Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 637
Huyu jamaa hashauriki na wala sio msikivu, je atalijibu vipi swali letu iwapo yeye si msikivu?
na dhaifu hawezi kuwa msikivu!
Huyu jamaa hashauriki na wala sio msikivu, je atalijibu vipi swali letu iwapo yeye si msikivu?
Muulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.
Muulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.
Ndg mleta maada ni kulize swali, hivi Obama ni mpenzi wa kubembea?
Ikiwa Rais Obama amekaa madarakani miaka 4 na kufanya jumla ya safari 32 na kutakiwa kutaja faida ya kila safari ndipo apate uhalali wa kuchaguliwa tena, Nyerere alikaa madarakani miaka 25 na kufanya jumla ya safari 68 tu, Ndg. JK Amekuwa madarakani kwa muda miaka 7 na kufanya jumla ya safar 322,Je nini kifanyike kudhibiti mfumuko wa safari kwa Rais wetu? Je,Lini atatoa maelezo ya faida za safari hizo?
Mtakufa navyo vijiba vya roho!
Mkuu bajeti ya safari moja ya rais nje ya nchi ni Ths Mil. 150. Ila safari za JK hugharimu mil 200 hadi 250.Tuandamane kumtoa madarakani. Safari moja inagharimu si chini ya milioni 50, mara hizo safari 322 hapo unaongelea pesa ambayo ingetosha kujenga vitu 200 vya afya huko vijijini. We better kick him out.
Mtoto wa Kiume kuleta mipasho kwenye vitu serious kama hivi unaweza jikuta unashikishwa ukuta
Huyu jamaa hashauriki na wala sio msikivu, je atalijibu vipi swali letu iwapo yeye si msikivu?
Lol, Mungu wangu halafu bado tunalalamika umasikini? Kweli watanzania tumelala. Hivi tukiamua kukomalia kwamba hizi safari zifutwe, si tutaokoa hela kibao ambazo zinaweza zikasaidia kufanya shughuli nyingine za maendeleo kwa nchi? It pains!Mkuu bajeti ya safari moja ya rais nje ya nchi ni Ths Mil. 150. Ila safari za JK hugharimu mil 200 hadi 250.
Muulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.
Sio kweli mkuu shida ni kuwa watu wanamshauri vibaya eti apunguze safari huo ni ushauri mbaya kabisa we mshauri atembelee zile beach za Brazil,akabembee kula Jamaica,akakutane na akina David Beckam uone kama atakataa huo ushauri acheni kumshauri raisi wangu vibaya
Lol, Mungu wangu halafu bado tunalalamika umasikini? Kweli watanzania tumelala. Hivi tukiamua kukomalia kwamba hizi safari zifutwe, si tutaokoa hela kibao ambazo zinaweza zikasaidia kufanya shughuli nyingine za maendeleo kwa nchi? It pains!
Zion Daughter , BK Membe hana ubavu wa kusafiri bila kumuaga JK, pili hana ujasiri wa kueleza umuhimu wa safari hata kama ni waziri mwenye dhamana hiyo....Ingekuwa waTZ tunaona kila kitu ungekubali ninachosema....Mwaka 2008 alifanya matukio mengi ya aibu, achilia katika ule mkutano wa nane Sullivan kule Arusha, Pale kwenye Makao makuu ya AU, mwaka huohuo akiwa Mwenyekiti wa Baraza la mawaziri wa mambo ya nje la Afrika.....yaani, we acha tu. It was an imminent disaster!!!lakini all in all JK bado ni mvumilivu au ni"sikio la kufa".....Naandika haya kwa uhuru kwani mimi ni mtanzania, tena mpiga kura. daughter mwache Hillary Clinton azurure, ila ni kwa faida. Mbona Obby yuko nyumbani anachapa kazi?Ritz bana...sometimes unakuwaga kama hufikiri vile....sasa Hilary si ndo kazi yake? na Membe afanye nini? halafu wao wana uwezo wa kueleza umuhimu wa safari zao.sasa sisi tutaeleza nini masikini
Mtakufa navyo vijiba vya roho!