Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 7,578
- 13,041
Usiku mwemaaaaa 😎Asante ndugu Mjusi
Usiku mwemaaaaa 😎Asante ndugu Mjusi
Enzi zako
Niko nae hapa amepumzikaHongera apatae mke
Amepata kilichobora
Ila mpka sasa hujalala mkeo yupo wap
Ohoo sawa vizuri sanaNiko nae hapa amepumzika
Mpaka jamvi unalo 😁🙌Jamvi ( la wageni)View attachment 3565996
Mkuu nitakucheki kuhusu business fulani unijuze, hili la ndoa hatuwezi kubaliana 😅😂.Kubali ndoa linda maisha yako😂
Done mkuu, kule kwenye now or never.Hahahaha sawa mkuu
Sawa mkuu, ngoja niendelee kupambania chama Cha kataa ndoa 😅😂Kesho mkuu wangu muda huu ni muda wa kazi😂View attachment 3566004
Vijana watakwea sana minazi😃😄😁🤣🤣🤣🤣Subiri hapo hapo. Naomba huu uzi udumu ...the right target