Watoto wa vigogo na ajira BoT

Watoto wa vigogo na ajira BoT

Kaangali safu ya wabunge wa viti maalumu Chadema ndio utathibitisha vizuri madai yako.
 
Hapo ni ukweli mtupu tena bado wengi sana bado hujawataja. Asilimia zaidi ya tisini ni watoto wanamahusiano na viongozi. Utafiti huru ukifanyika inaweza kuwa asilimia tisini na tisa
 
watu wamekidhi vigezo, kwani b.o.t wanaajiri malaika???? acha wapige kazi ili mradi wame qualify
 
Hapo anaenda mtu anayeaminika na dhamana ni familia yake quolification ni kigezo cha 3 au 4, kama ingekuwa ni quolification ndo kigezo basi tungepata mchanganyiko wa watu na wala sio watoto wa vigogo tu.
 
Kaangalie utawala wa chadema viti maalum...wamestahili ndio maana wamepewa...wakati wanaangaika na chama pamoja na kakazo,waume zao,ddaada zao, wake zao na watoto zao sie tulikuwa pemben...walivyopata ubunge ndio macho yanawatoka....ooh cdm imejaa undugu...tuache majungu..mwenye kustahili na apate sio anyimwe kisa ndugu ake yu kigogo[/QUOTE
]
 
Kaangalie utawala wa chadema viti maalum...wamestahili ndio maana wamepewa...wakati wanaangaika na chama pamoja na kakazo,waume zao,ddaada zao, wake zao na watoto zao sie tulikuwa pemben...walivyopata ubunge ndio macho yanawatoka....ooh cdm imejaa undugu...tuache majungu..mwenye kustahili na apate sio anyimwe kisa ndugu ake yu kigogo

Cha chama cha siasa, BOT taasisi ya umma unavilinganishaje? Hujielewi kwa kweli na hujui maudhui yaliyoko katika huu uzi
 
Wakuu lina ukweli hili la kuwekana kiasi hiki?

Watoto wa vigogo tele, Benki kuu ya TZ(BoT)

Beatrice Bomani

Zakaria Kawawa,

Salama Mwinyi,

Rachel Msekwa,

Salama Mahita,

Jane Sita,

Jasmin Karume,

Justina Nchimbi,

Blasia W. Mkapa,

Radhia Shein,

Jerome Dialo,

Likele Ngasongwa,

Andy Magufuli,

Thomas. Mongela,

Jabiri Kigoda,

Mary Mramba

Ismail Meghji

#copiedsomewhere!

Kama wamesoma na wanapiga kazi bila ubabaishaji haina shida
 
Ukizaliwa familia ya watawala ndio baraka tz.tutafute ambao ni walimu shule za msingi na sekondari.je ni watoto wangapi wa vigogo ni washika CHAKI?
 
Wakuu lina ukweli hili la kuwekana kiasi hiki?

Watoto wa vigogo tele, Benki kuu ya TZ(BoT)

Beatrice Bomani

Zakaria Kawawa,

Salama Mwinyi,

Rachel Msekwa,

Salama Mahita,

Jane Sita,

Jasmin Karume,

Justina Nchimbi,

Blasia W. Mkapa,

Radhia Shein,

Jerome Dialo,

Likele Ngasongwa,

Andy Magufuli,

Thomas. Mongela,

Jabiri Kigoda,

Mary Mramba

Ismail Meghji

#copiedsomewhere!

hiyo list fake,haiwezekani watoto wa mkwere hawako,kalete nyingine pls
 
Nawatakia kila la heri katika siku ya mwisho ya uhuru mtandaoni Tanzania. Tusisahauliane kwenye dhamana kikinuka. #August31
 
Wakuu lina ukweli hili la kuwekana kiasi hiki?

Watoto wa vigogo tele, Benki kuu ya TZ( BOT )

Beatrice Bomani

Zakaria Kawawa,

Salama Mwinyi,

Rachel Msekwa,

Salama Mahita,

Jane Sita,

Jasmin Karume,

Justina Nchimbi,

Blasia W. Mkapa,

Radhia Shein,

Jerome Dialo,

Likele Ngasongwa,

Andy Magufuli,

Thomas. Mongela,

Jabiri Kigoda,

Mary Mramba

Ismail Meghji

#copiedsomewhere!
La mtoto wa Lowassa mbona silioni au yeye si kigogo kwa kuwa ameikimbia ccm amekuwa unyasi. Kama unatoa taarifa uwe mkweli basi.
 
Kaangali safu ya wabunge wa viti maalumu Chadema ndio utathibitisha vizuri madai yako.

Hapana si pahala pake. Ajira ina vigezo kwa kila nafasi ki a taaluma, siasa haihitaji taaluma maalum. Iwapo vigezo vya ajira vimezingatiwa pia uwazi umepewa nafasi katika kusaili, hakuna tatizo.
 
Back
Top Bottom