Mlalahoi Mlalahai
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 399
- 148
Dah hizo surnames kuna kajipu hapo, hata kama wapo kihalali lkn mh
ni chuki au......! Rais kasema wafanyakazi hewa .......... unaelewa maana yake......?
kwa hiyo list sasa tutaanza kusikia badala ya kutumbua majipu warudishe pesa
hapo atagonga mwamba ni sawa na lile jipu lililoleta zuio feki kuzuia uchaguzi wa meya wa DarYaani nchi hii jamani kila sehemu ni MAJIPU tu,, hayo majina ya watoto wa vigogo mbona huku kwingine hawapo,, kwani Quolification zao woooote zililenga kufanya kazi BOT tu,, hii nchi kweli sehemu zote za ulaji mzr ndio wazee wanatupiamo watoto wao,, pale Bandarini wakati wa Wanatumbuliwa tuliona jina la Mtoto wa Kova,,
Mbona hatuoni majina ya watoto wa vigogo huku kwetu Lindi,, hata ukienda Tandahimba hukuti watoto wao huko kumbe walijiwekea BOT kama sehemu ya Ajira kwa watoto wao ,, Tumbua baba toa Usaa wote ibakie ile BOT aliyoiacha mzee Nyerere iliyojaa uadilifu na yenye mseto mzr wa watumishi kutoka familia zote maskini na tajiri.
Shule.....Ivi watoto wa JPM wapo wapi?
JPM uadilifi = A+Shule.....
Mkuu na mim niweke yangu[/QUOTE
15. Asha A. Burembo
16. Happy M. Nchenba
17. Josiah O. Sefuwe
18. Nickson J. Kijadhi
19. Denis D. Mwamunyonge
20. Janeth P. Musekwa
endeleaaaa
Ni aibu sana! Katika karne ya 21 bado ajira zinafanywa kwa upendeleo kiasi hiki? siamini macho yangu.
Akiwatimua utasikia JPM Amewaonea,unajua kwanini KUNA VIUMBE WA LOWASSA HAPO NA HUWA HAWAKOSEI.Hii si habari mpya. Ilishaibuka miaka michache iliyopita. lakini kama kawaida, kuna watu katika nchii (sorry to say) ni "kenge"... mpaka damu ziwatoke masikioni ndipo wasikie na kuelewa. Sasa kwa vile JPM amegusia, utasikia wanaunga mkono kama vile ndio kwanza wanasiakia mara ya kwanza!
Deliberately constructed...!!!