Watoto wazuri na zawadi ya iPhone

Watoto wazuri na zawadi ya iPhone

images (13).jpeg
 
Nyie ndio mnatuharibia wanawake. Unamhonga hivyo halafu unamuacha, matokeo yake sisi tukimtumia elfu 50 anatuona kama mbuzi tu..

Ukimhonga mwanamke kiasi icho uhakikishe unamuoa kabisa maana ukimuacha sisi wengine hatumuwezi sasa unamuachia nani..? 🤨
Naaam mkuu😂
 
Hawa ndio wanafanya mabinti waone kama papuchi zao ni vitega uchumi.

Tulishakubaliana humu bei elekezi ya kuhonga ni kuanzia shilingi 5,000 - 30,000 max.
30000 max??
Mlikubaliana wapi na nan mkuu
Kwani si ilikua 2000-10000?
 
Back
Top Bottom