/mention] wao hawanaga vigezo ilimradi tu mwanamke awe na mbususu basi wao hawabagui wala hawachagui hata namba za x zao hawafuti maana wanaamini lolote kwenye maisha linaweza kutokea
 
Kwa kweli kupata mke wa aina hii ni ngumu sana yaan awe na diploma+bikra+kujishusha+beautifulmaana akiwa na diploma unakuta anaringia elimu yake hawezi kunyenyekea
Ukikuta ana sura nzuri hana bikra!!!
Huyu mke wa aina hii wapo kwa winhi kwenye movies hasa za kikorea😀
Kwenye real life hakuna wa namna hii abishe abishavyo akijitahidi sana atampata mwenye sifa mbili tu kati ya hizo
 
Haya mambo hayana mwongozo utakuta wameoa pasua vichwa wako nao ndani maisha yanaenda,
 
Aisee nimetoka kuvisoma vigezo vya Robert walahi sio bus kitoto, hivi kwa Dunia hii unaweza kupata mwanamke anayemiliki sifa zote hizo Kweli?
 
Huyu anaonekana dhaifu kwa wanawake, hata barmaid anaweza mpelekesha tu
 
Hakuna mjanja mbele ya mwanamke
Kama suleiman na akili zake zote na bado walimzidi ndo maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili
Sasa kwani kila mtu ni Suleiman? Akili za darasa la ngapi hizi? Una umri gani we' dogo?
 
Habari za Jumatano hii! Leo nilikuwa na tafakuri nzito kuhusu personality ya watu kama R. Heriel humu jamiiforam. Si Robert tu, kuna huyu mtu anaitwa Wyatt Mathewson pia.
Ndo wanaongoza ku commit suicide na homicide. Wanatumia logic nyingi kwenye mahusiano, wanataka kila kitu kieleweke na kiwe justifiable. Hili nayo ni mbaya sana, hawa viumbe (wanawake) baadhi ya vitendo vyao havieleweki, so kijana wetu akipigwa na kitu KIZITO chenye ncha kali. Mara nyingi uwa wanatangulia ku commit suicide ama homicide. Huo ni mtazamo wangu tu I stand to be corrected
 
Back
Top Bottom