Watoto wa vigogo na ajira BoT

Watoto wa vigogo na ajira BoT

Hawa mabaka nchi wa Lumumba yaitwayo nyinyiemu yasipodhibitiwa yanazidi kuliangamiza taifa, Hebu fikiria ktk secta moja tu ya BENK KUU wamepeana vyeo watoto na vijukuu vyao huku mtoto wa mkulima pale Nyololo akiwa hana kibali wala sifa za kugusa Bot ama popote palipo panono!

Twende sasa Bot, tunawakuta hawa:

FILBET SUMAYE,
BEATRICE BOMAN.
PAMELA LOWASA,
ZACHARIA KAWAWA,
SALAMA MWINYI,
RACHEL MSEKWA.
SALAMA MAHITA,
JANE SITA.
JASMIN KARUME.
JUSTINA NCHIMBI,
BLASIA W MKAPA,
RADHIA SHEIN.
JEROME DIALO .
LIKELE NGASONGWA.
ANDY MAGUFULI.
THOMAS MONGELA,
JABIR KIGODA.
MARY MRAMBA.
ISMAIL MEGHEJI

Wewe na ndugu zako mko bank gani,....?

TAFAKARI...!

Mpango mzima ni CHADEMA-2015, TUMA ujumbe huu KWA WAPIGA KURA WENZAKO 10 TUIKOMBOE NCHI YETU.
 
Na wewe endelea kutumia jina la NYERERE kuganga njaa
 
Naona sasahivi chadema waishiwa hoja wamebaki kuokoteza okototeza zile za awamu ya 3 ya jk muda si mrefu watakuja na zile za Mwembe Yanga za EPA. Tatizo ni kuwa mliokuwa mkiwategemea wawaletee na kuibua hoja mujalabu ndo mshawafukuza kwa tamaa zenu za kula ruzuku hivyo hamna mpya. Kama ni T-Shirt hiyo rangi imechuja.

Hata hoja ya ESCOW ingewatoa lakini tatizo ni kuwa Kiongozi wenu(sultan) naye kashiriki kula mgao wa escow hivyo hamuwezi kukata tawi la mti mlilokalia.

Tehtehteh tehteh kwi kwi kwi kwi.
 
Mtawala wa forum hii na wote kwa ujumla napenda kuwapa mada hii iwe kama ni ushahidi mojawapo wa sakata la BoT. Hili swala la watoto wa vigogo kuajiriwa Bot si la uongo kwani

1. Rogers Sumaye alipata ajira hata kabla hajamaliza shule Uk kwani kuna watu walianza kufanya interview za kumsindikiza.
2. Kigoda naye the same
3. Lowasa's the same
4. And many others who have brothers there or relatives

Ishu hapa sio kuwa na sifa za kufanya kazi Bot bali je walipitia usahili na taratibu za ajira serikalini?

Je ni watu wangapi wenye sifa walifanya interview na kushinda na bado wakapigwa chini?

Inasikitisha kuona kuwa hata Gavana mpya anatetea maovu akiwa ofisini hata mwezi haujaisha ni SHIDA hii

May 30, 2008:

=======
Baadae: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/19573-watoto-wa-vigogo-bot-wasafishwa.html
=======

Oktoba 07, 2012

Oktoba 23, 2012

ndo maana nasema ukiona kijana anaishabikia ccm huyo atakuwa tahira au hajielewi .
 
Je hivi ni kweli hawa wote wameajiriwa BoT? Hizi habari zimeenea, lkn kwa sisi tulio mikoani hatujui uhakika wake ukoje ingawa roho zinatuuma sana.
1.FILBERT SUMAYE, 2. BEATRICE BOMANI,3.PAMELA LOWASA,4.ZACHARIA KAWAWA
5. SALAMA MWINYI,6. RACHEL MSEKWA,7. SALAMA MAHITA,8. JANE SITTA,9.JASMINE KARUME
10. JUSTINA NCHIMBI,11. BLASIA W. MKAPA 12. RADHIA SHEIN, 13. JEROME DIALLO, 14.LIKELE NGASONGWA
15.ANDY MAGUFULU, 16. THOMAS MONGELA, 17. JABIR KIGODA, 18.MARY MRAMBA, 19.ISMAIL MEGJI
 
duh kama ni kweli tufanye mapinduzi makubwa october
 
Bora nije gombea ubunge kizazi changu kisipate shida ya ajira.
 
