JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Atajibu CDM Ikikamata madaraka... Na atalipa
Tatizo hao wa kwenu hata kuzika hawaendi ndio maana
hawaoni umuhimu wa safari.
Mtakufa navyo vijiba vya roho!
Msikilize JK anamchana Dr Slaa kwa uongo anasema mtu mzima ovyo.
hahahahahaa.........this is what I needed this morning.Ndg mleta maada ni kulize swali, hivi Obama ni mpenzi wa kubembea?
Huoni barabara hizo na UDOM? Halafu Msata hujaenda kuona ikulu ya baada ya kustaafu na pale Estate KMoroko hujaona (kwa uchache)? Nenda Dubai na kwa Madiba utaona faida ya safari hizo. Ridhi one atakuonyesha faida aliyoipata moja kwa moja pia.Ikiwa Rais Obama amekaa madarakani miaka 4 na kufanya jumla ya sfr 32 na kutakiwa kutaja faida ya kila safari ndipo apate uhalali wa kuchaguliwa tena, Nyerere alikaa madarakani miaka 25 na kufanya jumla ya safari 68 tu, Ndg. JK Amekuwa madarakani kwa muda miaka 7 na kufanya jumla ya safar 322,Je nini kifanyike kudhibiti mfumuko wa sfr kwa Rais wetu?Je,Lini atatoa maelezo ya faida za safari hizo?
waambie hao mashankupe wenzio watakufa navyo mwaka huu!Mtakufa navyo vijiba vya roho!
Jaribuni ndio mtajua nidhamu ya JWTZ na kikosi kitiifu cha MP hakija fanya kazi toka vita vya Kagera.
acha kuharibu jina la watu weweMuulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.
Cheo chake kwa mambo ya nje ya nchi kina kauhalali fulani kwenda safari nyingi, hata kama hiyo 900 yaweza kuwa imeongezwa chumviMuulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.
Hilary is the usa secretary of state, zaifu ni waziri wa mambo ya nje??
Muulize kwanza Obama kwa nini aliruhusu Bi Hilal Clinton afanye safari zaidi ya 900 katika miaka 4.
Tatizo katokea kwenye jamii ya watembezi wanaoziacha familia hata wiki kisa shughuli.
Sio kosa lake anadumisha mila na desturi.