Watoto wa vigogo na ajira BoT

Watoto wa vigogo na ajira BoT

Acha ushoga mleta mada,,,,leta proofs kama huyo andy ni mtoto wa magufuli,,siamini ka wapinzani tanzania umeishiwa hoja kiasi hiki,,,,n by the way PAMELA LOWASSA Aliyepo hapo BOT,mke wa SIOI SUMARY unamfahamu?

Mkuu ume mlipua kwa facts ...
hii nimeipenda sana.
 
Acha ushoga mleta mada,,,,leta proofs kama huyo andy ni mtoto wa magufuli,,siamini ka wapinzani tanzania umeishiwa hoja kiasi hiki,,,,n by the way PAMELA LOWASSA Aliyepo hapo BOT,mke wa SIOI SUMARY unamfahamu?

Umetishaaa kaka, hakika Ukiwa aameishiwa mpaka wanakomaa na makombo ..wataisoma namba
 
Acha ushoga mleta mada,,,,leta proofs kama huyo andy ni mtoto wa magufuli,,siamini ka wapinzani tanzania umeishiwa hoja kiasi hiki,,,,n by the way PAMELA LOWASSA Aliyepo hapo BOT,mke wa SIOI SUMARY unamfahamu?

Mkuu siasa chafu zinaiharibu sana hii nchi,
 
Acha ushoga mleta mada,,,,leta proofs kama huyo andy ni mtoto wa magufuli,,siamini ka wapinzani tanzania umeishiwa hoja kiasi hiki,,,,n by the way PAMELA LOWASSA Aliyepo hapo BOT,mke wa SIOI SUMARY unamfahamu?

Na mtoto wa Sumaye; Filbert Sumaye hamwoni.
Huyu jamaa kiazi kweli.
Haya na watoto wa boss wake mzee Kingunge hawaoni na kazi zao???
 
Huyu ni mtoto wa Pombe Magufuli anayesema ni mtoto wa mkulima. Dogo yupo ndani ya mjengo pacha anakula maisha. Ni rafiki mkubwa wa dogo mwingine anayepiga mzigo ndani ya BOT anaitwa Jabir Kigoda. Hawa ndio wanaCCM wanaokula fadhila za chama na si wewe kutwa nzima unapiga makelele JF hata bando kulipata mpaka uvuje jasho. List inayofuata jiangalie wewe unayejiita mwanaCCM kama upo au mawanao wa mtoto wa shangazi yako kama yupo.. Wafuatao ndio wanaCCM;
1.Beatrice Bomani
2.Zakaria Kawawa
3.Salama Mwinyi
6.Salama Mahita
7.Rachel Msekwa
8.Jane Sitta
9.Jasmini Karume
10.Radhia Shein
11.Justina Nchimbi
12.Blasia Benjamin W. Mkapa
13.Jerome Diallo
14.Likele Ngasongwa
15.Andy Magufuli
16.Thomas Mongela
17.Jabir A. kigoda
18.Marry Mramba
19.Ismail Meghji

mbona haujaweka wa lowasa , sumaye , kingunge , mungai na marafiki za lowasa wanaomuabudu
 
Si dhambi watoto wa vigogo kufanya BOT,je,CV inatosha?wanahaki ya kuomba na kufanya kazi popote kulungana na taratibu na sifa tajwa,mbona wapo wenzao waliondolewa CV hazikutosha
 
Magufuli na CCM yake ni lazima wapigwe chini.Watoto wetu wanapiga lapa watoto wao wanakula viyoyozi hii haikubaliki.Inauma sana.Nchi hii ni yetu sote.Unafiki wa Magufuli hauwezi kuvumiliwa.Anajifanya anasikitishwa na watoto wa vigogo kuajiriwa BoT kumbe wakwake naye yuko huko huko.

Daaaaaaa kweli nchi inawenyewe
 
Hapana hata kama CV zao zinatosha, si busara mambo kuwa kama yalivyo.Number yao ni skewed mno towards favouratism.Picha imeungua sana. Usiniambie kwamba watoto wote hao wa vigogo wana CV nzuri,I doubt it.NA HATA HIVYO WAPO WATOTO WENGI TU WA WAKULIMA WENYE CV NZURI LAKINI MOST LIKELY HAWAPO BOT.Watoto wa wakulima utakuta wako kwenye positions za chini.Mbaya sana.Naomba tu wakumbuke kwamba nchi hii ni yetu sote na haya mambo yana mwisho.
Si dhambi watoto wa vigogo kufanya BOT,je,CV inatosha?wanahaki ya kuomba na kufanya kazi popote kulungana na taratibu na sifa tajwa,mbona wapo wenzao waliondolewa CV hazikutosha
 
Pamela na Fredy hata udiwani au ujumbe wa kamati kuu hawana!! Kama sio mnafiki hembu tuambie wafuatao;

Fatma Bulembo-mbunge vitttanda maalumu CCM!!

Amos Makala,kabwagwa ubunge Mvomero ila Kikwete kampa Ukuu wa Mkoa!!

Vita Kawawa,kabwagwa Ubunge Namtumbo ila kapewa Ukuu wa Mkoa na Kikwete!!

Ridhiwani Kikwete-hamna haya ya kufafanua maana huyu ni donb kuliko PM!!

Ashamsupta Mshana,kabwagwa ubunge ila kapewa Ukuu wa Wilaya juzi tu!!

Hussein Mwinyi anajulikana tangu 95 yupo serikalini kama kifurushi tu na uwaziri juu!!

Makongoro Nyerere,yeye hoja za mashiko kwa Taifa ni Kofia oyee,kifimbo oyee na zipu oyeee,hapo bado hajataja ulanzi,komoni,chimpumu na gongo oyeee!!!

List ni ndefu kweli kweli,hapo badu hujaenda BoT na balozi zetu!!!

We pimbi kweli anzisha thread yako basi. Kichwa kinasema ajira BOT wewe unatuletea list sijui madiwani sijui wabunge nyambafu. Stick to the point kama Andy Magufuli Yupo Mjengoni Pia Pamela Lowassa yupo Pamela Kitengo cha Protocol
 
Tumbua kabisa vijipu uchungu hivi

ImageUploadedByJamiiForums1457668911.899208.jpg
 
15. Asha A. Burembo
16. Happy M. Nchenba
17. Josiah O. Sefuwe
18. Nickson J. Kijadhi
19. Denis D. Mwamunyonge
20. Janeth P. Musekwa

endeleaaaa
 
ni chuki au......! Rais kasema wafanyakazi hewa .......... unaelewa maana yake......?
 
Kumbe BOT inaajiri watoto wa viongozi wakati hii nchi ni yetu wote, magufuli hebu acha kazi zingine zote fuatilia kwanza hizi taarifa
 
Back
Top Bottom