Je hivi ni kweli hawa wote wameajiriwa BoT? Hizi habari zimeenea, lkn kwa sisi tulio mikoani hatujui uhakika wake ukoje ingawa roho zinatuuma sana.
1.FILBERT SUMAYE, 2. BEATRICE BOMANI,3.PAMELA LOWASA,4.ZACHARIA KAWAWA
5. SALAMA MWINYI,6. RACHEL MSEKWA,7. SALAMA MAHITA,8. JANE SITTA,9.JASMINE KARUME
10. JUSTINA NCHIMBI,11. BLASIA W. MKAPA 12. RADHIA SHEIN, 13. JEROME DIALLO, 14.LIKELE NGASONGWA
15.ANDY MAGUFULU, 16. THOMAS MONGELA, 17. JABIR KIGODA, 18.MARY MRAMBA, 19.ISMAIL MEGJI

hata kitabu kitakatifu kinakuambia kuwa aliye nacho ataongezewa na yule asiye nacho basi hata kile kidogo atanyang'anywa.
 
Je hivi ni kweli hawa wote wameajiriwa BoT? Hizi habari zimeenea, lkn kwa sisi tulio mikoani hatujui uhakika wake ukoje ingawa roho zinatuuma sana.
1.FILBERT SUMAYE, 2. BEATRICE BOMANI,3.PAMELA LOWASA,4.ZACHARIA KAWAWA
5. SALAMA MWINYI,6. RACHEL MSEKWA,7. SALAMA MAHITA,8. JANE SITTA,9.JASMINE KARUME
10. JUSTINA NCHIMBI,11. BLASIA W. MKAPA 12. RADHIA SHEIN, 13. JEROME DIALLO, 14.LIKELE NGASONGWA
15.ANDY MAGUFULU, 16. THOMAS MONGELA, 17. JABIR KIGODA, 18.MARY MRAMBA, 19.ISMAIL MEGJI

mbona hujanitaja kozo okamoto mwajiriwa wa jamii forum?
 
KAKA ACHA MAPEPE,UNAJITUNGIA HABARI TU HAPA,KAMA HUNA KIPYA KAA PEMBENI.KWANZA SUMAYE HANA MTOTO ANAEITWA ROGERS,BALI ANA WATOTO WAWILI AMBAO NI FILBERT NA FRANK,PILI FILBERT ALIRUDI NCHINI BAADA YA KUMALIZA MASTERS YAKE YA COMPUTER SCIENCE.NA ALIPORUDI ALIKAA MIEZI NANE AKIFANYA KAZI KTK KAMPUNI BINAFSI NDIO AKAAJILIWA.HUO UZUSHI UMETOA WAPI KAKA?ATA UKIULIZA WATU ALIOSOMA NAO TOSAMAGANGA F 5&6 WATAKWAMBIA JINSI ALIVYO MTU SIMPLE NA WAKUJITUMA.KAZINI KWAKE WANAMTEGEMEA MTAFUTE BOSI WAKE MZEE MASAWE ATAKWAMBIA.PIA WAPO WENYE CPA NA
NK.WIVUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU MBAYA JAMANI
Hata escrow walianza wanajitetea hivi hivi
 
Wenzio Wana masters za UK we yako sijui wapi vile chuo cha kata???? Hata lugha ya malkia haipandi sembuse hayo material??? Wacha wapate kazi bhana wako na materials
 
Back
Top Bottom