Watoto wa vigogo na ajira BoT

Watoto wa vigogo na ajira BoT

View attachment 328960

Hii ni Orodha ya baadhi ya Majina ya Watoto wa Vigogo ambao ama hawapo BOT lakini wanaendelea kulipwa mishahara ama uwepo wao ndani ya Taasisi hiyo hauna tija.
Hiyo
View attachment 328960

Hii ni Orodha ya baadhi ya Majina ya Watoto wa Vigogo ambao ama hawapo BOT lakini wanaendelea kulipwa mishahara ama uwepo wao ndani ya Taasisi hiyo hauna tija.
Huyo Pamela mshahara utakuwa unaenda kwa babake kupitia yeye! Babake ndo alisuka dili
 
Sasa unataka nimtoe kwa sababu gani ilhali anaendelea kulipwa mshahara BOT? Ulimsikiliza vizuri Jana Mheshimiwa Rais? Umesoma mada yangu na kuelewa? Au umekurupuka tu kuchangia kwa vile tu kaguswa mtoto wa bosi wako?
Mbona kwenye ile clip huyu Pamela yupo?
 
Mafisadi kweli wanaitafuna hiii nchi wao na wanao, Magu please do something, tuko nyuma yako kuondoa huu uozo,
Hakika. Mafisadi aliota mizizi sana katika kila sekta. Wanaendelea kutumbuliwa
 
View attachment 328960

Hii ni Orodha ya baadhi ya Majina ya Watoto wa Vigogo ambao ama hawapo BOT lakini wanaendelea kulipwa mishahara ama uwepo wao ndani ya Taasisi hiyo hauna tija.

Wapo Pia Mtoto wa Mwinyi

Wapo Pia motto wa Mkapa

Wapo Pia motto wa Kawawa

CCM imeigharimu sana nchi hii.....Kama hao watoto hawana qualification za kuwepo hapo watolewe wote
 
Kwa akili zako za kushikiwa unaaiamini hiyo List ya mjinga mwezio Lizaboni? Is it official?
Sasa unang'aka nini Mkuu MUSSA ALLAN? We tulia. Mbona kuna mtoto wa Mkapa na wa Mzee Mwinyi? Ningekuwa na dhamira mbaya si ningeondoa hayo majina? Tulia ndugu. Hapa hakuna utani
 
Ila kiti kimoja tukubali, tanzania karibu kila sehemu, serikalini na binafsi asilimia kubwa watu kupata kazi kwa kiwa na connection na mtu eneo hilo, hivyo kama hao watoto wa vigogo waliumganishwa ila sifa wanazo na kazi wanapiga, sioni tatizo lao ila KUANZIA sasa kama vipi mfumo ubadilishwe ila ni ngumu sana, kubebana kupo pale pale! Cha msingi anayebebwa awe na sifa!

Mtu mwingine ambaye hakumuelewa Raisi alichokisema jana, ,,Raisi alisema kuna watu wengi ambao wameajiriwa na Benki Kuu lkn hawana kazi yoyote ile na bado wanalipwa mishahara hivyo ni bora na ni lazima waondolewe ili wabakie wachache wanaostahili kuwepo na wanaofanya kazi"!

Hivyo kama kuna mtoto wa mkubwa ambaye anastahili kuwepo hapo Benki basi hataguswa!
 
Sasa unang'aka nini Mkuu MUSSA ALLAN? We tulia. Mbona kuna mtoto wa Mkapa na wa Mzee Mwinyi? Ningekuwa na dhamira mbaya si ningeondoa hayo majina? Tulia ndugu. Hapa hakuna utani
Halafu kuna mdada anadharau kweli alikuwa anabetua midomo wakati JPM anaongea huyo wakutumbua kabisa.
 
Mtu mwingine ambaye hakumuelewa Raisi alichokisema jana, ,,Raisi alisema kuna watu wengi ambao wameajiriwa na Benki Kuu lkn hawana kazi yoyote ile na bado wanalipwa mishahara hivyo ni bora na ni lazima waondolewe ili wabakie wachache wanaostahili kuwepo na wanaofanya kazi"!

Hivyo kama kuna mtoto wa mkubwa ambaye anastahili kuwepo hapo Benki basi hataguswa!

uko sahihi kabisa kamanda...watolewe tu...whether awe CCM au awe CHADEMA kwa sasa

Ingawa hayo maovu yao yote waliyafanya wakiwa CCM

Unajua ni wa nini?

CCM ndiyo inafuga Uovu na wizi katika Nchi hii
 
sio BOT tu hili suala liwe endelevu kwenye taasis zote za serikali, suala la ajira za kujuana ni jambo la kawaida sana ndo mana hata ufanisi uko chini sana kwa taasis za serikali!!!! watu wenye uwezo wako chungu mzima nchi hii sema wako sekta binfasi kwa sababu kule ajira si za kujuana
 
uko sahihi kabisa kamanda...watolewe tu...whether awe CCM au awe CHADEMA kwa sasa

Ingawa hayo maovu yao yote waliyafanya wakiwa CCM

Unajua ni wa nini?

CCM ndiyo inafuga Uovu na wizi katika Nchi hii

Lakini pia ni CCM hiyo hiyo inayosafisha maovu!
 
Back
Top Bottom