Watoto wamelala

Watoto wamelala

Na wewe usituchoshe na hizo dad zako! Hivi ndivyo huwa vinaliwa kimasikhara na akina mzee Mshana!
Mtu akila uzao wake kuna shida yoyote utapata ?
Tufanye basi nimeliwa kimasikhara
wewe uta athirika vp na uliwaji wangu?

Kwanini baadhi ya watu wa JF mna hasira kali?
Leave me alone ndugu Manjagata
Ukiona na kuchosha ignore me🤝
 
Mtu akila uzao wake kuna shida yoyote utapata ?
Tufanye basi nimeliwa kimasikhara
wewe uta athirika vp na uliwaji wangu?

Kwanini baadhi ya watu wa JF mna hasira kali?
Leave me alone ndugu Manjagata
Ukiona na kuchosha ignore me🤝
Mjukuu usikasirike, tunajaribu kukukuza taratibu ili ufikie panapotakiwa tuanze kula taratibu 😅😅😅
 
sijafurahi udugu ila nimeshangaa hilo povu limetoka wapi? unajua mimi napenda kucheka hata nikiwa na hasira😪😆,, nikasema nikuite uje umjibu mwenyew

alf kwanini umenifanya nijieleze hivi? 😆😆
Hakunaaaaa unanisaliti
 
umeandika kwa uchungu sana,,, polee jamni uwe unanitania mimi pekeangu ndo sina mtu,, hao wengine ni watu wa watu, utapigwaaaa😅😅😅😅
Bhana mi staki nataka kuwatania hao hao wazee😂😂😂 wewe mdogo nakutaniaje sasa
 
Back
Top Bottom