Watoto wa vigogo na ajira BoT

Watoto wa vigogo na ajira BoT

Kichinjio/kikatio changu nakitunza zaidi ya hata mboni yangu ya jicho
 
Jamaa yangu usidanganyike mabadiliko kupitia CCM ni ndoto ya mchana kweupe.. mi mwenyewe mwana CCM lakini kura yangu ni kwa Lowasa... ikiwa CCM ilifutilia mbali maoni ya wananchi ktk katiba ni dhahiri kwamba CCM haitakuwa/haipo tayari kufanya mabadiliko yatakayoiumiza.

Maana ili ufanye mabadiliko ni lazima CCM iumie kwani CCM inauroho wa madaraka sana...na vigogo na watoto wao wachache wa CCM ndio wanaomiliki uchumi wa nchi na raslimali.

Usishangae jamaa yangu ni kwamba watanzania wameamua kwa dhati na kwa ujumla wao kuiadhibu CCM kutokana na mfumo wake wa kulindana na kuongeza maadui 2 zaidi Ufisadi na rushwa na kimsingi ukitazama kwa makini Lowassa kaachia ngazi za kiserikali toka 2007 miaka 8 takribani lakini ufisadi umeongezeka maradufu kumbe tatizo sio Lowassa ni mfumo CCM.
Khaa!! Uko wapi huo utajiri bana?? Nilijua utashusha nondo kumbe pumba tu
 
Sijakuelewa nikilinganisha na title ya habari yako
 
jk hana aman halali ccm wanahaha tukutane 25 octoba kila raia ameamua mabadiliko lowasa
 
Mimi niko Kanda ya Ziwa CCM lazima itoke madarakani.

Mimi Niko Arusha, non yero wote kura ni kwa Magufuli,
Ila akina hero kura zote kwa monaban. Kwa wingi wao, wanatosha kumzamisha lema, ila siyo Magufuli. So Arusha mjini inarudi, Magufuli rais.
 
Yusuf makamba anahaha kila kona kumtengenezea mwanae njia/ ulaji,ile tatu bora inawachanganya
 
Jamaa yangu usidanganyike mabadiliko kupitia CCM ni ndoto ya mchana kweupe.. mi mwenyewe mwana CCM lakini kura yangu ni kwa Lowasa... ikiwa CCM ilifutilia mbali maoni ya wananchi ktk katiba ni dhahiri kwamba CCM haitakuwa/haipo tayari kufanya mabadiliko yatakayoiumiza.

Maana ili ufanye mabadiliko ni lazima CCM iumie kwani CCM inauroho wa madaraka sana...na vigogo na watoto wao wachache wa CCM ndio wanaomiliki uchumi wa nchi na raslimali.

Usishangae jamaa yangu ni kwamba watanzania wameamua kwa dhati na kwa ujumla wao kuiadhibu CCM kutokana na mfumo wake wa kulindana na kuongeza maadui 2 zaidi Ufisadi na rushwa na kimsingi ukitazama kwa makini Lowassa kaachia ngazi za kiserikali toka 2007 miaka 8 takribani lakini ufisadi umeongezeka maradufu kumbe tatizo sio Lowassa ni mfumo CCM.
vipi kuhusu RZONE MNAMUONAJE UTAJIRI WAKE VITUKO VYAKE NDANI YA MIAKA 10 MM NAONA HUYU NI KAMA LIMBUKEN KABISA AMEMDHALILISHA SN BABAKE
 
Jamaa yangu usidanganyike mabadiliko kupitia CCM ni ndoto ya mchana kweupe.. mi mwenyewe mwana CCM lakini kura yangu ni kwa Lowasa... ikiwa CCM ilifutilia mbali maoni ya wananchi ktk katiba ni dhahiri kwamba CCM haitakuwa/haipo tayari kufanya mabadiliko yatakayoiumiza.

Maana ili ufanye mabadiliko ni lazima CCM iumie kwani CCM inauroho wa madaraka sana...na vigogo na watoto wao wachache wa CCM ndio wanaomiliki uchumi wa nchi na raslimali.

Usishangae jamaa yangu ni kwamba watanzania wameamua kwa dhati na kwa ujumla wao kuiadhibu CCM kutokana na mfumo wake wa kulindana na kuongeza maadui 2 zaidi Ufisadi na rushwa na kimsingi ukitazama kwa makini Lowassa kaachia ngazi za kiserikali toka 2007 miaka 8 takribani lakini ufisadi umeongezeka maradufu kumbe tatizo sio Lowassa ni mfumo CCM.

