Watoto wa vigogo na ajira BoT

Watoto wa vigogo na ajira BoT

Hao wana sifa ya technical know who,not technical know how.Hutaki unaacha
 
Aliye nacho huongezewa, Hijamwona January Makamba Waziri? Husein Mwinyi Waziri? Victor Kawawa je? Bado mengi yatatokea na haitakuwa mwsho wa Mabadiliko
 
kama wanasifa za kufanya kazi pale na wanawajibika na kusaidia BOT kutimiza malengo yake ya kusimamia masuala ya fedha nchini sina tatizo. Ila kama hawana sifa na hawastahili kabisa kuwa pale....hapo nitakuwa na tatizo tena kubwa sana.

Mh. G. Lema...amesema yeye hawezi kuwa mbunge ili awe maskini....vivyo hivyo haimaanishi watoto wa the so called vigogo wawe na sifa na vigezo vyote...halafu wazazi wao wawakataze kwenda kuomba kazi BoT.

Kama wana sifa ya kuwa pale BoT ni sawa ila kama hawana sifa hilo ni tatizo kubwa.

Kwa hiyo wenye sifa za kifedha na uchumi ni watoto wa vigogo tu?Hii ni bahati mbaya au kusudi?Hakuna wivu ila kuna walakini.
 
Kama unafanya kazi kwa ufanisi kabisa kabisa na unafuata maadili ya utumishi...kazi ya BoT katika nafasi za utendaji".... is one of stressing job" No cheap 'bata' up there.

Mwigulu (Mb) knows it better.

Sasa kwa nini vigogo wawalundike watoto wao - ambao wengine tunawajua ni lelemama watupu- kwenye kazi hizi za stress?

Na kwa nini hapo pawe na a disproportionate number of leaders offsprings and hangers on?

Mwigulu Nchemba has neither the intelligence to understand the magnitude of such difficult offices nor the integrity to respect the same should he be schooled, I feel you are elevating him unnecessarily.

Halafu kibongobongo hatuna middle names right? Maana naona tunaenda kiarabu arabu, sehemu ya middle name unaweka jina la baba, hata kwa wakristo, duh.
 
Nlichojifunza hapa waliochangia wengi ni walewale effect yake ni kwamba uwezi kupata watu compitent hata kama wana sifa
Mtu ukimwambia nenda katafte first class uje nkupe kazi bot anaweza kuitafta hata kwa kuinunua oooh my poor tz!
 
Kwa hiyo wenye sifa za kifedha na uchumi ni watoto wa vigogo tu?Hii ni bahati mbaya au kusudi?Hakuna wivu ila kuna walakini.
Wala sijuamtuhumu mtu kuwa ana wivu... nilichokisema tena kwenye sentensi ya kwaza post uliyonukuu hapo juu nikuwa na sifa ya kufanya kazi, kuwajibika ili kuisaidia BoT kufanikisha malengo yake. Sijasema kuwa wenye sifa za kifedha na uchumi. Na sidhani kama ni sifa hizi ulizotaja kuwa ndizo zinatiliwa maanani ili upate kazi BoT. Kinachofuatwa pale ni kiwango chako cha elimu,uwezo wakufanya kazi husika tena kwa ufanisi, uzoefu kama ni lazima, uadilifu, na mengine kama hayo.

Kusema kuwa ilikuwa kusudi ama la siwezi kulisemea hili....lakini kama kuna wafanyakazi ambao si watoto wa vigogo...basi uwezekano wa kuwa ni makusudi utapungua.
 
1.Sasa kwa nini vigogo wawalundike watoto wao - ambao wengine tunawajua ni lelemama watupu- kwenye kazi hizi za stress?

2. Na kwa nini hapo pawe na a disproportionate number of leaders offsprings and hangers on?

3. Mwigulu Nchemba has neither the intelligence to understand the magnitude of such difficult offices nor the integrity to respect the same should he be schooled, I feel you are elevating him unnecessarily.

