Watoto wa vigogo na ajira BoT

Watoto wa vigogo na ajira BoT

Mapovu yote haya kwa sababu mtoto wa Lowassa katajwa? Kwani hiyo list umeona mtoto wa Mkurugenzi wa B.O.T?
Mapovu utatoka wewe man. Kwani hii list no ya Leo. Hata kama umkubali Lowassa unambebeshaje zigo LA ajira za vigogo BOT!? Yeye ndiye aliwaajiri!? Katika wote yeye ndiye uliyemuona mwanaye pekee!? Wahusika wengi mbona ni wanna ccm kwa nini usiseme ccm inatumbuliwa!?
 
Halafu kuna mdada anadharau kweli alikuwa anabetua midomo wakati JPM anaongea huyo wakutumbua kabisa.

Duh,kweli mkuu,mi Jana sijacheki taarifa ya habari,hela inawatia jeuri,,,,,,
 
Mapovu yote haya kwa sababu mtoto wa Lowassa katajwa? Kwani hiyo list umeona mtoto wa Mkurugenzi wa B.O.T?
Wewe kweli punguani. Lowassa ndiye aliyewaajiri!? Unahangaika vipi na Lowassa!? Yeye ndiye anaendesha BOT!? Kwani Yale makontena yaliyokwepa kodi yalikuwa ya Bade!? Mbona Bade aliwajibishwa!?
 
Wewe kweli punguani. Lowassa ndiye aliyewaajiri!? Unahangaika vipi na Lowassa!? Yeye ndiye anaendesha BOT!? Kwani Yale makontena yaliyokwepa kodi yalikuwa ya Bade!? Mbona Bade aliwajibishwa!?
Hapa sio muda wa kumtetea MTU
Kama Lowassa anahusika asemwe tu
 
Mbona sioni flani bin magufuli(uadilifu A) hahaha huyu sasa ndo yule Tabibu tuliekua tukimsubiri haya baba tumbua vijipu uchungu hivyo
Hawakusoma, wewe kama umeshindia asante kayumba kwa kuenzi kiswahili, ukaenda udom, sua, udsm na kuambulia kichapo cha ffu kwa kugoma, then ikaishia kwa maprofessor uchwara wa kucopy na kupaste notes kwenye Google ya mmrekani, ukambulia first class....wenzio waliopo BOT walienda Oxford, Cambridge, Harvard, nk na watakushinda tu kwenye interview za kimataifa, taasisi nyeti kama TRA kwani wanajua mifumo ya kimataifa eg computer system, nk.
Tulia uza samaki, mh. Rais hawezi kumfukuza kazi mtoto wa kigogo kisa nini? Utumishi wa umma ulimwajiri
 
15. Asha A. Burembo
16. Happy M. Nchenba
17. Josiah O. Sefuwe
18. Nickson J. Kijadhi
19. Denis D. Mwamunyonge
20. Janeth P. Musekwa

endeleaaaa

Hahahaha nchi ilijaa vijipu uchungu kila kona
 
Hapa sio muda wa kumtetea MTU
Kama Lowassa anahusika asemwe tu
Lowassa kama wenzake chamani na serikalini wote walifaidika na dhuluma Hii ya ajira za kujuana. Lakini tusiichukulie too personal kwa sababu tu hatumkubali hiyo haitakuwa sawa hata kidogo. Kama wahusika BOT wamezingua wabebeshwe msalaba wao tu hakuna namna.
 
Kwa nini watu hawataki asemwe Leo kuwa nimiongoni mwa watu walio tufikisha hapa
 
Kama kuna taasisi yenye vijana wengi waliounga/wanaounga mkono UKAWA moja wapo ni BOT.... Kumbuka taasisi hii ni nyeti sana hivyo watu msipokuwa na itikadi moja kuna uwezekano mkubwa siri za ndani kutoka nje... Na kwa hakika hili tushaanza kuliona huku mitaani...

Kundi hili linaongozwa na mtoto wa aliyekuwa waziri mkuu Fredrick Sumaye na mtoto wa Lowassa, wakijipanga kwa ajili ya uchaguzi wa 2020.....

Tafadhali sana Usalama wa Taifa mpenyezeni Magufuli hii habari!....
 
uwepo wa majina yao pale BOT hata kama wanasifa za kufanya kazi pale bado inatia mashaka makubwa hizo nafasi jinsi gani walizipata
 
Hawakusoma, wewe kama umeshindia asante kayumba kwa kuenzi kiswahili, ukaenda udom, sua, udsm na kuambulia kichapo cha ffu kwa kugoma, then ikaishia kwa maprofessor uchwara wa kucopy na kupaste notes kwenye Google ya mmrekani, ukambulia first class....wenzio waliopo BOT walienda Oxford, Cambridge, Harvard, nk na watakushinda tu kwenye interview za kimataifa, taasisi nyeti kama TRA kwani wanajua mifumo ya kimataifa eg computer system, nk.
Tulia uza samaki, mh. Rais hawezi kumfukuza kazi mtoto wa kigogo kisa nini? Utumishi wa umma ulimwajiri

Sjaelewa post yangu imeingilianaje na mimi kutulia kuuza samaki bila shaka yote nlio yaongea yapo ahead of your time sasa uje usome hii post yangu tena na ulivyoni quote tarehe 11/03/2017 nadhani akili yako itakua imesha load vya kutosha na utaelewa vizuri nlichomaanisha
 
Back
Top Bottom