😀😀😀 sio zangu izoView attachment 3565983
Legend!
Mashallah muhimu ngoma iwe tight tu.Ni muda wa kujiachia.. Masingo wanajigeuza tu vitandani
Wakataa ndoa wako busy na chabo na vichelema🥸View attachment 3565979
Kula samaki kwa wingi au hata dagaaDady we acha tu
Siri ya mtungi.......
Hivi dawa za usingizi naweza kupata wap nilienda duka la dawa nikaambiwa mpka cheti cha daktari
Mkono kufa ganzi,,,muhimu asijambe tu... 🙂 🙂
nasubiri cha pili kwa uchu mkubwa sana😋👌Cha kwanza😀View attachment 3566044
hao ndio wale samaki watatu alio watumia kristo kuwalisha watu elf 5 plus? 😆😆😆😆
Mbona kama naniniliuuWatoto wenyewe👇View attachment 3566168
Mbona kama naniniliuu