Watoto wa vigogo na ajira BoT

Watoto wa vigogo na ajira BoT

Hilarious...funny, right? Kwa maneno mengine haukubaliani na nilichokieleza. Kwa leo binafsi anaishia hapa. Nikipata wasaa mwingine tutajadili hili. Mkuu ilikuutendea haki mjadala rasmi wa uzi huu, tutafute mahala pengine tuwekane sawa katika hili.

Jioni njema kama upo maeneo ya Afrika mashariki.

Mjadala wote ni mjadala rasmi. Kuna mengine yapo several layers down.

Na tukirudi huko BOT, BOT staff inatakiwa kuwa kama population ya TZ ilivyo, kama viongozi ni 0.00001 percent ya population ideally watoto wa viongozi wawe around that ratio.

Sio watu walio 0.00001 percent of the population wanaenda kuwa disproportionately represented hapo BOT.

Hata kama hamna rushwa na ubadhirifu wa vyeo vya umma, ule muonekano tu kwamba upo ni mbaya tosha.
 
wanaosema ndiyo,ok.wanaosema siyo,ok lakini time will tell.
 
Hawa CCM ni NOMA sana! Hebu fikiria ktk secta moja tu ya BENK KUU tunawakuta watoto wa vigogo
1.FILBET SUMAYE 2.BEATRICE BOMANI
3.PAMELA LOWASA
4.ZACHARIA KAWAWA
5.SALAMA MWINYI
6.RACHEL MSEKWA
7.SALAMA MAHITA 8.JANE SITA
9.JASMIN KARUME 10.JUSTINA NCHIMBI
11.BLASIA W.MKAPA
12.RADHIA SHEIN
13.JEROME DIALO 14.LIKELE NGASONGWA 15.ANDY MAGUFULI
16.THOMAS MONGELA
17.JABIR KIGODA 18.MARY MRAMBA 19.ISMAIL MEGJI 20 EMANUEL KITANDULA
wewe na ndugu zako mko bank gani,....? TAFAKARI....! Mpango mzima ni Tusiwachaguwe Tena -2015, TUMA ujumbe Huu KWA WAPIGA KURA WENZAKO 10. TUIKOMBOE NCHI YETU.
 
Mkuu asante kwa uchunguzi mzuri saaaaaaaanaaaaa.
Tukiwachagua wapinzani nao wakafanya hivyo, uchaguzi unaofuata tuchagua CCM?
 
watu wanafikiri kufanya bank ni issue mkubwa sana, bank ni kama uko kifungoni ndugu yangu?? labda uzuri wa bank ni kuwa wafanyakazi ni rahisi kupata mkopo, waulize watu wanaofanya bank watakuambia mishahara yao na jinsi wanavyobanwa na mda,
 
Sina imani na vijana wengi wa ktz sijuwi wamelogwa na nani hawajuwi haki zao hawajitambuwi wakipewa wali nazi tu wanapiga magoti, mda siyo mrefu baraza la mawaziri litakuwa na watoto wao na wajukuu wao

Onyo kama hatuta badilika itabidi na sisi wengine tuje kuwaibia tu tuuze adi shule za msingi na za awali na zakata!
Coz naona sasa tunapiga kelele na mbuzi kondoo
 
watu wanafikiri kufanya bank ni issue mkubwa sana, bank ni kama uko kifungoni ndugu yangu?? labda uzuri wa bank ni kuwa wafanyakazi ni rahisi kupata mkopo, waulize watu wanaofanya bank watakuambia mishahara yao na jinsi wanavyobanwa na mda,

MKUU nahitaji saaaaana kazi katika benki unaweza nisaidia jinsi ya kupata ? maana kama ni maombi nimetuma saaana. AKsante
 
Mbona hizi mada zishawekwa sana hapa? give us a break
 
Hii kitu mbona imeshazungumziwa jamani. Mwanzishaji wa hii thread inabidi afanye kuperuzi kabla ya kumwaga hizi pumba, zimeshachambuliwa!

kwaiyo sumu imekuwa maji unaweza kunywa siyo coz nia muda mrefu!
 
ushauri wangu kwako.tafuta mlango fungua TIGOPESA,maana siku hizi ni sawa na benki,usisubiri kuajiriwa,jiajiri mwenyewe.
MKUU nahitaji saaaaana kazi katika benki unaweza nisaidia jinsi ya kupata ? maana kama ni maombi nimetuma saaana. AKsante
 
Hawa CCM ni NOMA sana!
Hebu fikiria ktk secta moja tu ya BENK KUU tunawakuta watoto wa vigogo
1.FILBET SUMAYE 2.BEATRICE BOMANI
3.PAMELA LOWASA
4.ZACHARIA KAWAWA
5.SALAMA MWINYI
6.RACHEL MSEKWA
7.SALAMA MAHITA 8.JANE SITA
9.JASMIN KARUME 10.JUSTINA NCHIMBI
11.BLASIA W.MKAPA
12.RADHIA SHEIN
13.JEROME DIALO 14.LIKELE NGASONGWA 15.ANDY MAGUFULI
16.THOMAS MONGELA
17.JABIR KIGODA 18.MARY MRAMBA 19.ISMAIL MEGJI 20 EMANUEL KITANDULA
wewe na ndugu zako mko bank gani,....? TAFAKARI....! Mpango mzima ni
Tusiwachaguwe Tena -2015, TUMA ujumbe Huu KWA WAPIGA KURA WENZAKO 10.
TUIKOMBOE NCHI YETU.

Acha udunya wewe Pimbi,,,,haya usipo wachagu ww ndo utapata hiyo nafasi?Hiyo habari waeleze watu wa Ufipa street.
 
Hebu fikiria katika secta moja tu ya "BENKI KUU" tunawakuta watoto wa vigogo tu, 1. FILBERT SUMAYE
2.BEATRICE BOMANI 3.PAMELA LOWASA 4.ZACHARIA KAWAWA 5.SALAMA MWINYI 6.RACHEL MSEKWA 7.SALAMA MAHITA
8. JANE -S- SITA
9. JASMIN KARUME 10.JUSTINA NCHIMBI 11.ISMAIL MEGHJI 12.MARRY MRAMBA 13.JABIR KIGODA 14.BLASIA MKAPA 15.RADHIA SHEIN 16.JEROME DIALO 17.ANDY MAGUFURI 18.THOMAS MONGELA. JE WEWE UNAYEISHABIKIA CCM UKO WAPI? AU MTOTO WAKO YUKO WAPI?.
 
Mmh inasikitisha..hapo nani atamwajibisha mwenzake hapo..ndo maana nchi ni maskini imekauka..ila mi nataka umaskini ubane mpaka watu waote mafunza ndo watajifunza..maana maskini ndo washabiki wakubwa wa ccm
 
...ukishabikia chama cha majangili ccm lazima uwe punguani kidogo...
 
Mmh inasikitisha..hapo nani atamwajibisha mwenzake hapo..ndo maana nchi ni maskini imekauka..ila mi nataka umaskini ubane mpaka watu waote mafunza ndo watajifunza..maana maskini ndo washabiki wakubwa wa ccm

Wote watakuwa wanaogopana hawezi kupatikana wa kumtia mwenzie kitanzi.
 
Back
Top Bottom