watu 200 wamepokea hii text

watu 200 wamepokea hii text

Ni heri kukaa kimya hakuna atakayejua kama wewe una uwezo mdogo sana wa kufikiri na kulinganisha kuliko kuandika na kuonyesha uwezo finyu wako wa kufikiri na kulinganisha!!

Mkuu mbona umekurupuka mpaka umepoteza mwelekeo ulikuwa unataka kusemaje.
 
waziri membe akipiga trip 200 inaeleweka maana hiyo ni kazi yake kama waziri wa mambo ya nje lakini sio Rais wa nchi, mkitaka hizo safari zipungue kwenye katiba wabadilishe rais kupewa allowance kwenye hizo safari muone ka JK atasafiri tena
 
Msikilize JK anamchana Dr Slaa kwa uongo anasema mtu mzima ovyo.
 
Ikiwa Rais Obama amekaa madarakani miaka 4 na kufanya jumla ya sfr 32 na kutakiwa kutaja faida ya kila safari ndipo apate uhalali wa kuchaguliwa tena, Nyerere alikaa madarakani miaka 25 na kufanya jumla ya safari 68 tu, Ndg. JK Amekuwa madarakani kwa muda miaka 7 na kufanya jumla ya safar 322,Je nini kifanyike kudhibiti mfumuko wa sfr kwa Rais wetu?Je,Lini atatoa maelezo ya faida za safari hizo?

Nadhani hakuwa na option nyingi za kuimarisha uchumi zaidi ya kutafuta mahusiano ya kibiashara, mikopo nafuu na ile migumu, misaada ya kibinadamu (ambayo najua inakuja na viuziuzi) na nimefuatilia sana hotuba za utekelezaji wa ilani ya CCM wakati wa Mkutano mkuu ndipo nikaelewa kuwa huyu bwana alikuwa na sababu ya kufanya safari hizi. Shida ya ****** wetu huyu hana kipaji cha kuzungumzia mafanikio yake kwa mvuto kama alivyokuwa Ben au mwalimu! Ila Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, kama huyu ndo angekuwa Rais wa kwanza kwa nyinyyi mnaombeza, duh angekuwa na sifa kedekede maana hamngekuwa na kipimo hasa cha kumfananisha..
 
Muulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.
[h=2]Traveler magazine awards the title to Hillary Clinton, based on the number of countries she has visited (soon to be 111). But in the miles traveled category, Condi Rice is ahead with a million-plus.

111 ndani ya miaka 4 tena akiwa ni waziri wa mambo ya nje sio Rais anayezurura...tuache kuwa na akili za SAMAKI 😱hwell:

[/h] By Howard LaFranchi, Staff writer / September 5, 2012
 
Muulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.
I hate it every time I come such stupid and ridiculous comparisons...Obama like Kikwete is the head of State (President) whereas Hillary like Membe is the Secretary of State (Waziri wa Mambo ya Nje).

Secretary of State, Hillary Clinton has become the most traveled Secretary of State in US history having visited more than 100 countries worldwide. In comparison Secretary of State Madeleine Albright who from 1997 to 2001 traveled to 96 countries under Clinton and Condoleezza Rice visited 85 countries in four years while working for former President George W. Bush.
Ritz, hizo ndizo kazi za hao mawaziri wa mambo ya nje nje!
During her first year as the Secretary of State Hillary Clinton managed to visit 42 countries. Hillary Clinton always plans time to meet with world leaders to ensure the trips are as productive as possible.She also meets with political opposition, members of U.S. embassy's and local journalists.

It is fitting that Hillary Clinton's record-breaking 100th International trip occurred in Latvia, a country that has not been visited by a U.S. Secretary of State in more than 20 years.
Ritz, in those over 350 trips made by Kikwete, how many different countries did he visit? Je Kikwete anaijua hata hiyo nchi inayoitwa Latvia kwamba iko wapi? Acheni utani jamani!
 
Muulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.

Kwani Jk hakurusuhu safari zaidi ya hizo alizofanya yeye!
Safari alizoruhu kishikaji kama serikali ilivyo ya kishikaji hazipungui Mil 3 kwa hiyo miaka 7 madarakani!
 
Muulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.

sasa wsewe ndio bure kabisa,

Bi clinton alisafiri safari nyingi (sina hakika na hiyo 900) kwasababu ni waziri wa mambo ya nje.... sasa ya JK kufanya kazi ya membe ni vipi?
 
Mhhh!!!!!!!

8E9U1452.JPG
Bartlett+with+Jakaya+Mrisho+Kikwete+and+wife+at+Mystic+Mountain.jpg

Ndg mleta maada ni kulize swali, hivi Obama ni mpenzi wa kubembea?
 
ipo haja ya transparency katika shughuli kama hizi, safari za aina hii ni nyingi mno na ni cost kubwa kwa walipa kodi..tuangalie na kuchambua vizuri nini kifanyike. Huwezi kufananisha clinton na obama, ile ni kazi yake na tumeona kwa nini clinton ame-clock masafa mengi kutokana na challenges katika international arena na pia moja kati ya strategies za US regime kwa kuhakikisha interest za nchi zinalindwa.

Hata clinton na safari zake zinafanyiwa audit na kuangaliwa vizuri, hizi za wetu sisi ni too many, tafauti na marais wa zanzibar, hardly miaka mitano yao labda safari kumi in total.
 
Mmmmh Ritz safari 900? Huyo basi hashindi nyumbani maana hizo safari zinachukua zaidi ya siku 900 karibia miaka 3 au unahesabu za ndani ya States

wewe humjui huyo RITZ? ametia chumvi sana.anajenga hoja kuhalalisha uovu. jambo moja ambalo watanzania tutajuta kulilea na kulidumisha ni kuwa WAONGO NA WANAFIKHI.
 
Safari 322.

Kila safari anatumia wastani wa siku 3.

3 x 322 = 966.

Kwahio JK katumia karibu miaka 3 nje.

Lazima aingizwe kwenye kitabu cha Guiness World of Records kwa nafasi yake kama rais.
 
Ikiwa Rais Obama amekaa madarakani miaka 4 na kufanya jumla ya sfr 32 na kutakiwa kutaja faida ya kila safari ndipo apate uhalali wa kuchaguliwa tena, Nyerere alikaa madarakani miaka 25 na kufanya jumla ya safari 68 tu, Ndg. JK Amekuwa madarakani kwa muda miaka 7 na kufanya jumla ya safar 322,Je nini kifanyike kudhibiti mfumuko wa sfr kwa Rais wetu?Je,Lini atatoa maelezo ya faida za safari hizo?

Magufuli alishatolea ufafanuzi na amemtaka Kikwete azidishe safari hizo.

Ipo thread hapa JF,itafute.
 
kwani kaanza leo jamani alishasema kama nikutembea katembea akiwa wazir wa mambo ya nje
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom