MBEYAILEMBO
Senior Member
- Jul 29, 2015
- 136
- 58
Tihcjj
Na imeendelea kusema tayari wameshalipa m200.'Pia washtakiwa hao, wametakiwa kulipa fidia ya Sh.Mil 267.656.794.30 baada ya kuingia makubaliano na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kutokana na kukiri kwao makosa hayo.'
Hio part hapo juu hukuiona mzee baba.
Lazima uanishe. Maana zinatofautiana.Unapo omba plate namba ya gari unaomba ya matumizi binafsi au ya biashara
Jiwe na Sheria wapi na wapi? Wanadamu wengine bora wazazi wenu wangepiga ......Safi sana Magufuli kwa kusimamia sheria vizuri
acha kuongopea watu. hawa walifunga mitambo wakaanza sambaza internet. hata kwenye habari vifaa vilionyeshwaInshort ni kutumia VPN ambapo una install program kwenye cm yko afu unapewa code unatumia internet bure bila TCRA kujua na kuingiza chochote mostly inafanyika kwa voda na huruhusiwi kuunga bundle la internet lolote katika iko kipindi
Kameshakuwa kama kamradi ka kuongeza mapatoSiku hizi DPP ana-negotiate na wadaiwa halafu mahakama inabariki huo udhulumati
Asante bossMiss Zomboko hapo kwenye tarakimu za kuhusu milioni ulizoweka kwa mafungu sijakuelewa ,mwalimu aliye kufundisha bila shaka ni wa kuchunguzwa ,hatuweki nukta kwenye tarakimu la sivyo iwe kwenye senti unatakiwa uandike hivi TZS 267,656,794.30
Basi mi ndo nilikosea, ya VPN basi hawa jamaa hawajaigundua, ni kama elf tano free internet mwezi mzimaacha kuongopea watu. hawa walifunga mitambo wakaanza sambaza internet. hata kwenye habari vifaa vilionyeshwa
Haya madudu katika katiba mpya tuyape majukumu mapya yasiyohusiana na pesa hata kidogoSiku hizi kila Takataka inakusanya Pesa.
Serikali za mitaa.
TCRA,
NEMC,
TBS,
TMDA,
TARURA,
HALMASHAURI,
DPP,
MAHAKAMA,
TRA
TRAFFIC
Eti?!Hivi tcra inapata hasara au inakosa mapato? Nataka kujua kama chombo hiki ni taasisi ya kibiashara yenye kupata faida au hasara au ya serikali inayokusanya au kukosa mapato?
Mkuu kazi ya VPN siyo kutoa free internet, na siyo kila VPN inatoa free internet mpaka ISP awe na loopholes. Kazi ya VPN ni kukulinda wewe kwa kukufanya usomeke uko sehemu tofauti au uweze kuaccess mitandao iliyofungwa hilo eneo ulipo. Mfano ukitaka tumia whatsapp china lazima uinstall VPN kwenye simu. Na zipo VPN kibao ni freeBasi mi ndo nilikosea, ya VPN basi hawa jamaa hawajaigundua, ni kama elf tano free internet mwezi mzima
Unanunua internet Voda au Tigo kisha unanunua vifaa vya kurusha wifi kwa watu ndio usambaziji wenyewe.
Mitano tena!
Hiyo haihusikikmmk Tanzania, sasa wakimkamata huyu Boss jirani yangu ambae natumia internet yake nlioihack kwa kutumia machine yangu ya linux watamshitaki yeye au mimi ? ...anyways kuna sehemu hapa duniani internet ni bure kabisa sasa hapo sielewi inakuwaje ,
Unataka kupiga maboya huko PMBasi mi ndo nilikosea, ya VPN basi hawa jamaa hawajaigundua, ni kama elf tano free internet mwezi mzima
Mkuu wewe ni kilaza sana.Yes. Kutumia hotspot na WiFi ni kosa kwa mujibu wa sheria kama huna kibali.