Kazi ni Moja tu CCM out Kwanza....Mambo Mengine Tutajus Mbele kwa Mbele.

Tunayo kazi moja tu watanzania nayo ni kuitoa ccm madarakani

Pole hautaeleweka kamwe na wanaCCM kindakindaki,hasa ukizingatia CCM imekuwa ya kifamilia zaidi,anayetoa sauti ya nani ateuliwe kwenye Ukuu wa wilaya,mkoa,ubunge lazima familia ikae kujadili.Pole CCM

asante. CCM OUT

Onyesha kwanza utajiri wa hao "watoto wa vigogo".

Mbona hujataja hata mmoja?

Mimi niko Kanda ya Ziwa CCM lazima itoke madarakani.

"Watanzania wanataka madiliko, wasipoyapata NDANI ya CCM, watayapata NJE ya CCM" - Julius Nyerere.

"CCM si mama wala baba yangu" - Julius Nyerere.

NI WAKATI WA MABADILIKO.
 
Maendeleo bila mabadiliko ya vyama, watu, filosofia, akili, tabia haiwezekani.... CCM ni ile ile huyu Magufuli atakuwa dikoda tu
 
"Watanzania wanataka madiliko, wasipoyapata NDANI ya CCM, watayapata NJE ya CCM" - Julius Nyerere.

"CCM si mama wala baba yangu" - Julius Nyerere.

NI WAKATI WA MABADILIKO.

Duh!!!!!!!!!CCM ni ile ile na mambo yake ni yale yale.............Tumewaelewa.........Tumeisoma number tutawapigia..............
 
Vyama vimeungana ccm chama kimoja mnashindana na bado mnayaona nini mnaongeya pumba?vyama vimejazana teleeeeccm ni kimoja nabado mnahaahaa mmeuwa vyama vyooote
 
tapeli ni yule anayemdanganya mtu kwa hiki kumbe ndani anamaanisha vingine.

huu ulioufanya kwa kuandika kichwa cha habari kinasema hivi na ndani vingine ni utapeli na tunatakiwa kuepuka utapeli katika kuchagua viongozi wa nchi hii popote walipo.

Jamaa yangu usidanganyike mabadiliko kupitia CCM ni ndoto ya mchana kweupe.. mi mwenyewe mwana CCM lakini kura yangu ni kwa Lowasa... ikiwa CCM ilifutilia mbali maoni ya wananchi ktk katiba ni dhahiri kwamba CCM haitakuwa/haipo tayari kufanya mabadiliko yatakayoiumiza.

Maana ili ufanye mabadiliko ni lazima CCM iumie kwani CCM inauroho wa madaraka sana...na vigogo na watoto wao wachache wa CCM ndio wanaomiliki uchumi wa nchi na raslimali.

Usishangae jamaa yangu ni kwamba watanzania wameamua kwa dhati na kwa ujumla wao kuiadhibu CCM kutokana na mfumo wake wa kulindana na kuongeza maadui 2 zaidi Ufisadi na rushwa na kimsingi ukitazama kwa makini Lowassa kaachia ngazi za kiserikali toka 2007 miaka 8 takribani lakini ufisadi umeongezeka maradufu kumbe tatizo sio Lowassa ni mfumo CCM.
 
Jamaa yangu usidanganyike mabadiliko kupitia CCM ni ndoto ya mchana kweupe.. mi mwenyewe mwana CCM lakini kura yangu ni kwa Lowasa... ikiwa CCM ilifutilia mbali maoni ya wananchi ktk katiba ni dhahiri kwamba CCM haitakuwa/haipo tayari kufanya mabadiliko yatakayoiumiza.

Maana ili ufanye mabadiliko ni lazima CCM iumie kwani CCM inauroho wa madaraka sana...na vigogo na watoto wao wachache wa CCM ndio wanaomiliki uchumi wa nchi na raslimali.

Usishangae jamaa yangu ni kwamba watanzania wameamua kwa dhati na kwa ujumla wao kuiadhibu CCM kutokana na mfumo wake wa kulindana na kuongeza maadui 2 zaidi Ufisadi na rushwa na kimsingi ukitazama kwa makini Lowassa kaachia ngazi za kiserikali toka 2007 miaka 8 takribani lakini ufisadi umeongezeka maradufu kumbe tatizo sio Lowassa ni mfumo CCM.

Kichwa cha habari hakifanani na ulichoandika mimi nilidhani unaorodhesha kwa majina hao watoto na mali wanayomiliki.
 
Back
Top Bottom