sio hvyo mkuu. nafkri hujanielewaKwa hiyo unaona ni sawa? Hao ndio wenye qualifications kuliko watanzania wengine? Acha hizo bhana
sio hvyo mkuu. nafkri hujanielewa
KAKA ACHA MAPEPE,UNAJITUNGIA HABARI TU HAPA,KAMA HUNA KIPYA KAA PEMBENI.KWANZA SUMAYE HANA MTOTO ANAEITWA ROGERS,BALI ANA WATOTO WAWILI AMBAO NI FILBERT NA FRANK,PILI FILBERT ALIRUDI NCHINI BAADA YA KUMALIZA MASTERS YAKE YA COMPUTER SCIENCE.NA ALIPORUDI ALIKAA MIEZI NANE AKIFANYA KAZI KTK KAMPUNI BINAFSI NDIO AKAAJILIWA.HUO UZUSHI UMETOA WAPI KAKA?ATA UKIULIZA WATU ALIOSOMA NAO TOSAMAGANGA F 5&6 WATAKWAMBIA JINSI ALIVYO MTU SIMPLE NA WAKUJITUMA.KAZINI KWAKE WANAMTEGEMEA MTAFUTE BOSI WAKE MZEE MASAWE ATAKWAMBIA.PIA WAPO WENYE CPA NA
NK.WIVUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU MBAYA JAMANI
Maana hapo bado hujaweka list ya mademu wa vigogo..eg. Vicky kamata etc, sawa wanaweza kuwa na minimum qualifications lakini kuwekwa kwa kigezo cha undugu/kujuana hilo ndio tatizo...
Maana hapo bado hujaweka list ya mademu wa vigogo..eg. Vicky kamata etc, sawa wanaweza kuwa na minimum qualifications lakini kuwekwa kwa kigezo cha undugu/kujuana hilo ndio tatizo...
Kama wana-qualify ktk hizo positions hapo BoT sioni tatizo
mbna hvyo hatuwaoni kwenye ubwana kilimo, afisa mtendaji, ualimu n.k au wao vigezo huwa vipo bot, nssf n.k tu!?
mbna hvyo hatuwaoni kwenye ubwana kilimo, afisa mtendaji, ualimu n.k au wao vigezo huwa vipo bot, nssf n.k tu!?
Wakuu lina ukweli hili la kuwekana kiasi hiki?
Watoto wa vigogo tele, Benki kuu ya TZ(BoT)
Beatrice Bomani
Zakaria Kawawa,
Salama Mwinyi,
Rachel Msekwa,
Salama Mahita,
Jane Sita,
Jasmin Karume,
Justina Nchimbi,
Blasia W. Mkapa,
Radhia Shein,
Jerome Dialo,
Likele Ngasongwa,
Andy Magufuli,
Thomas. Mongela,
Jabiri Kigoda,
Mary Mramba
Ismail Meghji
#copiedsomewhere!
Halina ukweli mkuu hatuna watu kama hao