Watoto wa vigogo na ajira BoT

Watoto wa vigogo na ajira BoT

Kaangalie utawala wa chadema viti maalum...wamestahili ndio maana wamepewa...wakati wanaangaika na chama pamoja na kakazo,waume zao,ddaada zao, wake zao na watoto zao sie tulikuwa pemben...walivyopata ubunge ndio macho yanawatoka....ooh cdm imejaa undugu...tuache majungu..mwenye kustahili na apate sio anyimwe kisa ndugu ake yu kigogo
Tuwekee hiyo orodha ili tuendelee kukasirika!
 
Cha chama cha siasa, BOT taasisi ya umma unavilinganishaje? Hujielewi kwa kweli na hujui maudhui yaliyoko katika huu uzi

Mkuu hayo ndo matokeo ya elimu bora inayotolewa na serikali ya CCM..sa ka'analysis kadogo kama hako kamemshinda' af ukmgoogLe utakuta ana degree! SOB
 
Ukizaliwa familia ya watawala ndio baraka tz.tutafute ambao ni walimu shule za msingi na sekondari.je ni watoto wangapi wa vigogo ni washika CHAKI?

Labda mtoto wa kusingiziwa! au alimkataa!
 
Bado haijawa hoja mpaka uweke na walioomba na wana vigezo ila walikataliwa
 
ndio maana tunataka mabadiliko,wana deliver BOT TU,kwanin wasi deliver halmashauri ya nkasi/namanyere sumbawanga
 
tuwekee source ya hii taarifa yako. otherwise wewe ni lofa na mpumbavu. ninachojua mtoto wa mahita aitwaye salama ni daktari wa binadamu (MD). sasa sijui kama mahita ana watoto wawili wenye majina yanayofanana.

Wakuu lina ukweli hili la kuwekana kiasi hiki?

Watoto wa vigogo tele, Benki kuu ya TZ( BOT )

Beatrice Bomani

Zakaria Kawawa,

Salama Mwinyi,

Rachel Msekwa,

Salama Mahita,

Jane Sita,

Jasmin Karume,

Justina Nchimbi,

Blasia W. Mkapa,

Radhia Shein,

Jerome Dialo,

Likele Ngasongwa,

Andy Magufuli,

Thomas. Mongela,

Jabiri Kigoda,

Mary Mramba

Ismail Meghji

#copiedsomewhere!
 
tuwekee source ya hii taarifa yako. otherwise wewe ni lofa na mpumbavu. ninachojua mtoto wa mahita aitwaye salama ni daktari wa binadamu (MD). sasa sijui kama mahita ana watoto wawili wenye majina yanayofanana.
kuhusu kuwa MGANGA MKUU kila anapohamishiwa nalo unalijua ?
 
Wakuu lina ukweli hili la kuwekana kiasi hiki?

Watoto wa vigogo tele, Benki kuu ya TZ( BOT )

Beatrice Bomani

Zakaria Kawawa,

Salama Mwinyi,

Rachel Msekwa,

Salama Mahita,

Jane Sita,

Jasmin Karume,

Justina Nchimbi,

Blasia W. Mkapa,

Radhia Shein,

Jerome Dialo,

Likele Ngasongwa,

Andy Magufuli,

Thomas. Mongela,

Jabiri Kigoda,

Mary Mramba

Ismail Meghji

#copiedsomewhere![/

URL]u


https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=cop iedsomewhere!
uchokonozi kama huu ndio uliosababisha watu waoga kuweka sheria mbaya na kandamizi ya makosa ya mitandaoni , tuombe Mungu , hata hivyo sheria hii itadumu kwa miezi miwili tu .
 
Sifa wanazo ndio mana wameajiriwa mbona mm nipo nyeti nakula hela mamba mamtoni kila kukicha na sio mtoto wa kigogo na wa mlala hoi ila cv ndio zimenifanya nipate kazi. Jifunge mkanda acha kulegeza suruali
 
kuhusu kuwa MGANGA MKUU kila anapohamishiwa nalo unalijua ?
halafu kumbe hata hii list fake ime-editiwa na kuwa fake square. ni nini hasa yalikuwa madhumuni ya mleta thtread kuondoa haya majina?

1. FILBART SUMAYE,
2. PAMELA LOWASA,

3. ZARIA KAWAWA,
4. HERIETH LUMBANGA,
5. SALAMA MWINYI,
6. RECHAL MUGANDA,
7. SALMA MAHITA,
8. JUSTINA MUNGAI,
9. KENETH NCHIMBI,
10. BLASIA W. MKAPA,
11. VAOLETH LUHANJO,
12. LIKU KATE KAMBA,
13. THOMAS MONGELA na
14. JABIRI KIGODA.
 
Back
Top Bottom