ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,690
[watu wnazungumza kuwa eti wana sifa? sawa, lakini je taratibu zilifuatwa? je walipambanishwa na wenye sifa wengine kwa njia ya usaili? kwa kuwa kuwa na sifa ni kitu kingine na kushinda usaili ni kitu kingine, na kwa nini watoto wa akina mwinyi, mkapa, mramba etc peke yao ndo wana sifa? hivyo vyuo wamesoma peke yao?
la msingi.
10 wale wote walioajiriwa bila kufanyiwa usaili wasimamishwe mara moja, iitwe kampuni kama price water house au yenye kuheshimika, nafasi zao zitangazwe upya, wafanyiwe usaili na kama kwa kushindanishwa na wengine wtashinda, MIYE SANA NOMA
2 WALE wengine ambao itabainika kuwa wameajiriwa kwa vimemo, na kuwa hawnan sifa, wafukuzwe na kuchuliwa hatua. waLE wote waliohusika katika kufanikisha mpango huu haramu wa ajira za upendeleo, wakiwemo maafisa utumishi, nk, yaani watimuliwe bila haya na hatua kali dhidi yao.SIJAONA MAHALI GANI KATIKA HILI KUNAHITAJI UCHUNGUZI, KAMA NI MAFAILI YA INTERVIEW YAPO HAPO OFISINI, KAMA NI CV ZIPO, UCHUNGUZI WA NINI?
Ndan Ya Hivyo Kuna Kamoja Nasikittika Kalikuwa Kanashea Na Babake Bila Kujua Cha Kushangaza Bbake Ameshindwa Umdumbikiza Uuko Wanaingizwa Vingast Mi Sijui Nifanyeje Tanzania Jamani Kukimbia Si Tatizo Kusema Tum,esema Mpaka Wengine Wanachoka Anyway!!!!!!!!
Womeno.>>mkuu
Wanakatisha Tamaa Kaama Hawalioni Wakati Sie Watooto W Kajambanani
Tunaangalia Tu Na Sasa Hiivi Wamekuja Na Style Ya Kupandishana Vyeo
Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto kuja kuwa mfanyakazi wa BOT sikati tamaa! Najua iko siku milango ya watoto wa wakesha hoi itakuwa wazi japo hata kwa kumuokotea gavana kalamu zikidondoka!inshaallah
Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto kuja kuwa mfanyakazi wa BOT sikati tamaa! Najua iko siku milango ya watoto wa wakesha hoi itakuwa wazi japo hata kwa kumuokotea gavana kalamu zikidondoka!inshaallah
Hapo kwenye red ni kama umejichanganya.HIYO NI TIMU YA WATOTO WA VIGOGO WALIOAJIRIWA BOT BADO KATIKA BALOZI ZETU NJE YA NCHI. NCHI YETU INAFISADIWA NANI WA KUTUOKOA WENGI WAO WAMEGHUSHI ELIMU ZAO
SASA SIJUI KWAMBA NI KUJIVUNIA VIONGOZI WETU KUTUONYESHA KUWA ELIMU NI MSINGI WA MAISHA KWA KUWAPA WATOTO WAO ELIMU BORA AU NI WANANCHI KUONA HUKO NI KUPENDELEANA KATIKA AJIRA ZENYE MASLAHI MAZURI AU NI WIVU WA WATANZANIA TU?
Hapo kwenye red ni kama umejichanganya.
Kama wanaqualify na wanamudu kazi zao na walishindanishwa sioni ubaya BUT kama ni upendeleo shame on them.
Mkuu, inawezekana na wala hakuna muujiza. Usikate tamaa. BoT na TRA ni moja ya Taasisi zinazosemekana kuwanyima fursa watanzania wa kawaida na kuajiri watoto wa vigogo. Hili si kweli, na kama wapo ni asilimia chache tu. Lakini pia tusisahau hata watoto wa vigogo wamesoma, na kama wana sifa zinazotakiwa kwanini wasiajiriwe? Mbona mimi ni mtoto wa mlalahoi asiyejulikana lakini nimebahatika kufanya kazi kwenye Taasisi zote hizi? Haya ni majungu tu. Kwani hao aliowataja ni asilimia ngapi ya wafanyakazi wote wa BoT?Tangu nikiwa mdogo nimekuwa na ndoto kuja kuwa mfanyakazi wa BOT sikati tamaa! Najua iko siku milango ya watoto wa wakesha hoi itakuwa wazi japo hata kwa kumuokotea gavana kalamu zikidondoka!inshaallah
AU NI WIVU WA WATANZANIA TU?