Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,323
- 5,946
Fafanua kidogo hapa yani mm ninunue simu then tcra waje waikague na nilipe pesa ya ukaguzi how!!?
ama ndio ukusanyaji wa mapato mpya!?
Fafanua kidogo hapa yani mm ninunue simu then tcra waje waikague na nilipe pesa ya ukaguzi how!!?
ama ndio ukusanyaji wa mapato mpya!?
Sasa hapo shida iko wapi? Hao Voda si wanakuchaji pesa na hiyo pesa inakatwa kodi zote au?Unanunua internet Voda au Tigo kisha unanunua vifaa vya kurusha wifi kwa watu ndio usambaziji wenyewe.
Na wewe punguza basi kusifia hata visivyohitaji kusifia. Design zenu kwa kupenda kujifanya mna mahaba mazito mnaweza hata msifia siku mkimsikia kajamba mbele za watu. Utasikia sana Magu, ushuzi mzuri sana, umetoka kisheria sana.Safi sana Magufuli kwa kusimamia sheria vizuri
Kinaitwa VPN
Magufuli hatakiwi kusifiwa?Na wewe punguza basi kusifia hata visivyohitaji kusifia. Design zenu kwa kupenda kujifanya mna mahaba mazito mnaweza hata msifia siku mkimsikia kajamba mbele za watu. Utasikia sana Magu, ushuzi mzuri sana, umetoka kisheria sana.
Siyo huenda. Ni kinyume cha sheriaHuenda ni kinyume cha sheria hata hata kuwauzia maji ya DAWASA majirani zako, hata kama unalipa bili zako. Ngoja nipekue nipate hakika ya hili nisije kutiwa hatiani
Leseni ndio tatizoSasa hapo shida iko wapi? Hao Voda si wanakuchaji pesa na hiyo pesa inakatwa kodi zote au?
Alafu eti wanatozwa fine ya 1.5 milioniSasa hapo TCRA inakulaje hasara yote hiyo? Waache uhuni
Kasome vizuriAlafu eti wanatozwa fine ya 1.5 milioni
Nimesom inasema faini ya shilingi milioni 1.5 kila mmoja kwa kusasabisha hasara ya milioni 200Kasome vizuri
Na kwa nini faini isiwe nyingi kuliko hiyo fidiaKasome vizuri
'Pia washtakiwa hao, wametakiwa kulipa fidia ya Sh.Mil 267.656.794.30 baada ya kuingia makubaliano na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kutokana na kukiri kwao makosa hayo.'Na kwa nini faini isiwe nyingi kuliko hiyo fidia
Nimeisoma mi nazungumzia hiyo faini mbona ndogo hivyo kwa hela yote hiyo'Pia washtakiwa hao, wametakiwa kulipa fidia ya Sh.Mil 267.656.794.30 baada ya kuingia makubaliano na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kutokana na kukiri kwao makosa hayo.'
Hio part hapo juu hukuiona mzee baba.
Unadhani labda ingekua pesa ngapi hivi ndio ingekua reasonable?Nimeisoma mi nazungumzia hiyo faini mbona ndogo hivyo kwa hela yote hiyo
Yaani faini iwe kama milioni 50 hivi kwenda juu hukoUnadhani labda ingekua pesa ngapi hivi ndio ingekua reasonable?
Labda wanajua wenyewe basis ya Calculation zao,lkn kesi nyingi naona ni ofisi ya DPP ndio inafaidika na pesa hizo huku ofisi husika zikibaki bila bila.Yaani faini iwe kama milioni 50 hivi kwenda juu huko
Siku Magufuli akifa na wewe utakufa!Safi sana Magufuli kwa kusimamia sheria vizuri
Aisee we dadaYes. Kutumia hotspot na WiFi ni kosa kwa mujibu wa sheria kama huna kibali.