Watoto wa vigogo na ajira BoT

Watoto wa vigogo na ajira BoT

Sijaelewa hii mada yako: "Utajiri wa watoto wa vigogo huu hapa!" kama haiendani ni ulichosema ingawa ni point
 
Eti January Makamba ndo amepewa dhamana ya kupambana na Mabadiliko Mitandaoni ... I wish wangejua kuwa Watanzania tunajiwekea Bundles zetu wenyewe tena kwa kujinyima ili tuing'oe CCM madarakani ...
 
Jamaa yangu usidanganyike mabadiliko kupitia CCM ni ndoto ya mchana kweupe.. mi mwenyewe mwana CCM lakini kura yangu ni kwa Lowasa... ikiwa CCM ilifutilia mbali maoni ya wananchi ktk katiba ni dhahiri kwamba CCM haitakuwa/haipo tayari kufanya mabadiliko yatakayoiumiza.

Maana ili ufanye mabadiliko ni lazima CCM iumie kwani CCM inauroho wa madaraka sana...na vigogo na watoto wao wachache wa CCM ndio wanaomiliki uchumi wa nchi na raslimali.

Usishangae jamaa yangu ni kwamba watanzania wameamua kwa dhati na kwa ujumla wao kuiadhibu CCM kutokana na mfumo wake wa kulindana na kuongeza maadui 2 zaidi Ufisadi na rushwa na kimsingi ukitazama kwa makini Lowassa kaachia ngazi za kiserikali toka 2007 miaka 8 takribani lakini ufisadi umeongezeka maradufu kumbe tatizo sio Lowassa ni mfumo CCM.
Upo wapi huo utajiri wa watoto wa vigorously??
Upuuzi mtupu.
 
Pole hautaeleweka kamwe na wanaCCM kindakindaki,hasa ukizingatia CCM imekuwa ya kifamilia zaidi,anayetoa sauti ya nani ateuliwe kwenye Ukuu wa wilaya,mkoa,ubunge lazima familia ikae kujadili.Pole CCM

kwani cdm siyo ya kifamilia?
 
kwani cdm siyo ya kifamilia?

Siyo,ile according to MAKADA wa CCM ni ya WA-KASKAZINI au mmeshasahau tena???

Angalia ukiwa muongo usiwe mwepesi wa kusahau.............
 
Mbali ya yanayosemwa lkn bad wanakuja JF na jeuri!kweli nyinyi jeuri na mmesahau siku ya maumivu ikikalibia utamfuta aliekuzaa yuko wapi..
 
Mgombea urais kupitia ccm anajigamba kuwa atawashugulikia mafisadi akichaguliwa. Atumbie hao watoto wa vigogo pamoja vigogo wanaouza madawa ya kulevya na wengine wameshikilia nafasi mbalimbali kwenye taasisi na mashirika mbalimbali hata bila kuwa na vigezo atawafanya nini?
 
Hapo chachaaaaa...! Uwizi mtupu, ccm ikae pembeni..! Imechokaaaaaaaaaaaa
 
hakuna mtoto wa kigogo aliyewekwa kwenye taasisi fulani bila vigezo.... huo ni uongo...huwa ni maneno tu ya watu wanaopenda kulalamika kwa kila jambo...
kusoma hawasomi halafu wakiona msomi ananufaika wanaanza kulalamika
 
Pamela lowasa,fred sumaye nao wamo

Pamela na Fredy hata udiwani au ujumbe wa kamati kuu hawana!! Kama sio mnafiki hembu tuambie wafuatao;

Fatma Bulembo-mbunge vitttanda maalumu CCM!!

Amos Makala,kabwagwa ubunge Mvomero ila Kikwete kampa Ukuu wa Mkoa!!

Vita Kawawa,kabwagwa Ubunge Namtumbo ila kapewa Ukuu wa Mkoa na Kikwete!!

Ridhiwani Kikwete-hamna haya ya kufafanua maana huyu ni donb kuliko PM!!

Ashamsupta Mshana,kabwagwa ubunge ila kapewa Ukuu wa Wilaya juzi tu!!

Hussein Mwinyi anajulikana tangu 95 yupo serikalini kama kifurushi tu na uwaziri juu!!

Makongoro Nyerere,yeye hoja za mashiko kwa Taifa ni Kofia oyee,kifimbo oyee na zipu oyeee,hapo bado hajataja ulanzi,komoni,chimpumu na gongo oyeee!!!

List ni ndefu kweli kweli,hapo badu hujaenda BoT na balozi zetu!!!
 
hapa imefufuliwa maiti ikianza kutoa harufu watu hawataangaliana usoni.
 
Huyu ni mtoto wa Pombe Magufuli anayesema ni mtoto wa mkulima. Dogo yupo ndani ya mjengo pacha anakula maisha. Ni rafiki mkubwa wa dogo mwingine anayepiga mzigo ndani ya BOT anaitwa Jabir Kigoda. Hawa ndio wanaCCM wanaokula fadhila za chama na si wewe kutwa nzima unapiga makelele JF hata bando kulipata mpaka uvuje jasho. List inayofuata jiangalie wewe unayejiita mwanaCCM kama upo au mawanao wa mtoto wa shangazi yako kama yupo.. Wafuatao ndio wanaCCM;
1.Beatrice Bomani
2.Zakaria Kawawa
3.Salama Mwinyi
6.Salama Mahita
7.Rachel Msekwa
8.Jane Sitta
9.Jasmini Karume
10.Radhia Shein
11.Justina Nchimbi
12.Blasia Benjamin W. Mkapa
13.Jerome Diallo
14.Likele Ngasongwa
15.Andy Magufuli
16.Thomas Mongela
17.Jabir A. kigoda
18.Marry Mramba
19.Ismail Meghji
 
Yaani umetaja wachache sana maana naamni zaidi ya asimilia tisini ni watoto au ndugu za viongozi.
 
Acha ushoga mleta mada,,,,leta proofs kama huyo andy ni mtoto wa magufuli,,siamini ka wapinzani tanzania umeishiwa hoja kiasi hiki,,,,n by the way PAMELA LOWASSA Aliyepo hapo BOT,mke wa SIOI SUMARY unamfahamu?
 
Back
Top Bottom