Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,397
- 4,740
Hii ina utata
Kulingana na muktadha wa habari hii kuna mtu anauliza kama yeye anawauzia maji ya DAWASA majirani zake je anakiuka sheria? Maana yeye analipa bili DAWASA.
Mtu mwingine anajibu, tatizo ni kuwa na kibali (yaani Leseni ya biashara). Hata kuuza maji ya DAWASA kwa majirani unahitajika kuwa na Leseni!
Ki ufupi kukiuka sheria kwa kuwa hujui sheria hakukufanyi ukwepe mkono wa sheria. Ila elimu inahitajika sana kwa wananchi, hizi mamlaka zitoe elimu kwa umma