Ni heri kukaa kimya hakuna atakayejua kama wewe una uwezo mdogo sana wa kufikiri na kulinganisha kuliko kuandika na kuonyesha uwezo finyu wako wa kufikiri na kulinganisha!!
Ikiwa Rais Obama amekaa madarakani miaka 4 na kufanya jumla ya sfr 32 na kutakiwa kutaja faida ya kila safari ndipo apate uhalali wa kuchaguliwa tena, Nyerere alikaa madarakani miaka 25 na kufanya jumla ya safari 68 tu, Ndg. JK Amekuwa madarakani kwa muda miaka 7 na kufanya jumla ya safar 322,Je nini kifanyike kudhibiti mfumuko wa sfr kwa Rais wetu?Je,Lini atatoa maelezo ya faida za safari hizo?
[h=2]Traveler magazine awards the title to Hillary Clinton, based on the number of countries she has visited (soon to be 111). But in the miles traveled category, Condi Rice is ahead with a million-plus.Muulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.
una takwimu?? au ni kuropoka tu!!Muulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.
I hate it every time I come such stupid and ridiculous comparisons...Obama like Kikwete is the head of State (President) whereas Hillary like Membe is the Secretary of State (Waziri wa Mambo ya Nje).Muulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.
Ritz, hizo ndizo kazi za hao mawaziri wa mambo ya nje nje!Secretary of State, Hillary Clinton has become the most traveled Secretary of State in US history having visited more than 100 countries worldwide. In comparison Secretary of State Madeleine Albright who from 1997 to 2001 traveled to 96 countries under Clinton and Condoleezza Rice visited 85 countries in four years while working for former President George W. Bush.
Ritz, in those over 350 trips made by Kikwete, how many different countries did he visit? Je Kikwete anaijua hata hiyo nchi inayoitwa Latvia kwamba iko wapi? Acheni utani jamani!During her first year as the Secretary of State Hillary Clinton managed to visit 42 countries. Hillary Clinton always plans time to meet with world leaders to ensure the trips are as productive as possible.She also meets with political opposition, members of U.S. embassy's and local journalists.
It is fitting that Hillary Clinton's record-breaking 100th International trip occurred in Latvia, a country that has not been visited by a U.S. Secretary of State in more than 20 years.
Muulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.
Muulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.
Ndg mleta maada ni kulize swali, hivi Obama ni mpenzi wa kubembea?
Mmmmh Ritz safari 900? Huyo basi hashindi nyumbani maana hizo safari zinachukua zaidi ya siku 900 karibia miaka 3 au unahesabu za ndani ya States
Jaribuni ndio mtajua nidhamu ya JWTZ na kikosi kitiifu cha MP hakija fanya kazi toka vita vya Kagera.
Ikiwa Rais Obama amekaa madarakani miaka 4 na kufanya jumla ya sfr 32 na kutakiwa kutaja faida ya kila safari ndipo apate uhalali wa kuchaguliwa tena, Nyerere alikaa madarakani miaka 25 na kufanya jumla ya safari 68 tu, Ndg. JK Amekuwa madarakani kwa muda miaka 7 na kufanya jumla ya safar 322,Je nini kifanyike kudhibiti mfumuko wa sfr kwa Rais wetu?Je,Lini atatoa maelezo ya faida za safari hizo?
Haiwezi kuwa justification hii.Tatizo hao wa kwenu hata kuzika hawaendi ndio maana
hawaoni umuhimu wa safari.