Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
hapana mkuu...sio wote....Kuna wale pia waliohusika na kivuko kibovu hawaguswi
Ni swala la muda tu, hata fisadi Lowasa atafikiwa muda siyo mrefu!
hapana mkuu...sio wote....Kuna wale pia waliohusika na kivuko kibovu hawaguswi
Musa ALLAN, hiyo list siyo ya leo, ipo tangu 2008.Kwa akili zako za kushikiwa unaaiamini hiyo List ya mjinga mwezio Lizaboni? Is it official?
Hiii list siyo ya LEO, ni ya tangu 2008, wewe ndo unatuletea ajira feki ya Pamela, na kama yuko Muhimbili ndiye aliyemfanyia mtu operesheni ya kichwa badala ya mguu.Pamela Lowassa, ni daktari pale Muhimbili.
Mtoe kwenye hiyo List yako feki!
Wewe uliiamini ukaja mbio kusema pamela yuko muhi2, kwa nini mimi nisiiamini, alafu licha ya nyie kitokimkibali mleta mada, jamaa ni reliable source sana, amegonga kichwa cha nyoka mara nyingi tu humu jf.Kwa akili zako za kushikiwa unaaiamini hiyo List ya mjinga mwezio Lizaboni? Is it official?
Magufuli mjanja sana, ameanzia mbali sana kumtafuta Lowassa.Ni swala la muda tu, hata fisadi Lowasa atafikiwa muda siyo mrefu!
Safi, list ya 2008 na watu walihama ila 2016 bado wapo ktk payroll ya 2016 ya bot, wameiba sana aiseeeee!Musa ALLAN, hiyo list siyo ya leo, ipo tangu 2008.
Watu wengine sehemu yoyote akishatajwa Lowasa wanatumia nguvu nyingi kukanusha. Sijui aliwafanyaje huyu mzee mpaka wangu hata ukweli wanauweka pembeni wakiona jinaMusa ALLAN, hiyo list siyo ya leo, ipo tangu 2008.
mkuu kwa taarifa yako, MUSSA ALLAN alikuwa CCM kwa sababu ya LOWASSA , Mganga njaa wake alivyoondoka akatimka naye. Sijaelewa vizuri huyu ni mtu gani kwa Lowassa, Lowassa akitangaza leo kuhamia UDP au NLD utamsikia huko. Bahati mbaya huwa hana hoja ni mtu wa kukurupuka sana, hiyo list ya LIZABONI ipo tangu mwaka 2008, sasa yeye anakurupuka eti ni feki.Wewe uliiamini ukaja mbio kusema pamela yuko muhi2, kwa nini mimi nisiiamini, alafu licha ya nyie kitokimkibali mleta mada, jamaa ni reliable source sana, amegonga kichwa cha nyoka mara nyingi tu humu jf.
Ni bahati mbaya sana kuwa huwa wanakakanusha bila kuwa na ushahidi wa kile wanachokitetea. Lowassa hana ujanja lazima atumbuliwe tu.Watu wengine sehemu yoyote akishatajwa Lowasa wanatumia nguvu nyingi kukanusha. Sijui aliwafanyaje huyu mzee mpaka wangu hata ukweli wanauweka pembeni wakiona jina
Ni shiiida, hawa akina MUSSA ALLAN sijui walipewa nini na LOWASSA hata akitembea na mama zao, watamuita baba na kusahau baba zao waliowazaa.Safi, list ya 2008 na watu walihama ila 2016 bado wapo ktk payroll ya 2016 ya bot, wameiba sana aiseeeee!
Kwa hiyo Lowassa ndiye mkurugenzi muajiri hapo BoT!?Ni bahati mbaya sana kuwa huwa wanakakanusha bila kuwa na ushahidi wa kile wanachokitetea. Lowassa hana ujanja lazima atumbuliwe tu.
Wewe naona unadandia gari kwa mbele, tupishe tujadili mada iliyoko hewani.Kwa hiyo Lowassa ndiye mkurugenzi muajiri hapo BoT!?
Kwa vile we umezoea kudandia magari ndio unadhani kila mmoja kama wewe!? Swali linahitaji jibu Lowassa ndiye mkurugenzi rasilimali watu Wa BoT?Wewe naona unadandia gari kwa mbele, tupishe tujadili mada iliyoko hewani.
...with salute, dear comrade!....tuhuma bila ushahidi ni majungu tu!Nimekuwa nikizifuatilia kwa karibu hizi mada zinazohusiana na watoto wa vigogo kupata ajira BOT ila kuna wakati inafikia wachangiaji aidha wanachukua haya masuala kuwa personal. Nadhani hii yote ni kutokana na kukosekana kwa vidhibiti vya kutosha kuhusiana na hii ishu kwa ujumla.
Mimi binafsi natambua wazi kwamba hakuna ambae angependa mtoto wake apate shida katika dunia hii wakati yeye kama mzazi anao uwezo mkubwa tu wa kumsaidia > Huu ni ubinafsi ambao upo katika kila binadamu (inherent) kinachogomba hapa nadhani ni procedures na appropriateness ya ajira za hawa watoto wa vigogo kuingia BOT kwa wingi kama inavyoonekana. Na je ni kwa nini walimwagwa BOT pekee kwa sababu nina uhakika hii sio bahati mbaya!?
Kuna mchangiaji mmoja aliwahi kuomba kama kuna mtu anazo data (CV na Position wanazohold BOT) juu ya hawa watu azimwage hapa JF lakini sina uhakika kama kuna mtu alirespond may be hakuna aliyekuwa na access ya hizo data.
Kwa jinsi hii ninavyoona hapa sidhani kama hii mada itaweza kuadd value kama hakuna Evidence ya kutosha kuthibitisha kinachosemekana. Tutakuwa kila siku tukiona watu wakirushiana maneno kwa kuhisi kwamba waanzisha mada wanasumbuliwa na wivu na sio kutaka uadilifu uwepo ktk serikali na vyombo vyake vyote.
Let anyone with these data bring them forward for us to scrutinize!
D
hata mim nashangaa palama kawa dokta ghafla mbona mimi simjui na kwenye rosta sijawahi kuona jina kama hiloTeh teh..Pamela amekuwa dokta siku hizi?
Labda ndo yuko BOT anatibu pesahata mim nashangaa palama kawa dokta ghafla mbona mimi simjui na kwenye rosta sijawahi kuona jina kama hilo
Mapovu yote haya kwa sababu mtoto wa Lowassa katajwa? Kwani hiyo list umeona mtoto wa Mkurugenzi wa B.O.T?Kwa vile we umezoea kudandia magari ndio unadhani kila mmoja kama wewe!? Swali linahitaji jibu Lowassa ndiye mkurugenzi rasilimali watu Wa BoT?
Tehe tehe tehe, hatari sana, jina lake linazunguka maeneo hatarishi tu, kesho tutamsikia Uhamiaji.Labda ndo yuko BOT anatibu pesa
Mbona watoto wa Nyerere hakuna kabisa, sio tu BOT bali hata sehemu nyeti za serikali.Wao walipatikana Jeshini na wengine sikuwahi wasikia wakifanya kazi inayoeleweka. Mwinyi naona watoto wake woote mashavu tu sehemu nyeti zote serikalini.