Hata najua basi
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 2,480
- 5,420
Ulipotea sana kamanda!Hizi ndio nyuzi za maana sasa...😍 sio kilasiku ni bei ya mafuta tuuu......🤨
Majukumu yalinibana mkuu, nipo mzima wa afya teleUlipotea sana kamanda!
yes swelat,, unafanya nini kwenye uzi wa wakubwa?😆
Najifunza ukubwa 😂yes swelat,, unafanya nini kwenye uzi wa wakubwa?😆
Dad jana ulisema nikukumbushe 😳Hapana ipo hiiView attachment 3566404
Wewe kijana kwema?
Shetani na mamkwe wake wamemrubuni mtumishi wa bwana..
Mtumishi katupa kitaulo kaamua apige masangaShetani na mamkwe wake wamemrubuni mtumishi wa bwana..
Beer tamu asikwambie mtu😃Mtumishi katupa kitaulo kaamua apige masanga
Inapendeza nini???
Kukukumbatia kitandani...Inapendeza nini???