Raha yake hata niwachokoze nikidundwa mama alikuwa anasema mtoto anaonewaKuwa last born kuna raha yake ila huwa natamani ningekuwa na mdogo wangu. Yaani angekuwa mwanangu kwakweli.
Nimejikuta hadi wakubwa zangu nawaita "dogo" lol.
Wewe kumbe mkubwa? Najua utakuwa umekomaa.na sis first born tunacomment wapi
Mimi kaka yangu tulifuatana kwa kupishana 3years hivyo tumepigana sana. Na hivyo nilikuwa mchokozi wala mama hakunitetea likitokea la kutokea. Ila baba ndio hakutaka hata niguswe. Nikipigwa asubuhi nasubiri muda baba anarudi naanza kulia upyaaaaa.Raha yake hata niwachokoze nikidundwa mama alikuwa anasema mtoto anaonewa
Tafuta mke last born.sisi wa kwanza tufanyaje sasa ?
Asante kwa kutuanzishia uzi, ila tuseme "wa mwisho kwa mama[emoji23][emoji23]" manake kwa baba huwa haijulikani...
Wote walichezea bakora za mzee lakini mimi sikuonja hata moja .zaidi ya kufinywa na mama kwa uvivu wa kula. Kichapo nilichezea kwa brother mkubwa tena alikuwa ana watime wazazi wako kazini.Mimi kaka yangu tulifuatana kwa kupishana 3years hivyo tumepigana sana. Na hivyo nilikuwa mchokozi wala mama hakunitetea likitokea la kutokea. Ila baba ndio hakutaka hata niguswe. Nikipigwa asubuhi nasubiri muda baba anarudi naanza kulia upyaaaaa.
Ila nilipobaki na mama tu ndio alinidekeza balaa, hadi vyombo tulikuwa tumewekeana zamu ya kuosha🙈🙈🙈🙈
Tena mama zima lenye.Huwa naona raha pale familia nzima wanavyonitreat kama mtoooto kumbe mama zima!! [emoji3][emoji3][emoji3]
ngoja nianze kuchagua sasaTafuta mke last born.