4. Halafu kibongobongo hatuna middle names right? Maana naona tunaenda kiarabu arabu, sehemu ya middle name unaweka jina la baba, hata kwa wakristo, duh.

1. Mkuu kama unaushahidi wa kutosha kudhibitisha hili pasipo na shaka...ebu wasaidie watu wa PCCB kuwa'hold responsible' wahusika wote walioshiriki kuwapa ajira hisivyo halali watoto wa vingogo na wale wasio wa vigogo ili haki itendeke.

2. Hii mkuu kama unaushaidi pia wa "disproportionate" lazima listue kidogo...lakini yawezekana ikawa ni 'coincidental matter'...hivi unahabari Nyerere aliwahi kutuhumiwa kuwa amewajaza Wakristo kwenye idara za Serikalini...na alipofanya uchunguzi wake binafsi kwa kushirikana na Idara nyeti ikagundulia ulikuwa uwongo. Yawezekana hiyo 'disproportionate' hujaifanyia kazi sawa sawa hivyo unahitaji 'hard evidence' kudhibitisha ili. Vinginevyo kama utaratibu wa ajira ulifuatwa basi I pressume ilikuwa 'coincidental matter' kuwa na hiyo "disproportionate".

3. I know you have a vital basis to rule him (Mwigulu Nchema) out of being schooled, unfortunately, I don't. My reference was guided on the fact that he "once up on a time" worked in that institution.

4. Hii 'point' yako sijaielewa.
 
Acheni upuuzi jamani!

Yaani mnataka mumkute mtoto wa Mkapa ni ombaomba pale stand ya Mwenge ili mthibitishe kuwa Mkapa ni mzalendo!?Tuache mzaha bwana!Yaani mimi niwe na position nzuri halafu mtoto wangu awe mpiga debe?Halafu muanze 'kumjambisha' na kumuimba maneno yenu ya kashfa na mipasho ya kiswahili?

Hata kama kama ni mtoto ni BOGUS kiasi gani ni Baba wa aina gani atamuacha mwanae awe mzururaji au asiye na kitu wakati ana uwezo wa kumsaidia akapata maisha mazuri?Labda atakuwa amesingiziwa!

Zipo fursa kibao tu Tanzania za kupata pesa ambazo watu wanaweza zifanya na kupata pesa tena zaidi za hao watoto wa vigogo!

Kwanza watoto wenyewe wana nini zaidi ya hivyo vigari vya mikopo wanavyoendesha na vinyumba vya kujisetiri?

Tuache wivu!Mpe mwanao elimu nzuri na bora ambayo itamfanya naye baadae awe KIGOGO!
 
1. PCCB gani? Hawahawa waliosema Mzee wa Vijisenti hana cha kujibu?

2. Coincidental matter watoto wa national leaders 14 kujazana BOT? You gotta be kidding me.

3. The fact that worked there once upon a time does not say anything about his intelligence or integrity, tunaona kwamba pananuka nepotism, why should we expect anything better from Mwigulu just because "he worked there once upon a time"? What is BOT, some new version of The Manhattan Project?
 
Hakuna aliyesema tunataka kumkuta mtoto wa Mkapa ombaomba, lakini ni lazima watoto wa viongozi wote wajazane BOT?

Viongozi wa bongo wapuuzi sana, wanakula mpaka wanasahau "ukila na kipofu usimshike mkono".
 
Mimi nitakapokuwa mkuu wa shule mtoto wangu lazima apate umakamu mkuu au mwandamizi taaluma msije nilalamikia kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake.
 
Mi nadhan kama wanavigezo husika. Wanahaki ya kufanya kazi huko. Mbona mimi mtoto wa mtu wa kawaida na nna kazi nzuri??

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Kama mshua wangu angejiweka kwenye siasa mapema, huenda na mimi ningekuwa nakula bata pale BOT kama jinsi ambavyo watoto hawa wa vigogo wanavyopeta.
Samahani lakini, nasikiasikia eti hawa wote wanafanya kazi BOT na walipigiwa mapande na washua wao walioujua mchezo huu wa siasa mapema, wakuu kama nimekosea anayejua atanirekebisha kwa sababu najijua uelewa wangu ni mdogo.

