Mhandisi wa Mradi wa Maji Mpigi Magohe afungwa Jela Miaka 20 kwa kuisababishia Serikali hasara

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Februari 7, 2024 Kesi Namba Ecc 12/2022 imeamuliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Wilaya ya Kinondoni, ambapo mshtakiwa Bw. Ramadhani Mabula Maige - Aliyekuwa Mhandisi wa Maji Manispaa ya Ubungo na sasa ni Mhandisi wa Maji Wilaya ya Kilwa, amehukumiwa kulipa faini ya shilingi Milioni Mbili (2,000,000/=) au kutumikia kifungo cha miaka miwili (2) jela kwa kosa la kwanza la Matumizi Mabaya ya Madaraka, kinyume na K/F cha 31 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329 (R.E 2022).

Pia mshtakiwa huyo alihukumiwa Kifungo cha Miaka Ishirini (20) jela kwa kosa la Kuisababishia Hasara Mamlaka Kinyume na Aya ya 10 (1) na (4) Jedwali la Kwanza na Vifungu 57 (1) na 60 (2) vya Sheria ya Uhujumu Uchumi Sura ya 200 (R.E 2022).

Katika hatua nyingine, Bi. Martha Athanas Ivo aliyekuwa Mtendaji wa Kata ya Mbezi akiwa ni Mshtakiwa wa Pili amekutwa na hatia kwa kosa la Matumizi Mabaya ya Madaraka K/F 31 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Sura ya 329 (R.E 2022) na amehukumiwa kwenda jela Miaka Miwili au kulipa faini ya Shilingi Milioni Mbili.

Washtakiwa walitumia madaraka yao vibaya wakati wa kutekeleza Mradi wa Maji Mpigi Magohe kwa kutofuata maelekezo ya kutekeleza mradi huo uliotumia utaratibu wa 'Force Account' na hivyo kusababisha hasara ya Shilingi Milioni Nane (8,000,000/=) kwa Manispaa ya Ubungo baada ya mradi huo kushindwa kufanya kazi kama ilivyokusudiwa.

Hukumu hiyo imesomwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni na Mheshimiwa Jackline Rugemalira na washtakiwa wamepelekwa jela.

Chanzo: TAKUKURU
 
Samia amewafunga wengi sana ,yule mwingine wa Mahakama ya Ufisadi sijui alimgunga nani
 
Milioni 8 miaka 20 jela,,,,hii hesabu mbona kali sana
Halafu huwa kuna option ya fine.

Kwa uzoefu wangu wa mashauri ya mahakamani kuna option ya kulipa fine au kifungo katika makosa mengi ya rushwa.

Kama option ipo akikata rufaa kuna uwezekano mkubwa akashinda na kuepuka kifungo kwa kuachiwa huru baada ya kulipa fine.
 
Februari 7, 2024 Kesi Namba Ecc 12/2022 imeamuliwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni Wilaya ya Kinondoni, ambapo mshtakiwa Bw. Ramadhani Mabula Maige - Aliyekuwa Mhandisi wa Maji Manispaa ya Ubungo na sasa ni Mhandisi wa Maji Wilaya ya Kilwa, amehukumiwa kulipa faini ya shilingi Milioni Mbili (2,000,000/=) au kutumikia kifungo cha miaka miwili (2) jela kwa kosa la kwanza la Matumizi Mabaya ya Madaraka, kinyume na K/F cha 31 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Sura ya 329 (R.E 2022).

Pia mshtakiwa huyo alihukumiwa Kifungo cha Miaka Ishirini (20) jela kwa kosa la Kuisababishia Hasara Mamlaka Kinyume na Aya ya 10 (1) na (4) Jedwali la Kwanza na Vifungu 57 (1) na 60 (2) vya Sheria ya Uhujumu Uchumi Sura ya 200 (R.E 2022).

Katika hatua nyingine, Bi. Martha Athanas Ivo aliyekuwa Mtendaji wa Kata ya Mbezi akiwa ni Mshtakiwa wa Pili amekutwa na hatia kwa kosa la Matumizi Mabaya ya Madaraka K/F 31 cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, Sura ya 329 (R.E 2022) na amehukumiwa kwenda jela Miaka Miwili au kulipa faini ya Shilingi Milioni Mbili.

Washtakiwa walitumia madaraka yao vibaya wakati wa kutekeleza Mradi wa Maji Mpigi Magohe kwa kutofuata maelekezo ya kutekeleza mradi huo uliotumia utaratibu wa 'Force Account' na hivyo kusababisha hasara ya Shilingi Milioni Nane (8,000,000/=) kwa Manispaa ya Ubungo baada ya mradi huo kushindwa kufanya kazi kama ilivyokusudiwa.

Hukumu hiyo imesomwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni na Mheshimiwa Jackline Rugemalira na washtakiwa wamepelekwa jela.

Chanzo: TAKUKURU
Uwonevu. Milioni 8 mnamfunga miaka 20 wakati majizi mengi tu tena yanajulimana yameiba mabilioni lakini yapo fu yanadunda
 
Walikula pekee yao hawa
 
Martha Athanas alikuwa na alternative; ya kulipa milioni mbili au jela, ina maana kashindwa kulipa fedha au kaona kwenda jela ni nafuu?! Hata hivyo nachukia sana watu walioaminiwa na serikali kwa wananchi halafu wanatumia rasilimali (ikiwemo fedha) kwa matumizi yao binafsi. Sheria ichukue mkondo wake!
 
Back
Top Bottom