ORODHA YA WATOTO WA VIGOGO WANAOFANYA KAZI BOT

Filbert Sumaye, Beatrice Bomani, Pamela Lowassa, Zacharia Kawawa, Salama Mwinyi, Salama Mahita, Rachel Msekwa, Jane Sitta, Yasmine Karume, Rabia Shein, Joshua Nchimbi, Gracia Mkapa, Jane Diallo, Likel Ngasongwa, Andy Magufuli, Thomas Mongela, Jubilee Kigoda, Raymond Zanga, Ismail Meghji, Morris Mramba et al.
Nawasilisha!

Kazi tunayo hata wale tunaowaona wazalendo nao ndio wale wale.
 
Utafiti wa vyanzo vya migogoro Afrika, moja wapo ni viongozi kujineemesha. One day tutawachoma moto
 
1. PCCB gani? Hawahawa waliosema Mzee wa Vijisenti hana cha kujibu?

2. Coincidental matter watoto wa national leaders 14 kujazana BOT? You gotta be kidding me.

3. The fact that worked there once upon a time does not say anything about his intelligence or integrity, tunaona kwamba pananuka nepotism, why should we expect anything better from Mwigulu just because "he worked there once upon a time"? What is BOT, some new version of The Manhattan Project?

Ili sasa tukate "mzizi wa fitina"...na tuondoe hisia hizi ambazo si zuri juu ya kuwepo 'nepotism' kwenye kupewa madara/nyazifa...mfano hapo BoT!? Kumbuka nimeshauri tutumie vyombo vyetu vya ulinzi na usalama hasa hivi vya uchunguzi wewe mwenyewe umeonyesha kutokuwa na imani navyo.
 
Unajua B.O.T ina wafanyakazi wangapi?
Hao uliowasema ni asilimia ngapi ya wafanyakazi wote.?

Watoto wa makabwela unajua ni asilimia ngapi ya wafanyakazi wote wa B.O.T?

Unataka kuniambia watoto wa makabwela hawapo B.O.T?

Mzee Ndullu ni mtoto wa kigogo gani.?

Hao uliowataja una uhakika gani kama hawana sifa..??

Wewe unafikiri una sifa ya kufanya kazi B.O.T?

Kwa ulichokiandika hapa nimeshajua una akili ya aina gani..??
Watu kama nyie mkiajiriwa ndio mtakuwa mnasambaza chuki, umbea na kufuatilia watu maisha yao..
Bila kusahau wivu wa kike ilhali wewe utakuta ni Dume...
So kwa kumalizia nasema
Am sorry hutufai huku

Kuna Wengine tumesoma napo sijui walikuwa bright lini.
Sometimes mnatetea mambo may b because yanawagusa directly ila watoto wavigogo hapo ndani personally nawajua wawili, they are no first class materials nor 2nd class.

Nawapa Hongera sana coz shuleni walikuwa wanapiga Bata sanaa, wakitucheka sisi tunasoma na leo wanakula Bata na bado sisi tunahangaika.

Inshort anybody with the right mind will see the disproportionate in the work force kwenye sehemu zenye malipo makubwa.

Sio wote wabovu ila its obvious, kama ni uongo Ile report ya takukuru ukiipata mtaona.
 
Ili sasa tukate "mzizi wa fitina"...na tuondoe hisia hizi ambazo si zuri juu ya kuwepo 'nepotism' kwenye kupewa madara/nyazifa...mfano hapo BoT!? Kumbuka nimeshauri tutumie vyombo vyetu vya ulinzi na usalama hasa hivi vya uchunguzi wewe mwenyewe umeonyesha kutokuwa na imani navyo.

Hujajibu maswali. Vyombo vya usalama vipi?
 
Back
Top Bottom